As ante malila Mimi Nina shamba kibaha kwa mfipa maji yako ya kutosha mbegu gani inafaa kwa mkoa wa pwani2011 niliona nyanya nyingi ktk vibonde fulani kule Vianzi na Msorwa Mkuranga. Pili kule Ruvu juu wanalima nyanya pia. Sasa sijui
ww uko Mkoa wa Pwani kipande kipi.
Natafuta mbegu inayostawi maeneo ya pwani kibaha,Eden nimeulizia wanasema ni gharama Sana kuitunza
Niko Arusha nimeenda kwa agent wao eden ziko aina za kupanda masika na kiangazi ila bei juu