lunatoc
JF-Expert Member
- Aug 16, 2017
- 2,911
- 5,479
Hata Korosho na kahawa ilikuwa hivi hivi, zilikuwa zinaitwa dhahabu za Shamba.Watu wanapiga pesa hatari...kuna mama wakichaga ni mjane sasa yupo Tukuyu mjini kwenye mashamba ya marehemu mumewe mchaga pia kapiga 700 Million Tzs juzijuzi tu na tunafahamu hawa sababu tupo nao kwenye AMCOS sasa huyu mleta uzi ni ile jamii ya wachawi!!
Baada ya serikali ya mashetani kutia mkono Leo yamekuwa mazao ya kimasikini.
Tunza hii comment yangu soon serikali itatia mguu huko mtajuta. Wekezeni kwa akili