Fall Army Worm
JF-Expert Member
- Jan 8, 2015
- 19,355
- 14,408
Nipo Songwe, mwaka huu kahawa bei yake haikamatiki.Hata Korosho na kahawa ilikuwa hivi hivi, zilikuwa zinaitwa dhahabu za Shamba.
Baada ya serikali ya mashetani kutia mkono Leo yamekuwa mazao ya kimasikini.
Tunza hii comment yangu soon serikali itatia mguu huko mtajuta. Wekezeni kwa akili