Hata Korosho na kahawa ilikuwa hivi hivi, zilikuwa zinaitwa dhahabu za Shamba.Watu wanapiga pesa hatari...kuna mama wakichaga ni mjane sasa yupo Tukuyu mjini kwenye mashamba ya marehemu mumewe mchaga pia kapiga 700 Million Tzs juzijuzi tu na tunafahamu hawa sababu tupo nao kwenye AMCOS sasa huyu mleta uzi ni ile jamii ya wachawi!!
Ni kweli kabisa..sio muda mrefu watu wataanza kulia..serikali ya ccm ipo kumtia mkulima umasikini..wataanza kuingiza tozo za kutosha kwenye hilo zao..ili wanufaike mkulima aumie abaki kwenye umasikini..kisha waje na sera za kufufua zao..wakati wao ndio wamelizika.Hata Korosho na kahawa ilikuwa hivi hivi, zilikuwa zinaitwa dhahabu za Shamba.
Baada ya serikali ya mashetani kutia mkono Leo yamekuwa mazao ya kimasikini.
Tunza hii comment yangu soon serikali itatia mguu huko mtajuta. Wekezeni kwa akili
Sidhani kama itatokea hivyo mdhanivyo...soko la avocado ni la uhakika sana unlike soko la nuts kv korosho...by the way serikali ipo kwenye mikoa yote inayolima parachichi zaidi ya mwaka wa Kumi sasa na soko halijawa interfered. The only intervention ya serikali ilikuwa ile ya kuwazuia wachuuzi wa Kenya lakini baadae hiyo iliisha ... na zaidi serikali imekuwa ikifanya mazungumzo ya kutafuta soko zaidi la parachichi China, India na Ulaya...hata mkwamo wa masoko uliwekwa na South Africa hivi karibuni ulimalizwa...masoko mapya ya uhakika China na India yamepatikana siku za hivi karibuni...so sidhani mnachosema kitatokea kiasi cha kuangusha hili zao....Ni kweli kabisa..sio muda mrefu watu wataanza kulia..serikali ya ccm ipo kumtia mkulima umasikini..wataanza kuingiza tozo za kutosha kwenye hilo zao..ili wanufaike mkulima aumie abaki kwenye umasikini..kisha waje na sera za kufufua zao..wakati wao ndio wamelizika.
#MaendeleoHayanaChama
Hahhahaah ndio maana sisi kazi yetu Ni Kutoa angalizo kwa wawekezaji huko ili baadae wasijekushangaa kuwa hatujawaambia.Ni kweli kabisa..sio muda mrefu watu wataanza kulia..serikali ya ccm ipo kumtia mkulima umasikini..wataanza kuingiza tozo za kutosha kwenye hilo zao..ili wanufaike mkulima aumie abaki kwenye umasikini..kisha waje na sera za kufufua zao..wakati wao ndio wamelizika.
#MaendeleoHayanaChama
Angalizo kwenye uwekezaji ni muhimu kutolewa but not to an extent mtoa angalizo akatoa taarifa zisizo na ukweli. Zao la Parachichi limekuwepo kitambo sana Tanzania; ni hivi karibuni tu tumeanza kuuza nje lakini soko la ndani pia lipo...tatizo la masoko lipo duniani kote muhimu ni kuona namna wahusika wanavyoweza ku mitigate hizo challenges..........Mathalani wakulima wa Avocado Iringa pekee ndiyo wana uchache wa mahala pa kuuzia parachichi ila Wakulima wa Rungwe, Kilimanjaro na Njombe soko ni la uhakika sana kiasi kwamba kwa mwaka wa saba sasa bidhaa haitoshi mpaka kampuni zinazo collect zimeamua kuanza kulima zenyewe....huyu mleta mada ni failure namkatalia kwa sababu mimi pia nalima parachichi huu mwaka wa sita sijapata hizi changamoto anazozisema ambazo ni typical fabrication infoHahhahaah ndio maana sisi kazi yetu Ni Kutoa angalizo kwa wawekezaji huko ili baadae wasijekushangaa kuwa hatujawaambia.
Jifariji..mkonge ulikua zaidi ya parachichi..korosho..kahawa..pamba..zote ziko wapi sasa..zimu la ccm likiamza kunusa hela nyingi huko jua mmeumia na muda si mrefu utakuja kuleta mrejesho..ukiomba serikali iwasaidie.Sidhani kama itatokea hivyo mdhanivyo...soko la avocado ni la uhakika sana unlike soko la nuts kv korosho...by the way serikali ipo kwenye mikoa yote inayolima parachichi zaidi ya mwaka wa Kumi sasa na soko halijawa interfered. The only intervention ya serikali ilikuwa ile ya kuwazuia wachuuzi wa Kenya lakini baadae hiyo iliisha ... na zaidi serikali imekuwa ikifanya mazungumzo ya kutafuta soko zaidi la parachichi China, India na Ulaya...hata mkwamo wa masoko uliwekwa na South Africa hivi karibuni ulimalizwa...masoko mapya ya uhakika China na India yamepatikana siku za hivi karibuni...so sidhani mnachosema kitatokea kiasi cha kuangusha hili zao....
ZAIDI SOMA:
Tanzania yafungua rasmi soko la parachichi India
BASHE: TUMEFANIKIWA KUFUNGUA SOKO LA PARACHICHI NCHINI AFRIKA YA KUSINI.
Parachichi la Tanzania kinara katika soko la kimataifa | Focus Media
zama hizo na sasa ni tofauti angalia zones zilizoua hayo mazao na ufananishe na zones zinazolima parachichi utagundua asili ya watu wa mahala husika ni issue pia....Lindi, Mtwara, Tanga VS Kilimanjaro, Njombe na Mbeya. Kama huwa unaelewa haraka umenielewa namaanisha nini Avocado ipo sana yaani hizi bad omens zako hazitafanya kazi...mikoa yote inayolima avocado ina watu wanajitambua sana unlike huko zinakolimwa korosho, na mkongeJifariji..mkonge ulikua zaidi ya parachichi..korosho..kahawa..pamba..zote ziko wapi sasa..zimu la ccm likiamza kunusa hela nyingi huko jua mmeumia na muda si mrefu utakuja kuleta mrejesho..ukiomba serikali iwasaidie.
Ni suala la muda tu ingawa siombei mabaya..ila hua ndio uelekeo na hatima wa mazao yote yanayofanya vizuri nchini Tanzania.
#MaendeleoHayanaChama
Watanzania huwa hamsomi na hamfuatilii hata takwimu za National Bureau of statistics. Korosho ni zao linaloongoza kwa kuchangia Pato la Taifa na kwa mujibu Bodi ya Korosho Tanzania (CBT) katika msimu wa 2017/2018 mapato ya zao hilo yalifikia Sh1.08 trilioni. Lete takwimu za zao la parachichi walau kwa mwaka mmoja katika kuchangia Pato la taifa.Sidhani kama itatokea hivyo mdhanivyo...soko la avocado ni la uhakika sana unlike soko la nuts kv korosho...by the way serikali ipo kwenye mikoa yote inayolima parachichi zaidi ya mwaka wa Kumi sasa na soko halijawa interfered. The only intervention ya serikali ilikuwa ile ya kuwazuia wachuuzi wa Kenya lakini baadae hiyo iliisha ... na zaidi serikali imekuwa ikifanya mazungumzo ya kutafuta soko zaidi la parachichi China, India na Ulaya...hata mkwamo wa masoko uliwekwa na South Africa hivi karibuni ulimalizwa...masoko mapya ya uhakika China na India yamepatikana siku za hivi karibuni...so sidhani mnachosema kitatokea kiasi cha kuangusha hili zao....
ZAIDI SOMA:
Tanzania yafungua rasmi soko la parachichi India
BASHE: TUMEFANIKIWA KUFUNGUA SOKO LA PARACHICHI NCHINI AFRIKA YA KUSINI.
Parachichi la Tanzania kinara katika soko la kimataifa | Focus Media
Wazee wa HKL hamjambo?
Kazi yenu kukariri tu mlimbia hesabu matokeo yake mnasubiri serikali iwajengee viwanda vya parachichi nk, mnashindwa kutumia akili kuzisafirisha nje hata kwa kuungana.
Parachichi is a valuable product which is needed in all corner of the world.
Hata TZ tu mahitaji ya watumiaji ni makubwa sana na ndio maana siku huzi hata mby parachichi la 100 unalitafuta kwa manati hasa kiangaz.
Ana akil fupi Sana huyoJifariji..mkonge ulikua zaidi ya parachichi..korosho..kahawa..pamba..zote ziko wapi sasa..zimu la ccm likiamza kunusa hela nyingi huko jua mmeumia na muda si mrefu utakuja kuleta mrejesho..ukiomba serikali iwasaidie.
Ni suala la muda tu ingawa siombei mabaya..ila hua ndio uelekeo na hatima wa mazao yote yanayofanya vizuri nchini Tanzania.
#MaendeleoHayanaChama
Una kichaa wewe Korosho si imevurugwa 2018/19 na yenyewe Ni zamani. Kahawa si imevurugwa miaka hata 7 haijapita Hadi Bukoba na Kilimanjaro wakang'oa hayo mazao mashambani.zama hizo na sasa ni tofauti angalia zones zilizoua hayo mazao na ufananishe na zones zinazolima parachichi utagundua asili ya watu wa mahala husika ni issue pia....Lindi, Mtwara, Tanga VS Kilimanjaro, Njombe na Mbeya. Kama huwa unaelewa haraka umenielewa namaanisha nini Avocado ipo sana yaani hizi bad omens zako hazitafanya kazi...mikoa yote inayolima avocado ina watu wanajitambua sana unlike huko zinakolimwa korosho, na mkonge
Kahawa ilivurugwa zamani kafuatilie facts. Uki argue bila kuniita kichaa nitakuelewa pia. Wasomaji wa hoja zetu wanaweza kubainisha who is who.Una kichaa wewe Korosho si imevurugwa 2018/19 na yenyewe Ni zamani. Kahawa si imevurugwa miaka hata 7 haijapita Hadi Bukoba na Kilimanjaro wakang'oa hayo mazao mashambani.
Una elimu gani weww
KumbeWatu wanapiga pesa hatari...kuna mama wakichaga ni mjane sasa yupo Tukuyu mjini kwenye mashamba ya marehemu mumewe mchaga pia kapiga 700 Million Tzs juzijuzi tu na tunafahamu hawa sababu tupo nao kwenye AMCOS sasa huyu mleta uzi ni ile jamii ya wachawi!!
Na Korosho imevurugwa zamani.Kahawa ilivurugwa zamani kafuatilie facts. Uki argue bila kuniita kichaa nitakuelewa pia. Wasomaji wa hoja zetu wanaweza kubainisha who is who.
Korosho siyo zamani kahawa wakulima wa KNCU walianza kukata mikahawa tangu mwanzoni mwa 1990s sasa naona wewe ndugu mwanabodi unaargue na kichaa na kumdanganya, kichaa kala dawa sasa humuongopei.Na Korosho imevurugwa zamani.
Watanzania huwa hamsomi na hamfuatilii hata takwimu za National Bureau of statistics. Korosho ni zao linaloongoza kwa kuchangia Pato la Taifa na kwa mujibu Bodi ya Korosho Tanzania (CBT) katika msimu wa 2017/2018 mapato ya zao hilo yalifikia Sh1.08 trilioni. Lete takwimu za zao la parachichi walau kwa mwaka mmoja katika kuchangia Pato la taifa.
Stop kulinganisha Korosho na vitu vya ajabu. Point yangu ni moja kuwa mnaolima parachichi kuweni makini Sana siku serikali ikitia mguu mtatafutana, tumeyaona kwenye mazao ya Korosho na kahawa baada ya serikali kuingia.
Eti unasema parachichi Ina miaka 10 ebooo, Sasa kahawa na Korosho si kuanzia uhuru na Hadi Zina Bodi kabisa. Umewahi kusikia bodi ya parachichi?
Avocado by nature is a perishable crop hivyo basi uingiliaji wowote utasababisha matunda kuoza tofauti na mkonge,kahawa,nuts nk. ambavyo vinaweza kudumu walau kwenye maghala hata miezi sita.Watanzania huwa hamsomi na hamfuatilii hata takwimu za National Bureau of statistics. Korosho ni zao linaloongoza kwa kuchangia Pato la Taifa na kwa mujibu Bodi ya Korosho Tanzania (CBT) katika msimu wa 2017/2018 mapato ya zao hilo yalifikia Sh1.08 trilioni. Lete takwimu za zao la parachichi walau kwa mwaka mmoja katika kuchangia Pato la taifa.
Stop kulinganisha Korosho na vitu vya ajabu. Point yangu ni moja kuwa mnaolima parachichi kuweni makini Sana siku serikali ikitia mguu mtatafutana, tumeyaona kwenye mazao ya Korosho na kahawa baada ya serikali kuingia.
Eti unasema parachichi Ina miaka 10 ebooo, Sasa kahawa na Korosho si kuanzia uhuru na Hadi Zina Bodi kabisa. Umewahi kusikia bodi ya parachichi?
CCM wakitia tu mguu huko, mwafwaa.Sidhani kama itatokea hivyo mdhanivyo...soko la avocado ni la uhakika sana unlike soko la nuts kv korosho...by the way serikali ipo kwenye mikoa yote inayolima parachichi zaidi ya mwaka wa Kumi sasa na soko halijawa interfered. The only intervention ya serikali ilikuwa ile ya kuwazuia wachuuzi wa Kenya lakini baadae hiyo iliisha ... na zaidi serikali imekuwa ikifanya mazungumzo ya kutafuta soko zaidi la parachichi China, India na Ulaya...hata mkwamo wa masoko uliwekwa na South Africa hivi karibuni ulimalizwa...masoko mapya ya uhakika China na India yamepatikana siku za hivi karibuni...so sidhani mnachosema kitatokea kiasi cha kuangusha hili zao....
ZAIDI SOMA:
Tanzania yafungua rasmi soko la parachichi India
BASHE: TUMEFANIKIWA KUFUNGUA SOKO LA PARACHICHI NCHINI AFRIKA YA KUSINI.
Parachichi la Tanzania kinara katika soko la kimataifa | Focus Media
Mpuuzi huyo, kijana wa Lumumba.Watanzania huwa hamsomi na hamfuatilii hata takwimu za National Bureau of statistics. Korosho ni zao linaloongoza kwa kuchangia Pato la Taifa na kwa mujibu Bodi ya Korosho Tanzania (CBT) katika msimu wa 2017/2018 mapato ya zao hilo yalifikia Sh1.08 trilioni. Lete takwimu za zao la parachichi walau kwa mwaka mmoja katika kuchangia Pato la taifa.
Stop kulinganisha Korosho na vitu vya ajabu. Point yangu ni moja kuwa mnaolima parachichi kuweni makini Sana siku serikali ikitia mguu mtatafutana, tumeyaona kwenye mazao ya Korosho na kahawa baada ya serikali kuingia.
Eti unasema parachichi Ina miaka 10 ebooo, Sasa kahawa na Korosho si kuanzia uhuru na Hadi Zina Bodi kabisa. Umewahi kusikia bodi ya parachichi?