Ndio tatizo letu watanzania (hata mimi) tunafuata mkumbo. Ni kama matikiti na mayai ya kware. Yani tuna mumnkari flan hivi kama bata. Bata sometimes unamkuta kakaa tu mara ghafla anakurpuka na kuanza kuruka kama mita mia moja huku anapiga mabawa kwa fujo (violently) unabaki kushangaa WTF? Kwasabab bata haruki.
Ikitokea mtu kaanzisha mradi na biashara ya mayai ya kenge ikatiki, basi utaona njemba ziki