Kilimo cha vitunguu (saumu na maji): Ushauri na Masoko

Kilimo cha vitunguu (saumu na maji): Ushauri na Masoko

kwa igawa wanapima vidole ktk upandaji.pato niguni mia hdi mia20kw eka.soko ni msimu unaotoa mazao.mwez1 hd7 soko nzur
 
Wakuu mimi nina aridhi maeneo ya kilolo Iringa, ina asili ya maji, mwenye uzoefu na maeneo haja je vinakubali?
 
Magaidi unaondoa kwakutumia samadi yangombe au kuku km utapata nizur zaidi.unaweka kwakila jaruba

asante mkuu..ila dah..shamba liko ngage kule ufugaji wa kuku hamna kabisa,labda iyo ya ng'ombe.vip kuhusu chokaa❔huwa inafaa❔
 
Chokaa inaondoa magadi..japo mm cjwhi kutumia ila wadau wameniambia inaondoa magadi
 
Unanza kutoa mfano kwenye hatua yakwanz yambegu.unamp mbegu akaoteshe,mbegu n gali sna unampa litakumi yy anaotesh lita5
 
lita5 iliyobk anauza na uelewe lita kwasahvi ni sh20alfu naww hutajua imeoteshw litangapi.matokeo unafeli kupand eka
 
hatua yapili kuandaa majuruba..jaruba inatakiw iwe level ili maji yaenee vizur yasikimbie upande moja kusomba mbolea.
 
3.UPANDAJI HAPO PIA UMAKIN UNATAKIW.KTK UPANDAJI WENG HAPO TUMEPISHANA KIMAWAZO KUTOKAN N MAENEO HUSIKA.km ifuatavyo..
 
MANGOLA KRT wanatumia msemo wao wakiberiti yani umbal kt kitung nakitungu wanaban sna napato lao ikoju sna kuliko kwngne
 
Igawa mbeya pato lao lilikuwa duni sna.shv wamewaiga wenzao wamangola nawanatofoutiana kidogo kw pato.mangola iko ju
 
RUAHA bado pato lao liko chni cjui kw sahv ila awali lipo chn ya miamoja gunia per eka sbb ipo kwnye upandaji.
 
Awamu yakukuzia mbolea ni3 ukimpa awamu nyngne hvo hvo ya3 hvo je katika eka moja utavuna gunia ngapi?cyo20 aukumi?
 
6.umwagiliaji unatakiw uangalifu maji yasikae kwmda mwng kwnye jaruba.maji yanatakiwa ya wastan.wala shamb isikauke sna
 
dawa inatakiwa mara kwa mara kitungu ikishambuliw namagonjw huwa inakata kipato.nimeona vijana weng wanapew daw wanauza
 
Back
Top Bottom