Kilimo cha vitunguu (saumu na maji): Ushauri na Masoko

Kilimo cha vitunguu (saumu na maji): Ushauri na Masoko

WITO..Ingia nakijana mkataba kwa mavuno umlipe hisa km anaiba anajibia mwnywe.hatua zote muhimu uwepo.ni pm 0752317974
 
Haina shida mkuu nitaitoa soon, ila kwa kuwa itakua na impact kubwa sana kwa kilimo cha kila aina ni lazima niitafutie haki miliki, wajanja wasije tokea kwenye mgongo wangu wakati mie nakufa masikini

Mkuu vipi haujamaliza research yako?
Na hiyo unayoresearch ni sayansi mpya kabisa au inatumika sehemu?
 
kaka unaetoka mpwapwa naomba tuwasiliane coz hata Mimi nalima huko.
 
Ndugu GEBA tunashukuru sana kwa elimu yako, mimi nataka kulima mwezi wa nne au watatu vipi mpaka nitakapotoa soko laweza kuwa zuri kwa miezi hiyo?
 
shukrani sana mkuu GEBA2013 kwa kutufungua macho,Mungu akubariki sana
 
Last edited by a moderator:
Mimi nililima ruvu msimu uliopita bt charange ni shortage of labour ,pamoja na uvivu wawatu wa pwani kazi ya siku mbili anataka kufanya wiki nzima .
 
Bwana nasri ukitaka kulima kitungu zingatia haya..Maeneo mengi Cyo watalamu wakitungu ktk upandaji.vijan wazoefu n muhmu
 
Chakufanya n kumchukua mzoefu nakuchukua vijana kwajili yakupand toka maneo yawazoefu.km ni eka chukua wapndj wa2.
 
Eka moja ukiwachukua wawili pamoja namsimaz jumlisha nawenyeji3 eka mnapanda cku4au5.kilichobak nww kuwa karibu nakaz
 
Hapa karatu kuna mtu analima ekazaidi ya mia4.amechmba visima kumi vya maji.nakila kisima kimemgarim zaidi ya mil30
 
wengne wanatumia engne za amec wamefungia pampu nakuvuta maji wanalima mamia yaeka kwamwaka.napato lao lipoju.
 
Mr Geba kwa ekari moja kilimo cha viyunguu kinaweza kugharimu sh ngapi aisee
 
tatzo kubwa n mitaji.embu fikir huya bw awaki aliyebadilisha jangw kuw green.niwakupongeza sna.tatzo lake shv n siasa
 
tatzo kubwa n mitaji.embu fikir huya bw awaki aliyebadilisha jangw kuw green.niwakupongeza sna.tatzo lake shv n siasa

Kwani kwa ekari moja kilimo cha vitunguu inaweza kugharimu mtaji wa sh ngapi.
 
Eka moja inagarimu sh mil2 kwa mangola krt na 1.5m upto 1.8 kw igawa mbeya..ruaha cjui nampwapw pia si elewi pia
 
Back
Top Bottom