GEBA2013 JF-Expert Member Joined Feb 22, 2014 Posts 4,880 Reaction score 6,047 Feb 24, 2014 #362 kwa igawa wanapima vidole ktk upandaji.pato niguni mia hdi mia20kw eka.soko ni msimu unaotoa mazao.mwez1 hd7 soko nzur
kwa igawa wanapima vidole ktk upandaji.pato niguni mia hdi mia20kw eka.soko ni msimu unaotoa mazao.mwez1 hd7 soko nzur
GEBA2013 JF-Expert Member Joined Feb 22, 2014 Posts 4,880 Reaction score 6,047 Feb 24, 2014 #363 Magaidi unaondoa kwakutumia samadi yangombe au kuku km utapata nizur zaidi.unaweka kwakila jaruba
K KILLANEKELI JF-Expert Member Joined Nov 26, 2013 Posts 295 Reaction score 121 Feb 25, 2014 #364 Wakuu mimi nina aridhi maeneo ya kilolo Iringa, ina asili ya maji, mwenye uzoefu na maeneo haja je vinakubali?
Wakuu mimi nina aridhi maeneo ya kilolo Iringa, ina asili ya maji, mwenye uzoefu na maeneo haja je vinakubali?
GEBA2013 JF-Expert Member Joined Feb 22, 2014 Posts 4,880 Reaction score 6,047 Feb 25, 2014 #365 maeneo yenye maji au yanayotunza ubichi kitunguu hakikubali.
I isavin Member Joined Feb 20, 2014 Posts 29 Reaction score 1 Feb 25, 2014 #366 GEBA2013 said: Magaidi unaondoa kwakutumia samadi yangombe au kuku km utapata nizur zaidi.unaweka kwakila jaruba Click to expand... asante mkuu..ila dah..shamba liko ngage kule ufugaji wa kuku hamna kabisa,labda iyo ya ng'ombe.vip kuhusu chokaa❔huwa inafaa❔
GEBA2013 said: Magaidi unaondoa kwakutumia samadi yangombe au kuku km utapata nizur zaidi.unaweka kwakila jaruba Click to expand... asante mkuu..ila dah..shamba liko ngage kule ufugaji wa kuku hamna kabisa,labda iyo ya ng'ombe.vip kuhusu chokaa❔huwa inafaa❔
GEBA2013 JF-Expert Member Joined Feb 22, 2014 Posts 4,880 Reaction score 6,047 Feb 26, 2014 #367 Chokaa inaondoa magadi..japo mm cjwhi kutumia ila wadau wameniambia inaondoa magadi
GEBA2013 JF-Expert Member Joined Feb 22, 2014 Posts 4,880 Reaction score 6,047 Feb 26, 2014 #368 Kwnn watu wenye fedha wanafeli kwenye kitunguu?sbb ku ni usimamiz mbovu wa kijana wakazi.mara nyng vijan weng c waminifu
Kwnn watu wenye fedha wanafeli kwenye kitunguu?sbb ku ni usimamiz mbovu wa kijana wakazi.mara nyng vijan weng c waminifu
GEBA2013 JF-Expert Member Joined Feb 22, 2014 Posts 4,880 Reaction score 6,047 Feb 26, 2014 #369 Unanza kutoa mfano kwenye hatua yakwanz yambegu.unamp mbegu akaoteshe,mbegu n gali sna unampa litakumi yy anaotesh lita5
Unanza kutoa mfano kwenye hatua yakwanz yambegu.unamp mbegu akaoteshe,mbegu n gali sna unampa litakumi yy anaotesh lita5
GEBA2013 JF-Expert Member Joined Feb 22, 2014 Posts 4,880 Reaction score 6,047 Feb 26, 2014 #370 lita5 iliyobk anauza na uelewe lita kwasahvi ni sh20alfu naww hutajua imeoteshw litangapi.matokeo unafeli kupand eka
lita5 iliyobk anauza na uelewe lita kwasahvi ni sh20alfu naww hutajua imeoteshw litangapi.matokeo unafeli kupand eka
GEBA2013 JF-Expert Member Joined Feb 22, 2014 Posts 4,880 Reaction score 6,047 Feb 26, 2014 #371 hatua yapili kuandaa majuruba..jaruba inatakiw iwe level ili maji yaenee vizur yasikimbie upande moja kusomba mbolea.
hatua yapili kuandaa majuruba..jaruba inatakiw iwe level ili maji yaenee vizur yasikimbie upande moja kusomba mbolea.
GEBA2013 JF-Expert Member Joined Feb 22, 2014 Posts 4,880 Reaction score 6,047 Feb 26, 2014 #372 3.UPANDAJI HAPO PIA UMAKIN UNATAKIW.KTK UPANDAJI WENG HAPO TUMEPISHANA KIMAWAZO KUTOKAN N MAENEO HUSIKA.km ifuatavyo..
3.UPANDAJI HAPO PIA UMAKIN UNATAKIW.KTK UPANDAJI WENG HAPO TUMEPISHANA KIMAWAZO KUTOKAN N MAENEO HUSIKA.km ifuatavyo..
GEBA2013 JF-Expert Member Joined Feb 22, 2014 Posts 4,880 Reaction score 6,047 Feb 26, 2014 #373 MANGOLA KRT wanatumia msemo wao wakiberiti yani umbal kt kitung nakitungu wanaban sna napato lao ikoju sna kuliko kwngne
MANGOLA KRT wanatumia msemo wao wakiberiti yani umbal kt kitung nakitungu wanaban sna napato lao ikoju sna kuliko kwngne
GEBA2013 JF-Expert Member Joined Feb 22, 2014 Posts 4,880 Reaction score 6,047 Feb 26, 2014 #374 Igawa mbeya pato lao lilikuwa duni sna.shv wamewaiga wenzao wamangola nawanatofoutiana kidogo kw pato.mangola iko ju
Igawa mbeya pato lao lilikuwa duni sna.shv wamewaiga wenzao wamangola nawanatofoutiana kidogo kw pato.mangola iko ju
GEBA2013 JF-Expert Member Joined Feb 22, 2014 Posts 4,880 Reaction score 6,047 Feb 26, 2014 #375 RUAHA bado pato lao liko chni cjui kw sahv ila awali lipo chn ya miamoja gunia per eka sbb ipo kwnye upandaji.
RUAHA bado pato lao liko chni cjui kw sahv ila awali lipo chn ya miamoja gunia per eka sbb ipo kwnye upandaji.
GEBA2013 JF-Expert Member Joined Feb 22, 2014 Posts 4,880 Reaction score 6,047 Feb 26, 2014 #376 5.MBOLEA hapo iko tatizo unampa mbolea mifuko 5 akakuzie shamban yy anakuzia 2 hapo amekata production kwa30%
5.MBOLEA hapo iko tatizo unampa mbolea mifuko 5 akakuzie shamban yy anakuzia 2 hapo amekata production kwa30%
GEBA2013 JF-Expert Member Joined Feb 22, 2014 Posts 4,880 Reaction score 6,047 Feb 26, 2014 #377 Awamu yakukuzia mbolea ni3 ukimpa awamu nyngne hvo hvo ya3 hvo je katika eka moja utavuna gunia ngapi?cyo20 aukumi?
Awamu yakukuzia mbolea ni3 ukimpa awamu nyngne hvo hvo ya3 hvo je katika eka moja utavuna gunia ngapi?cyo20 aukumi?
GEBA2013 JF-Expert Member Joined Feb 22, 2014 Posts 4,880 Reaction score 6,047 Feb 26, 2014 #378 6.umwagiliaji unatakiw uangalifu maji yasikae kwmda mwng kwnye jaruba.maji yanatakiwa ya wastan.wala shamb isikauke sna
6.umwagiliaji unatakiw uangalifu maji yasikae kwmda mwng kwnye jaruba.maji yanatakiwa ya wastan.wala shamb isikauke sna
W wise-comedian JF-Expert Member Joined Aug 4, 2011 Posts 3,293 Reaction score 3,945 Feb 26, 2014 #379 Geba2013 nashukuru kwa kutoa uzoefu
GEBA2013 JF-Expert Member Joined Feb 22, 2014 Posts 4,880 Reaction score 6,047 Feb 26, 2014 #380 dawa inatakiwa mara kwa mara kitungu ikishambuliw namagonjw huwa inakata kipato.nimeona vijana weng wanapew daw wanauza
dawa inatakiwa mara kwa mara kitungu ikishambuliw namagonjw huwa inakata kipato.nimeona vijana weng wanapew daw wanauza