Nimekuelewa baraka607, ila ningependa kujua pia uzoefu wako na hizo gharama ni kwa mikoa gani??
mbegu bora n red mbobay ila pendelea mbegu zinazolishw na wakulim wenyewe.cku hz huwa wanajitah sn nambegu zao zina ubor
Naomba niwaulize wadau, mimi n kijana na nipo ifakara...BUSTANI INAKUBALI ZINGATIA KANUNI YAKE
Mkuu ni kweli kabisa unachosema ni kuwa watu hawajajua tu mim nimegusa tu kidogo mwaka jana nimeondoka na mil 3 sasa nataka mwaka huu ndiyo nizame ki kwel kwel, maana kupata gunia 100 kwa kitunguu ni kugusa halafu kuna kipind kama sasa gunia moja laki ×100 una 10milion hapo bado hujatoka tu kimaisha kwa mtaj wa 10 mil wakat wewe garama uliyotumia haizid mil 2 lakin kwa muda mfup unatengeneza faida ya mil 8 Mungu akupe nin tena. Mkuu komaa tu mim ninao mfano kuna watu walianza na mtaj wa laki kadhaa kwenye kilimo cha vitunguu lakin sasa ni matajiri wa kutupwa had unakuja kufikiria kuajiriwa hakuna dili kabisa kwa mtu anaezingatia kilimo
Kwa mtu wa dar mi nashauri aangalie maeneo ya moro na ruaha mbuyni sbb iwe rahisi kumanage
mamasito said:Mkuu umenigusa naomba uniambie nimepata shamba pwan karibu na kibaha militia bagamoyo.YAPO MASHMB HAPO
mimi kwa huku kukodi shamba kwa heka moja ni 110k then na kukodi mashine ni 100k na muhudumu wa shamba ambaye ndo muangalizi ni 700k then iliobaki ni dawa na mafuta.
kulima na kuweka matuta kwa heka moja 250k.
hiyo ndo pesa utakayo tumia kama vitunguu vyako havijapata ugonjwa wowote kwa heka moja, ugonjwa ukitokea coz dawa ni ghali itaweza panda kidogo
Mimi nililima ruvu msimu uliopita bt charange ni shortage of labour ,pamoja na uvivu wawatu wa pwani kazi ya siku mbili anataka kufanya wiki nzima .