Kilimo cha vitunguu (saumu na maji): Ushauri na Masoko

Kilimo cha vitunguu (saumu na maji): Ushauri na Masoko

Uzoefu wangu ni miaka mitano sasa katika kilimo cha vitunguu maji na hizo bei ni ivo vijiji nilivyotaja hapo juu viko wilaya ya Kilosa na pia vinapakana na Dodoma upande wa Mpwapwa.
Nimekuelewa baraka607, ila ningependa kujua pia uzoefu wako na hizo gharama ni kwa mikoa gani??



Sent from my BlackBerry 9930 using JamiiForums
 
Naunga mkono nyanya ya Eden na Anna F1 ni baabkubwa kipindi cha mvua. Nilipanda mwezi wa kumi na mbili katika shamba langu bagamoyo, hizi nyanya zinazaa mpaka unachukia. Gharama yake ni mbegu na miti ya kuishikilia manake ni za kwenda juu hadi futi 7. Mpaka saizi me navuna tu yani pamoja na mamvua yote yanayoendelea kunyesha.
mbegu bora n red mbobay ila pendelea mbegu zinazolishw na wakulim wenyewe.cku hz huwa wanajitah sn nambegu zao zina ubor


html>
<head><title>301 Moved Permanently</title></head>
<body bgcolor="white">
<center><h1>301 Moved Permanently</h1></center>
<hr><center>nginx</center>
</body>
</html>


Sent from my BlackBerry 9930 using JamiiForums
 
Mkuu ni kweli kabisa unachosema ni kuwa watu hawajajua tu mim nimegusa tu kidogo mwaka jana nimeondoka na mil 3 sasa nataka mwaka huu ndiyo nizame ki kwel kwel, maana kupata gunia 100 kwa kitunguu ni kugusa halafu kuna kipind kama sasa gunia moja laki ×100 una 10milion hapo bado hujatoka tu kimaisha kwa mtaj wa 10 mil wakat wewe garama uliyotumia haizid mil 2 lakin kwa muda mfup unatengeneza faida ya mil 8 Mungu akupe nin tena. Mkuu komaa tu mim ninao mfano kuna watu walianza na mtaj wa laki kadhaa kwenye kilimo cha vitunguu lakin sasa ni matajiri wa kutupwa had unakuja kufikiria kuajiriwa hakuna dili kabisa kwa mtu anaezingatia kilimo

Mkuu wewe uko pande zipi? Hebu tushirikishane katika hili. Mimi mwenyewe niko kwenye mchakato wa kuzama kwenye kilimo cha bustani. Sasa mtu akiwa Dar anaweza kupata wapi ardhi ya karibu inayofaa Kwa kilimo cha vitunguu??
 
Kwa mtu wa dar mi nashauri aangalie maeneo ya moro na ruaha mbuyni sbb iwe rahisi kumanage

Shukrani kwa michango yako mkuu,Je kwa mtu anayekaa Arusha mjini,ni yapi maeneo mazuri kwa kilimo hichi cha vitunguu na nyanya mkuu?
 
MKU ARUSHA MAENEO NI MANGOLA KRT.ILA SIKUSHAURI UKALIME KULE..chamuhimu sehemu kuna ardh kubw na maji yauhakika.
 
Mkuu mm naanza mwaka huu shida kuwa ni mbegu nipo igunga wakuu tuleteeni mbegu tununue
 
Mbegu hapo igunga ni hakuna kabisa au?au ww unahitaji mbegu gani? Au ya kampuni gani
 
Mkuu umenigusa naomba uniambie nimepata shamba pwani karibu na kibaha militia bagamoyo nami ninapenda sn kilimo je naweza kulima vitunguu.? Maji yapo je ni hatua gn naanza kuchukua na uoteshaji wake unakuaje?

Pia huchukua muda gn hadi kuvunwa? Naombeni msaada kwa Hilo
 
unaweza kulima chakuzingatia shamb lisiwe na magadi napia maji yawe yauhakika mengne ni suala la ww kucontrol mwenyewe
 
Ndugu umekuwa ukisisitiza sana suala la magadi kwenye kilimo cha vitunguu. Sasa nitajuaje kama hili shamba lina magadi au la. Na nini madhara ya magadi hasa kwenye kilimo cha vitunguu @ Geba
 
Shamba likuwa na magadi hukosi ukingiza maji huwa rangi nyeus au rang ya majivu hubaki au huonekana kwnye shamba.
 
Madhara y magadi hayapo kwnye kitungu tu karibu mazao yote..vitunguu unapata less production.Badala yamia unapata 30.
 
mimi kwa huku kukodi shamba kwa heka moja ni 110k then na kukodi mashine ni 100k na muhudumu wa shamba ambaye ndo muangalizi ni 700k then iliobaki ni dawa na mafuta.
kulima na kuweka matuta kwa heka moja 250k.
hiyo ndo pesa utakayo tumia kama vitunguu vyako havijapata ugonjwa wowote kwa heka moja, ugonjwa ukitokea coz dawa ni ghali itaweza panda kidogo

Sijaona gharama za mbegu, Usafi utengenezaji vitalu vya kuwatikia, mbolea, dawa za ukungu na madawa ya kua wadudu, kulima, gharama za kupanda. Kiukweli gharama zinatofautiana sehemu na sehemu.
 
Ngoswe2 pitia hapa...km kuna swali unauliza wadau wako wengi watakusaidia
 
Nilikuwa naomba mwenye ujuzi wa ukulima wa vitunguu,mchele na viazi anipe namba yake tubadilishane mawazo na jisni ya kuanza hizi harakati za kujikomboa. Wewe kama uko interested tuungane kupeana maujanja nipe namba nitakupigia. Ahsante


The king.
 
Mimi nililima ruvu msimu uliopita bt charange ni shortage of labour ,pamoja na uvivu wawatu wa pwani kazi ya siku mbili anataka kufanya wiki nzima .

Kaka nina shamba pale ruvu. Karibu kabisa na maji. Wewe ulilimaje na kitunguu hakikibali maji??


The king.
 
Back
Top Bottom