f2 achaa kupaniki kijanaa Kuna ishu nyingi sanaa...Kwa nn Usiifadhi hadi mwezi wa 10 uuze kwa.bei nzuri....Mbona soka la dar Liko Powaaaa sanaa......
Jamani wanunuzi wa vitunguu mko wapi? Vitunguu vyangu viko tayari kuvunwa shambani. Gunia kama 400 hivi zitapatikana.
Jamani wanunuzi wa vitunguu mko wapi? Vitunguu vyangu viko tayari kuvunwa shambani. Gunia kama 400 hivi zitapatikana.
Vuna na kuvihifadhi uje kupiga pesa mwezi wa Kwanza na wapili. Sasa hivi bei ni mbaya sana.
Kwani umelimia wapi na mbegu ni aina gani?
Habari wadau,, kwa anayefahamu kuhusu kilimo cha vitunguu morogoro, naomba anielezee kwa kina..
Gharama ya kukodi shamba@ekari.
gharama za mbegu/miche ekari
gharama za vibarua ekari.
dawa ,mbolea na zinginezo.
pia vitunguu vinastawi vizuri morogoro sehemu gani? msimu wa kulima ni upi?? vinachukua muda gani mpaka kukamilika??? pia waweza nisaidia hata vile ambavyo sijaorodhesha hapa.
nawasilisha; asanteni.
Mkuu nimeona hii post na nitaifanyia kazi kesho, leo nimetingwa, sipo deep sana kuhusu morogoro ila nitajitahidi kusaidia.
Mkuu ukitaka kulima morogoro ni vyema uende dumila cs kuna unafuu mkubwa sana wa vibarua tofauti na maeneo mengine
Hii ni kwa Dakawa,
msimu unaanza kuanzia mwezi wa kwanza mpaka wa 12 kwa kuwa hawategemei maji ya mvua,
gharama ya kukodi shamba ni 50000,
gharama ya mbegu nimesahau kidogo,
changamoto kule ni wafanyakazi labda kama utapata kutoka maeneo mengine,
pia kuna ugomvi kati ya wakulima na wafugaji hivyo si eneo salama sana
Madawa +mbolea gharama nimesahau kidogo labda nikikumbuka nitarejea hapa
muda mpaka kuvuna ni miezi 6-8

m uda mpaka kuvuna ni miezi 6-8
samahani, wewe umeshawahi kulima kitunguu huko dakawa?Hii ni kwa Dakawa,