rmashauri
JF-Expert Member
- Jan 29, 2009
- 3,011
- 456
f2 achaa kupaniki kijanaa Kuna ishu nyingi sanaa...Kwa nn Usiifadhi hadi mwezi wa 10 uuze kwa.bei nzuri....Mbona soka la dar Liko Powaaaa sanaa......
Mkuu mwezi wa kumi ndo huo sasa bei ikoje? Nina ekari 4 ziko tayari Kwa kuvunwa mwisho wa mwezi huu. Ukipata mnunuzi wa kuja kuchukua shambani mvumi Morogoro katikati ya Dumila na Kilosa nitakupa hata kamisheni.