Kilimo cha vitunguu (saumu na maji): Ushauri na Masoko

Kilimo cha vitunguu (saumu na maji): Ushauri na Masoko

f2 achaa kupaniki kijanaa Kuna ishu nyingi sanaa...Kwa nn Usiifadhi hadi mwezi wa 10 uuze kwa.bei nzuri....Mbona soka la dar Liko Powaaaa sanaa......

Mkuu mwezi wa kumi ndo huo sasa bei ikoje? Nina ekari 4 ziko tayari Kwa kuvunwa mwisho wa mwezi huu. Ukipata mnunuzi wa kuja kuchukua shambani mvumi Morogoro katikati ya Dumila na Kilosa nitakupa hata kamisheni.
 
Jamani wanunuzi wa vitunguu mko wapi? Vitunguu vyangu viko tayari kuvunwa shambani. Gunia kama 400 hivi zitapatikana.
 
Jamani wanunuzi wa vitunguu mko wapi? Vitunguu vyangu viko tayari kuvunwa shambani. Gunia kama 400 hivi zitapatikana.
 
Vuna na kuvihifadhi uje kupiga pesa mwezi wa Kwanza na wapili. Sasa hivi bei ni mbaya sana.

Mkuu hivi ukivihifadhi vinaweza kukaa miezi mingapi bila kuharibika? Ni mara yangu ya kwanza kulima. Hebu nielekeze namna ya kuvihifadhi kama unauzoefu. Natanguliza shukrani zangu.
 
Please Admin, NAOMBA NAMI MNIWEKE KWENYE GROUP LA WATSAP,, namba yangu ni 0763009957
 
Habari wadau,

Kwa anayefahamu kuhusu kilimo cha vitunguu Morogoro, naomba anielezee kwa kina.

Gharama ya kukodi shamba@ekari.
Gharama za mbegu/miche ekari
Gharama za vibarua ekari.
Dawa ,mbolea na zinginezo.

Pia vitunguu vinastawi vizuri Morogoro sehemu gani? msimu wa kulima ni upi? Vinachukua muda gani mpaka kukamilika?

Pia waweza nisaidia hata vile ambavyo sijaorodhesha hapa.

Asanteni.
 
Wanaotaka kujiunga na Whatsapp group nicheck 0717269137
 
Habari wadau,, kwa anayefahamu kuhusu kilimo cha vitunguu morogoro, naomba anielezee kwa kina..
Gharama ya kukodi shamba@ekari.
gharama za mbegu/miche ekari
gharama za vibarua ekari.
dawa ,mbolea na zinginezo.
pia vitunguu vinastawi vizuri morogoro sehemu gani? msimu wa kulima ni upi?? vinachukua muda gani mpaka kukamilika??? pia waweza nisaidia hata vile ambavyo sijaorodhesha hapa.
nawasilisha; asanteni.

CC Gagurito!!
 
Last edited by a moderator:
Mkuu ukitaka kulima morogoro ni vyema uende dumila cs kuna unafuu mkubwa sana wa vibarua tofauti na maeneo mengine
 
Hii ni kwa Dakawa,
msimu unaanza kuanzia mwezi wa kwanza mpaka wa 12 kwa kuwa hawategemei maji ya mvua,
gharama ya kukodi shamba ni 50000,
gharama ya mbegu nimesahau kidogo,
changamoto kule ni wafanyakazi labda kama utapata kutoka maeneo mengine,
pia kuna ugomvi kati ya wakulima na wafugaji hivyo si eneo salama sana
Madawa +mbolea gharama nimesahau kidogo labda nikikumbuka nitarejea hapa
muda mpaka kuvuna ni miezi 6-8
 
Asante mkuu
 
m uda mpaka kuvuna ni miezi 6-8

Hapo kwenye bold siyo sahihi. Vitunguu huchukua mwezi mmoja kwenye kitalu. Ukishapanda shambani ni siku 90 tu. Hivyo Maximum ni miezi 4 kuanzia kitaluni. Vile vile mhusika akumbuke kuwa vitunguu havipatani na mvua. Ukilima msimu wa mvua hakikisha kuwa eneo hilo haliko-prone na mafuriko na halituamishi maji vinginevyo unakula hasara ghafla tu. Kwa mbegu kwa wastani unahitaji kilo 3 Kwa ekari na mbegu nzuri ukipata zinazotengenezwa kienyeji na wakulima.

Za dukani uotaji Wake si mzuri sasa na unaweza kuhitaji kilo hata 5 (5000 grams) ambayo ni Tshs. 460,000. Zile za kienyeji mbegu za 200,000 zinatosha Kwa ekari moja.

Madawa hamna kiwango maalum maana itategemea na hali ya hewa. Ukungu na wadudu ndo adui wakuu wa vitunguu.
 
Hii ni kwa Dakawa,
msimu unaanza kuanzia mwezi wa kwanza mpaka wa 12 kwa kuwa hawategemei maji ya mvua,
gharama ya kukodi shamba ni 50000,
gharama ya mbegu nimesahau kidogo,
changamoto kule ni wafanyakazi labda kama utapata kutoka maeneo mengine,
pia kuna ugomvi kati ya wakulima na wafugaji hivyo si eneo salama sana
Madawa +mbolea gharama nimesahau kidogo labda nikikumbuka nitarejea hapa
muda mpaka kuvuna ni miezi 6-8
samahani, wewe umeshawahi kulima kitunguu huko dakawa?
 
Back
Top Bottom