Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Yani Lita ishirini kwa heka 1 duu unapandaje iyo mbegu na km ni kitalu si utapiga kitalu kwenye shamba zima la heka 1
Wakuu salamu.
Nataka kuanzisha kilimo cha umwagiliaji cha kitunguu. Naomba ushauri wenu ni maeneo gani yanayoofaa kwa kilimo cha kitunguu na hasa ambayo yanaweza kuwa na maji kwa ajili ya umwagiliaji.
Nimenunua power tiller ambayo nategemea itanisaidia sana kwenye kilimo cha umwagiliaji!
Kilimo Kwanza!
what is this?Gharama nilizoingia wakati nalima
[TABLE="width: 877"]
[TR]
[TD]Activity[/TD]
[TD]Elaborations[/TD]
[TD]Calculations[/TD]
[TD]Acre 1[/TD]
[TD]Acre 2[/TD]
[TD]Acre 3[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Kukodi [/TD]
[TD] [/TD]
[TD]250000*1[/TD]
[TD="align: right"]250000[/TD]
[TD="align: right"]500000[/TD]
[TD="align: right"]750000[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Kutifua[/TD]
[TD] [/TD]
[TD]100000*1[/TD]
[TD="align: right"]100000[/TD]
[TD="align: right"]200000[/TD]
[TD="align: right"]300000[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Arrow[/TD]
[TD] [/TD]
[TD]70000*1[/TD]
[TD="align: right"]70000[/TD]
[TD="align: right"]140000[/TD]
[TD="align: right"]210000[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Kutengeneza majaruba[/TD]
[TD] [/TD]
[TD]600*100[/TD]
[TD="align: right"]60000[/TD]
[TD="align: right"]120000[/TD]
[TD="align: right"]180000[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Kupanda[/TD]
[TD] [/TD]
[TD]500*100[/TD]
[TD="align: right"]50000[/TD]
[TD="align: right"]100000[/TD]
[TD="align: right"]150000[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Mbolea[/TD]
[TD] [/TD]
[TD]70000*2[/TD]
[TD="align: right"]140000[/TD]
[TD="align: right"]280000[/TD]
[TD="align: right"]420000[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Mbegu[/TD]
[TD] [/TD]
[TD]30000*7[/TD]
[TD="align: right"]210000[/TD]
[TD="align: right"]420000[/TD]
[TD="align: right"]630000[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Dawa[/TD]
[TD]Majani (Megasate)[/TD]
[TD]20000*3[/TD]
[TD="align: right"]60000[/TD]
[TD="align: right"]120000[/TD]
[TD="align: right"]180000[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD] [/TD]
[TD]Wadudu (Profecron)[/TD]
[TD]20000*3[/TD]
[TD="align: right"]60000[/TD]
[TD="align: right"]120000[/TD]
[TD="align: right"]180000[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Kumwagilia[/TD]
[TD] [/TD]
[TD]200000*1[/TD]
[TD="align: right"]200000[/TD]
[TD="align: right"]400000[/TD]
[TD="align: right"]600000[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Palizi (Kupiga Godi)[/TD]
[TD] [/TD]
[TD]700*100[/TD]
[TD="align: right"]70000[/TD]
[TD="align: right"]140000[/TD]
[TD="align: right"]210000[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Palizi ya Pili[/TD]
[TD] [/TD]
[TD]700*100[/TD]
[TD="align: right"]70000[/TD]
[TD="align: right"]140000[/TD]
[TD="align: right"]210000[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Mlinzi[/TD]
[TD] [/TD]
[TD]700000*1[/TD]
[TD="align: right"]700000[/TD]
[TD="align: right"]700000[/TD]
[TD="align: right"]700000[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Kung'olea[/TD]
[TD] [/TD]
[TD]600*100[/TD]
[TD="align: right"]60000[/TD]
[TD="align: right"]120000[/TD]
[TD="align: right"]180000[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Kukata Majani[/TD]
[TD] [/TD]
[TD]700*100[/TD]
[TD="align: right"]70000[/TD]
[TD="align: right"]140000[/TD]
[TD="align: right"]210000[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]My travel costs[/TD]
[TD] [/TD]
[TD]100000*5[/TD]
[TD="align: right"]500000[/TD]
[TD="align: right"]500000[/TD]
[TD="align: right"]500000[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Emergency[/TD]
[TD] [/TD]
[TD] [/TD]
[TD="align: right"]500000[/TD]
[TD="align: right"]700000[/TD]
[TD="align: right"]900000[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Total[/TD]
[TD] [/TD]
[TD] [/TD]
[TD="align: right"]3170000[/TD]
[TD="align: right"]4840000[/TD]
[TD="align: right"]6510000[/TD]
[/TR]
[/TABLE]
mimi nataka kulima vitunguu na nyanya nipo kwenye maandalizi by the way ekari moja waweza pata gunia ngapi kwa makadirio
mwaka jana baada ya kusoma thread jf na kusisimuka nikaamua kwenda mang'ola karatu arusha yaani wanakodisha shamba kwa 500,000 kwa mwaka ,nikaamua kujifanya mnunuzi nikatembezwa na madalali bei ilikuwa ina range 60000 to 80,000
mwaka huu nataka nikatafiti hukon singida
bado sijapata muda wa kufanya tafitiTu
Tunasubiri mrejesho mkuu
what is this?
Hapo upo sahihi....Dec mpaka April ni hatari sanaInategemeana na unataka kulima wapi (sehemu utakayoweza ku manage shamba vizuri na kwa ukaribu) , source ya maji (mvua au umwagiliaji) itakayo determine msimu utakaolima (masika au kiangazi ). Kifupi, bei huwa nzuri kuanzia December mpaka April. Hapa katikati bei zinaathiriwa na uwingi wa kitunguu sokoni. Unaweza ukalima ili uvune mwezi December, au ukalima na kukihifadhi mpaka hiyo miezi bei zikikaa vyema.
AsanteMilioni moja?
Inategemea unalimia wapi?
Inategemea umwagiliaji kwa pampu au mifereji au mvua
Uzoefu wangu huku Kilosa huu:
Mbegu lita 7 kwa ekari @ 25,000/= jumla 175,000/=
Kuandaa kitalu 20,000/=
Kusia mbegu 10,000/=
kutunza kitalu 30,000/=
kukodi shamba 100,000/=
kufyeka shamba 48,000/=
kukatua udongo 64,000/=
kulainisha udongo 48,000/=
kutengeneza majaruba 25,000/=
kupandikiza 160,000/=
dawa ya kuua magugu 40,000/=
palizi mara mbili 100,000/=
Mbolea mifuko mitatu 210,000/=
Mtu wa kuweka mbolea mara mbili 10,000/=
madawa kuua wadudu na magonjwa 50,000/=
mpiga dawa wiki kumi 50,000/=
kung'oa 50,000/=
kukata vitunguu gunia mia 200,000/=
usafiri 100,000/=
chanja kukodi 100,0000
umwagiliaji petrol 2500 x lita 5 x wiki 10 = 125,000/=
mtu wa kumwagilia 5000 x wiki 10 = 50,000
JUMLA KUU = 1,855,000/=
Kwa wastani ni mil 2