BENITOMUSOLIN82
Member
- Jul 21, 2015
- 45
- 1
ok kiongoz nashukuru. hapo inabidi ukilima , lazima usome nyakati ambazo mang'ola wanalima. ili kuweza ku- overtake nao katika soko.ili kabisa kuwa tofauti nao! lakini inaonekana inalipa pia katika hilo eneo kama maji ni mfereji manake ni uhakika w a kupata maji.Wanafanya kuanzia 250,000 - 300,000@ heka kwa msimu. Kilimo chake kinaanzia mwezi wa 4 mpaka wa 11. Huwa wanamwagilia kwa mfereji. Shida ni moja hasa wakati wa soko kwani vitunguu vingi huwa vinakuja toka eneo la Mang'ola, hivyo bei hushuka sana.
nitapita huko siku moja