Kilimo chenye viashiria vya faida kubwa

Kilimo chenye viashiria vya faida kubwa

Kusini hii wanaiita green gold inalipa sana.

In 2 to 3 years unavuna mpka miaka 50 na kuendelea.

Mbolea wengi huenda kuifuata kanda ya kati uko mavi ya ngombe mengi tu.
Hata mihogo mliita white gold.....
kwenye biashara yyte ile timing is very important......
 
The higher the Supply the lower the Price.... (If Demand remains Constant)

Wabongo tujikite kwenye kufanya jambo kwa muda mrefu na kutafuta masoko ya uhakika na ku-build relationship na wanunuzi..., hili la kurukia kila kilimo linasababisha unpredictable prices...

Yaani kama wewe ni mkulima wa kahawa endelea na kahawa zako uki-build relationship na wanunuzi na kuwa na uhakika wa product yako ni sustainable in the long run...
 
Nilimsikiliza jamaa mwny Co. Ya Malembo farm kwny kipindi cha kina masudi kipanya pale clouds+ cha saa 2 usiku.

Akasema sa hivi kinacho trend huko mitandaoni/mashambani ni kilimo cha parachichi(HASS) anasema wakulima wanalima sana na wote ukiwauliza mtauzia wapi wanakwambia Ulaya,ukiwauliza Ulaya nchi ipi maana sio nchi zote tunafanya nao biashara hawana majibu,ukiwauliza mnajua ni standards gani hizo nchi za ulaya zinataka ili kununua hayo matunda wao hawana majibu ila wanakwambia tu cha msingi iwe ni aina ya HASS.

Yajayo yanafurahisha,Parachichi inaenda kua kama kilimo cha Tikitimaji.
Hapa hoja ni kuwa hao wakulima wana hakika ya soko, soko la Ulaya! Hii ni kutokana na ukweli kuwa matunda yao yote au karibu yote, yaani sehemu kubwa ya mavuno yao hununuliwa na walanguzi kutoka Kenya. Hawa wana soko tayari tayari Ulaya na hususan kwa aina hiyo ya HASS! Kwa mantiki hii, nadhani kuna ulazima wa sisi Watanzania wenye kuweza kupata hizo connection za hayo masoko na tuna mtaji/pesa za kununua hayo mazao tufanye hivyo. Tusipotumia hii fursa na hivyo kuacha OMBWE, basi hao wageni wataitumia na kunufaisha maisha yao na nchi zao.
 
The higher the Supply the lower the Price.... (If Demand remains Constant)

Wabongo tujikite kwenye kufanya jambo kwa muda mrefu na kutafuta masoko ya uhakika na ku-build relationship na wanunuzi..., hili la kurukia kila kilimo linasababisha unpredictable prices...

Yaani kama wewe ni mkulima wa kahawa endelea na kahawa zako uki-build relationship na wanunuzi na kuwa na uhakika wa product yako ni sustainable in the long run...
SAWA ila usiweke mayai yako yote kwenye kapu moja (Do no put all your eggs in one basket)!
 
SAWA ila usiweke mayai yako yote kwenye kapu moja (Do no put all your eggs in one basket)!
Stick to what you Know fanya research kwenye jambo au mambo machache ambayo una passion nayo yafanye kwa uhakika consistently na long term (hata hayo masoko unayatafuta na kuya-maintain) sio chasing them everytime na kila ukifika unakuta umechelewa...

Unadhani wanunuzi wakubwa wa product fulani huwa wana-suppliers wao ambao wame-build relationship ya muda mrefu na wanaaminiana.... tofauti na wewe utakayeanza mwaka kesho huenda hata bei yako ikiwa pungufu kidogo wasikuamini
 
Kusini hii wanaiita green gold inalipa sana.

In 2 to 3 years unavuna mpka miaka 50 na kuendelea.

Mbolea wengi huenda kuifuata kanda ya kati uko mavi ya ngombe mengi tu.
Ni kusini nyanda za juu ama kusini ipi?
 
Inasemekana ikipandwa masika miche mingi inakauka kwa sababu kwanza mmea unakuwa haupati maji kwa mtiririko mzur, pia unakuwa haujazoea mazingira . Lakin ukipanda kiangazi ni kwamba ile interval ya kumwagilia inaufanya mmea uutengenezee tabia fulani ya kuzoea mazingira. Hata mvua ikija inakuta ushazoea hvo haufi. Labda watafiti waendelee kufanya utafiti maana naona wengi wanapanda kiangazi tofauti na miti ya kawaida
Njombe parachichi zinapandwa wakati wa mvua nyingi. Mwaka huu mwezi March nilipanda miche 1500 ilikufa mitatu tu.
 
Miaka yote wanahamasisha umwagilaji ila bado sana
Inatakiwa sheria haswa sio kila leo bunge linaongea na wakirudi hakuna kinachofanyika

Ila mdogo mdogo tutafika
Naogopa kuwa sheria itakayokuja ni ya kulipisha wote wanaomwagilia mashamba yao.
 
Naogopa kuwa sheria itakayokuja ni ya kulipisha wote wanaomwagilia mashamba yao.

Kama watu wanafukuzwa pembezoni mwa mito wala sintashangaa hata wakitoza na walionunua mahindi ya kumwagilia

Nilienda Egypt yaani ni nchi ambayo wanaishi kwa kutegemea sana umwagiliaji na ukipita sehemu zote za mito utafurahi
Upande mmoja unaona mwagiliaji na upande mwingine wa mto unaona wafugaji na mifugo yao wanasalimiana kwa upendo

Na wote wanaishi na Mto huo huo maisha yao yote na wanazingatia Usafi haswa
Sisi inabidi Bashe aende akajifunze huko na awaalike huku waone Neema tulizonazo ila tunaishi kama ndege tu
 
Kwenye uwekezaji wa namna hii ni vyema ambao bado hatujaanza, tuanze kuwekeza kwenye ardhi. Kununua ardhi iwepo tu.
 
Kazi iendelee
Screenshot_20211119-133334.jpg
 
Masoko yapo miaka yote ila kwa ajili ya wizara kubana sana kuhusu vibali hili ndio tatizo kubwa kwetu

Fursa ni nyingi na mazao na matunda ya kila aina yapo ila tutaishia kupeleka Kenya tu aidha kwa kificho au ki halali lakini kwa Ulaya soko wanalo wao maana sisi tumeshindwa kabisa kwa uzembe wa na roho mbaya sijui kwa Wizara husika au gov kwa ujumla

Ukiangalia supermarkets Ulaya utaona [emoji1649] zimeandikwa kuwa zimetoka SA, Kenya au Ug
Utaratibu wa kutoa vibali uangaliwe upo kwani tunapoteza fursa nyingi sana huku tukisifia sisi ndio kaka wakubwa wa EA

Shida ni roho mbaya na ukweli kwamba umasikini wa watu ni mtaji kwa wanasiasa hivyo hawapo tayari kuwasaidia wakulima kujikwamua kwa kuwatafutia masoko na kadhalika.
 
Nilimsikiliza jamaa mwny Co. Ya Malembo farm kwny kipindi cha kina masudi kipanya pale clouds+ cha saa 2 usiku.

Akasema sa hivi kinacho trend huko mitandaoni/mashambani ni kilimo cha parachichi(HASS) anasema wakulima wanalima sana na wote ukiwauliza mtauzia wapi wanakwambia Ulaya,ukiwauliza Ulaya nchi ipi maana sio nchi zote tunafanya nao biashara hawana majibu,ukiwauliza mnajua ni standards gani hizo nchi za ulaya zinataka ili kununua hayo matunda wao hawana majibu ila wanakwambia tu cha msingi iwe ni aina ya HASS.

Yajayo yanafurahisha,Parachichi inaenda kua kama kilimo cha Tikitimaji.
Nimesikia India watanunua hayo maparachihi pamoja na south africa
 
Mimi naamini kotu kizuri kinaweza kuwa na changamoto fulani, lakini changamoto hizo hazipaswi kuwarudisha nyuma watu wenye mawazo ya kusonga mbele.

Ninawaomba mliotutangulia kwenye harakati hizi muwe wawazi na wakweli mtusaidie kusema changamoto halisi.

Pia mtuambie nini ushauri wenu je watu walime parachichi au waache. Na katika kila jibu njooni na namna ya msaada.

Sidhani kama maisha yangekuwa hayana changamoto tungeishia kuwa watu mbumbumbu. Changamoto ndio akili.

Na sina iman kwamba hakuna uhitaji wa parachichi , eti kwamba mashamba yaliyopo yanatosha, kama ni hvo tujuezeni.

Asanteni karibuni tuendelee kujifunza .,...
Hali ilivyo kuna uwezekano kukaunda ka kampuni uchwara ka kununua hayo maparachichi bongo kisha soko analikamata mwanasiasa mmoja anajipigia hela tu!
 
Back
Top Bottom