Kilimo kinavyonizidi kunitajirisha, milioni 50 kwa mwaka

Sina hizo.time za kuwasikiliza
Eh mwaya waulize wao wanaweza biashara ya kilimo au wanajishaua tu humu ndani biashara ya kilimo sio kazi rahisi kuifanya upande mazao halafu upate wateja halafu uuze ni ngumu na upate hela sio kazi rahisi, kunawezi ila i hope utakaza buti keep it up
 
Ushapoteana....
Miaka 27 bado unaingiza 50M? Ujana wako wote umeuchezea sasahivi unakuja kutupigia kelele hapa? Unadhani kuna mtu hata mmoja unamzidi humu JF?

Mtoa mada anasumbuliwa na tatizo la ukosefu wa lishe bora.
 
samawani bilionea unajishugulisha na kilimo cha. zao gan?
 
Isije ikawa ugonjwa wa akili umerudi aisee....
 
Wacha usiwastue waendelee kuimbishwa porojo na Machadema watagawiwa pesa [emoji38][emoji1787]

Mwisho japo umeweka chumvi nyingi ila msipotoka awamu ya Samia hutoki tena.
Kwani awamu ya samia ipoje mkuu?
 
Ushapoteana....
Miaka 27 bado unaingiza 50M? Ujana wako wote umeuchezea sasahivi unakuja kutupigia kelele hapa? Unadhani kuna mtu hata mmoja unamzidi humu JF?

Mtoa mada anasumbuliwa na tatizo la ukosefu wa lishe bora.
😂 vimaskin vya bongo ni shida
 
Attachments

  • Screenshot_2023-11-07-20-04-09-069_com.android.chrome.jpg
    215.8 KB · Views: 8
  • Screenshot_2023-11-07-20-03-44-463_com.android.chrome.jpg
    223.5 KB · Views: 9
Lete thread zingine mkuu
 
Awazavyo mtu ndivyo alivyo , pambana kijana , ipo siku utafikia kilele cha ndoto zako.
 
Umenikumbusha ngoma ya ngapulilah ya vijana jazz bonge la ngoma mzee.
 
Awazavyo mtu ndivyo alivyo , pambana kijana , ipo siku utafikia kilele cha ndoto zako.

Hatuna shida na u billionaire Wala juhudi zake na ni jambo zuri kuwa na malengo makubwa.

Shida ni makeke yake wakati Bado hajafikia huko anapotaka kufika.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…