Unique Flower
JF-Expert Member
- Apr 19, 2019
- 12,838
- 25,282
Eh mwaya waulize wao wanaweza biashara ya kilimo au wanajishaua tu humu ndani biashara ya kilimo sio kazi rahisi kuifanya upande mazao halafu upate wateja halafu uuze ni ngumu na upate hela sio kazi rahisi, kunawezi ila i hope utakaza buti keep it upSina hizo.time za kuwasikiliza
