Money Penny
JF-Expert Member
- Jun 20, 2016
- 17,694
- 17,131
Acha muumizwe tu kwakweliTuna mbinu mpya sasa!
Hatuoi kwanza,tunaelewana game sh. Ngapi chap na kusepa!
Hatutaki kugandwa gandwa!!
Mnatuumiza!
Leo 2024 ndio umejua dunia ina watu bilion 6Dunia ya sasa ,ukiona mtu analilia mapenzi jua hiyo ni mshamba, dunia ina watu wengi zaidi ya bilion 6 ,ukizingua nakuzingua nasonga mbele🚮
Wadangaji kibao wanasomesha watoto!Acha muumizwe tu kwakweli
Maana ni wabishi
Nani anatoa gem sahivi
Mtakauka kama mihogo
Unajivunia kula kunde na mbaaziWadangaji kibao wanasomesha watoto!
Unamuita site nzuri unaagiza vitu laini,wakati vinashuka taratiiibu unaiomba Kwa dau fulani labda 20000,30000,40000,50000/=. Utaona anajiuma uma mara anapandisha man negotiate kiwango!
Tayari Tena Kwa usawa huu faster tu!KWANI WE DAU LAKO SH. NGAPI KWA FASTER YA LESS THAN HALF AN HOUR!!?
Kinachowauma watu ni kuwekeza mzee mwenzangu. Akifikiria investments alizofanya daah.!Dunia ya sasa ,ukiona mtu analilia mapenzi jua hiyo ni mshamba, dunia ina watu wengi zaidi ya bilion 6 ,ukizingua nakuzingua nasonga mbele🚮
Unajivunia kula kunde na mbaazi
Wenzio wanakula nyama na minofu
We simba au paka?
Ukizoea nyama hutagusa kunde
Ni hayo tu
Huu wimbo unapigwa Sana maeneo ya temeke na viunga vyake..Sikuhizi wanaume mnalia hivi
Nakupa mapenzi
Nakupa vichenji
Nini haupati,
Vikoba nimekulipia
Dah, ila wanaume mnajua kulia? Mpaka mnaenda studio mnaimba kabisa
Akina mama wapunguzieni adhabu wanaume wa watu jamaan, mtawamaliza mjue
We baba hujawahi kupenda jamaaKinachowauma watu ni kuwekeza mzee mwenzangu. Akifikiria investments alizofanya daah.!
Ndio maana mimi huwa nawaambia vijana wenzangu usiweke kwa mwanamke, au ukiona kuna umuhimu kidogo basi angalao wekeza kiasi ambacho unaweza kustahimili maumivu ya kukipoteza
Ndio maana kila kitu kwako sio sawaMradi njaa imetibika!kuliko stress za kufa mtu!
Baada ya kupigwa na kitu kizito ndio unaimba wivuuuu hahahahahaHuu wimbo unapigwa Sana maeneo ya temeke na viunga vyake..
Chorus
Wivuu wivuu wivuu mamaweee
Wivuu wivuu wivuu mamaweee 🎶🎶🎶🎶🎶🎶🎶
Money penny nakupenda ukinikubali nitakununulia V8Sikuhizi wanaume mnalia hivi
Nakupa mapenzi
Nakupa vichenji
Nini haupati,
Vikoba nimekulipia
Dah, ila wanaume mnajua kulia? Mpaka mnaenda studio mnaimba kabisa
Akina mama wapunguzieni adhabu wanaume wa watu jamaan, mtawamaliza mjue
Huku Dar wabaume wengi wameokwa kwenye maji ya moto wanasubiri kukata rohokwa Tanzania tafiti zinaonesha mwanza na mbeya ndio sehemu wanaume wanateswa na mapenzi
Mambo ni Yale yale!hakuna jipya !anaekula kunde,mbaazi,maharage na anaekula nyama zote ni protein Tena protein za mbegu ni Bora zaidi ya animal protein ambayo ni risky Kwa kupata Uric acid!Ndio maana kila kitu kwako sio sawa
Lakini endelea ivyo ivyo ila usitafute wafuasi
Wenzio washazoea kula nyama na minofu wanakushangaa, huyu lugha lugha wa wap?
Aiiii. Jamaaan, love you moreMoney penny nakupenda ukinikubali nitakununulia V8
HamfananiMambo ni Yale yale!hakuna jipya !anaekula kunde,mbaazi,maharage na anaekula nyama zote ni protein Tena protein za mbegu ni Bora zaidi ya animal protein ambayo ni risky Kwa kupata Uric acid!
Asikudanganye mtu!
Tunatofautina risky TU,Tena huyu was reja reja anapewa kiufundi Ili akumbukwe atoe miadi tena!Hamfanani
Endelea kujifariji
Eti baba yako mzazi anafanana na Mo dewji, hehe