Kilio cha mwanaume kwenye mapenzi kwa sasa ni hiki

Money Penny

JF-Expert Member
Joined
Jun 20, 2016
Posts
17,694
Reaction score
17,131
Sikuhizi wanaume mnalia hivi

Nakupa mapenzi
Nakupa vichenji
Nini haupati,
Vikoba nimekulipia

Dah, ila wanaume mnajua kulia? Mpaka mnaenda studio mnaimba kabisa

Akina mama wapunguzieni adhabu wanaume wa watu jamaan, mtawamaliza mjue
 
Acha muumizwe tu kwakweli
Maana ni wabishi
Nani anatoa gem sahivi
Mtakauka kama mihogo
Wadangaji kibao wanasomesha watoto!

Unamuita site nzuri unaagiza vitu laini,wakati vinashuka taratiiibu unaiomba Kwa dau fulani labda 20000,30000,40000,50000/=. Utaona anajiuma uma mara anapandisha man negotiate kiwango!

Tayari Tena Kwa usawa huu faster tu!KWANI WE DAU LAKO SH. NGAPI KWA FASTER YA LESS THAN HALF AN HOUR!!?
 
Unajivunia kula kunde na mbaazi
Wenzio wanakula nyama na minofu
We simba au paka?
Ukizoea nyama hutagusa kunde
Ni hayo tu
 
Dunia ya sasa ,ukiona mtu analilia mapenzi jua hiyo ni mshamba, dunia ina watu wengi zaidi ya bilion 6 ,ukizingua nakuzingua nasonga mbele🚮
Kinachowauma watu ni kuwekeza mzee mwenzangu. Akifikiria investments alizofanya daah.!

Ndio maana mimi huwa nawaambia vijana wenzangu usiweke kwa mwanamke, au ukiona kuna umuhimu kidogo basi angalao wekeza kiasi ambacho unaweza kustahimili maumivu ya kukipoteza
 
Sikuhizi wanaume mnalia hivi

Nakupa mapenzi
Nakupa vichenji
Nini haupati,
Vikoba nimekulipia

Dah, ila wanaume mnajua kulia? Mpaka mnaenda studio mnaimba kabisa

Akina mama wapunguzieni adhabu wanaume wa watu jamaan, mtawamaliza mjue
Huu wimbo unapigwa Sana maeneo ya temeke na viunga vyake..

Chorus

Wivuu wivuu wivuu mamaweee
Wivuu wivuu wivuu mamaweee 🎶🎶🎶🎶🎶🎶🎶
 
Kinachowauma watu ni kuwekeza mzee mwenzangu. Akifikiria investments alizofanya daah.!

Ndio maana mimi huwa nawaambia vijana wenzangu usiweke kwa mwanamke, au ukiona kuna umuhimu kidogo basi angalao wekeza kiasi ambacho unaweza kustahimili maumivu ya kukipoteza
We baba hujawahi kupenda jamaa
Bado hujapenda, bado hujasema
 
Ndio maana kila kitu kwako sio sawa
Lakini endelea ivyo ivyo ila usitafute wafuasi
Wenzio washazoea kula nyama na minofu wanakushangaa, huyu lugha lugha wa wap?
Mambo ni Yale yale!hakuna jipya !anaekula kunde,mbaazi,maharage na anaekula nyama zote ni protein Tena protein za mbegu ni Bora zaidi ya animal protein ambayo ni risky Kwa kupata Uric acid!

Asikudanganye mtu!
 
Hamfanani
Endelea kujifariji
Eti baba yako mzazi anafanana na Mo dewji, hehe
 
Back
Top Bottom