Money Penny
JF-Expert Member
- Jun 20, 2016
- 17,694
- 17,131
- Thread starter
-
- #101
Ambao hamjawahi kupenda naomba mtupishe kidogoHicho ni kilio cha baadhi ya wanaume na siyo wote,, sasa kumlipia mwanamke ombaomba hela ya kikoba kuna mmaliza nini mwanaume ili hali amefanya hayo kama wajibu wake unavyo mtaka afanye?? ๐๐
Kukimbia ndio unaona stage nzuri?Hao wanaolia lia ni underground uwezi kuta mwana analia hovyo et oooh......
Kwa sasa kuna watu tumefikia stage ya kukimbia wadada aiseeee hii too much
Niliwashawahi kuumizwa mara moja Ila sijui yule Dada alitumia mbinu gan mpka tukakaa mda mrefu Kwny mahusiano nlikua na miaka mingi kazi ya ilikua ni kuacha wadada Ila nilipo fika pale nilikwama hadi leo bado sijaona mtu anafit lile pengo kale imagine una date na mwanamke akikasrika ukitumia hela anairudisha๐Ambao hamjawahi kupenda naomba mtupishe kidogo
Hapa tunahitaji wanaume wanaoishi kwenye uhalisia na waliowahi kupenda na kuumizwa
We tupishe kwanza na imagination zako
Bado hujasemaNiliwashawahi kuumizwa mara moja Ila sijui yule Dada alitumia mbinu gan mpka tukakaa mda mrefu Kwny mahusiano nlikua na miaka mingi kazi ya ilikua ni kuacha wadada Ila nilipo fika pale nilikwama hadi leo bado sijaona mtu anafit lile pengo kale imagine una date na mwanamke akikasrika ukitumia hela anairudisha๐
Niliwashawahi kuumizwa mara moja Ila sijui yule Dada alitumia mbinu gan mpka tukakaa mda mrefu Kwny mahusiano nlikua na miaka mingi kazi ya ilikua ni kuacha wadada Ila nilipo fika pale nilikwama hadi leo bado sijaona mtu anafit lile pengo kale imagine una date na mwanamke akikasrika ukitumia hela anairudisha๐
Ahahah we shangazi jau kweli...Kukimbia ndio unaona stage nzuri?
Wenzio wako steji ya wadada wanawatafuta wenyewe ambayo ndio steji ya 2 kutoka mwisho, kabla hujachungulia jela
Uyo mtotooooo, jela very soon we subiri tuAhahah we shangazi jau kweli...
Mi nakimbia kutokana na wengi wanakuja alafu mi sielewi an .
Unashangaa mtu anakupendea nn kama pesa huna,,, Sura huna... Yaan huna huna huna ila bado wanashobokea dundo...
Achana na wake za watu bado kuna lundo la mashangazi..
๐๐๐๐
Ahahah we shangazi jau kweli...
Mi nakimbia kutokana na wengi wanakuja alafu mi sielewi an .
Unashangaa mtu anakupendea nn kama pesa huna,,, Sura huna... Yaan huna huna huna ila bado wanashobokea dundo...
Achana na wake za watu bado kuna lundo la mashangazi..
๐๐๐๐
Niende jela for what antiel.....Uyo mtotooooo, jela very soon we subiri tu
Bado hujasema
Na utasema
Ndio maana wenzio wanaimba wivuuu
Unajipakulia minyamaAhahah we shangazi jau kweli...
Mi nakimbia kutokana na wengi wanakuja alafu mi sielewi an .
Unashangaa mtu anakupendea nn kama pesa huna,,, Sura huna... Yaan huna huna huna ila bado wanashobokea dundo...
Achana na wake za watu bado kuna lundo la mashangazi..
๐๐๐๐
Unajipakulia minyamaAhahah we shangazi jau kweli...
Mi nakimbia kutokana na wengi wanakuja alafu mi sielewi an .
Unashangaa mtu anakupendea nn kama pesa huna,,, Sura huna... Yaan huna huna huna ila bado wanashobokea dundo...
Achana na wake za watu bado kuna lundo la mashangazi..
๐๐๐๐
Wengi ni majambazi sikuhizi ,nimachawa sikuhizi, malengo ni kumuumiza mwanaume,kisa na mkasa, kuwa wanaume wanajiweza ,wanajiona na wanawaonea ,ama hisia za kuwanyanyasa,hivyo kilicho baki ni kuwakomoa.Sikuhizi wanaume mnalia hivi
Nakupa mapenzi
Nakupa vichenji
Nini haupati,
Vikoba nimekulipia
Dah, ila wanaume mnajua kulia? Mpaka mnaenda studio mnaimba kabisa
Akina mama wapunguzieni adhabu wanaume wa watu jamaan, mtawamaliza mjue
Hapana sina mda wa kujipakulia mkuu...Unajipakulia minyama
SauwaNiende jela for what antiel.....
Kila kitu kinafanyika under control...
Wanaliwa kimya kimya
Niende jela for what antiel.....
Kila kitu kinafanyika under control...
Wanaliwa kimya kimya
Siio rahisi Niko makini skuhizi kutafta maendeleo yangu binafsi yananifanya nisiwe serias na mahusiano nimepata demu ambaye hajaTulia na namimi sijatulia๐คฃhapa ni ngoma droo
Unajipakulia minyama