Kilio cha wanaume huko nje: Kwenye ndoa zenu kuna watoto wetu!

Kilio cha wanaume huko nje: Kwenye ndoa zenu kuna watoto wetu!

Good-bye

JF-Expert Member
Joined
Feb 12, 2023
Posts
1,085
Reaction score
1,812
Inaumiza, yaani inaumiza sana. Wanawake tutulie tu jamani. Dunian hakuna jipya. Mbona kila baya lina majuto, kwanini tusijifunze kupitia hilo?

Yaani mumeo anapambana na kuvuja jasho la meno lakini kumbe anaowapambania wamebakiza kumuua tu. Hatuwezi kushauriana eti tucheat kwa akili, tunashauriana tuache kabisa uasherati ndani ya ndoa.

Kulea mtoto si wako ni maumivu sana.
 
Wanaume mnaongoza kwa kukataa mimba ,wacha tu mbambikiwe. Its tit for tat
Mbambikie aliyekukataa, kwanini umbambikie aliyekuthamini katika wote waliokuumiza yeye akaona thamani yako, fikiri umelala na wanaume wangapi waliokuahidi kukuoa lakini walikuacha? Umetoa mimba ngapi za hao waliokudanganya na wakakuacha, lakini yeye akakupenda na kukuthamini na kuona unafaa kuwa mkewe Ili hali wengine walikuacha Kwa maneno ya kejeli, kwanini usimtunzie heshima yeye aliyekufadhili??

Ukitafakari utaona sio ok, umetoka nje ya ndoa, kwasababu umezoea za aina tofauti, basi jizuie usibebe mimba huko, bado haitoshi ukabeba huko basi kuwa mkweli Ili usimuumize mwenzio kah! Yaani Kuna mahali wanawake huwa mnakuwa wajinga, huyo ex alikuwa wako na kama alikuwa na nia angekuoa lakini hakukuoa alikufaidi tu huku wewe ukiingia hasara, katokea aliyekuona wa thamani eti unarudi kwa ex wako! Kah!
 
Mbambikie aliyekukataa, kwanini umbambikie aliyekuthamini katika wote waliokuumiza yeye akaona thamani yako, fikiri umelala na wanaume wangapi waliokuahidi kukuoa lakini walikuacha? Umetoa mimba ngapi za hao waliokudanganya na wakakuacha, lakini yeye akakupenda na kukuthamini na kuona unafaa kuwa mkewe Ili hali wengine walikuacha Kwa maneno ya kejeli, kwanini usimtunzie heshima yeye aliyekufadhili?? Ukitafakari utaona sio ok, umetoka nje ya ndoa, kwasababu umezoea za aina tofauti, basi jizuie usibebe mimba huko, bado haitoshi ukabeba huko basi kuwa mkweli Ili usimuumize mwenzio kah! Yaani Kuna mahali wanawake huwa mnakuwa wajinga, huyo ex alikuwa wako na kama alikuwa na nia angekuoa lakini hakukuoa alikufaidi tu huku wewe ukiingia hasara, katokea aliyekuona wa thamani eti unarudi kwa ex wako! Kah!
Amina
 
Pooovuuu its tit for tat

KATAA NDOA
Kuna siku/ifike pahala muwe mnatuelewa tunaposema NDOA NI UTUMWA,NDOA NI MATESO
Hapo ukienda hospital utaambiwa una
1.presha ya kupanda
2.presha ya kushuka
3.kiharusi
4.sonona
5.msongo wa mawazo
6.Vidonda vya tumbo
7.tumbo la kuharisha

hapo unaweza kumroga mtu,kuua,kukimbia familia,chuki,mizobezo,vibweka yaani kuna kitu kimekukaba mpaka hapaaa..kataa ndoa bado hujachelewa huyo muache aende..

KATAA NDOA,KATAA UTUMWA
 
Dawa saivi akianza period tu,unamfungia ndani,ili itakapoisha tu zile tarehe za hatari unampelekea Moto,hautoki nje kama wiki tatu,apo itakua umejiahakikishia kidogo.
 
Back
Top Bottom