Kilometa za Magari yanayouzwa bongo zina uhalali?

Nmetoa 14.2M bado 14.2M gari ikifika
Tafuta wakili mkuu, fungua case inayohusisha forgery mkutane mahakaman as long ushahd unao.

Na mahakamani napo panahitaji subira, sababu hz mahakama za chini chenga ni nyingi sana.

Wakikuchezea michezo, appeal mpaka ifike high court au court of appeal haki zako utazipata, na damages utalipwa.

Ingekuwa mm wangezitapika wala sitanii, na damages wangelipa.
 
Khsante kwa ushauri mkuu
 
Kuna mmoja jina la kampuni yake linaanzia na kifaa cha kuwekea nyanya, yupo hapo karibu na mlimani city,ni hatari kwa huu ujinga
 
Ila si wanasema gari ikifika 100k kwa japan inafanyiwa overall? au ni maneno tu ya mtaani?
 
Wewe nae unajichanganya Sasa pale JanPapan mbona wapo waswahili wenzetu? Labda ungesema mtu aagize mwenyewe. Niliwahi kwenda kuuliza Mitsubishi Outlander nikaambiwa 27m TZS wakati mtandaoni mpaka kufika Bongo 16.5m TZS
Mimi nmewahi ingia pale kule ndani mwisho kushoto wana garage wanapiga gari zao rangi.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
ni gari ya aina gani hiyo total 28 unayotakiwa kuwapa?
Ilikuwa Toyota kulger ya mwaka 2006 yenye 45000km Asa baada ya Inspection wakasema inashida so kuna Kulger nyingne ila ni ya mwaka 2004 ina lowmileage Asa ndo hapo waliponiagizia ya ajabu coz ina mileage 183000 na usukani umelika sana baada ya kupata chasisi namba na kuisearch
 
Hawa usiwamalizie hel iliyo baki, komaa nao kataa hata mpelekane mahakamani, una advantage ya kuwashinda, kwasababu kama wamekubadilishia gari nyingine kutoka ya 2006 kuja 2004 means wanaweza kufanya tena kukubadilishia nyingine utakayo itaka, na kama watakomaa sana waambie huwapi hela chukua hiyo hiyo kwa 14, ifike mahali wawajibishwe
 

This is unethical, and should be abolished ASAP
 
Ila si wanasema gari ikifika 100k kwa japan inafanyiwa overall? au ni maneno tu ya mtaani?

Si kweli, hawafanyi overhaul. Wanabadili vitu kama timing belt labda plugs etc. ila kimsingi ni zile service muhimu kulingana na mileage.
 
Mambo yasiwe mengi mkuu.

Waambie hiyo gari huitaki. Ingia mtandaoni chagua gari unayoitaka na umeridhika nayo then waambie wakuletee hiyo.

Ambayo wameileta ina shida ya mileage waambie huitaki.

Otherwise warudishe hela yako.
 
Shughuli ni hapo kwny kurudisha pesa naona hawa jamaa watanisumbua sana na ctokubali kuchukua hiyo gari hata iweje
Mimi niliwalipa milioni 18.8... Gari ilivyofika nikakagua sikuridhika na walishasajili kwa jina langu...

Nikadai changu waliuza gari kwa 17.5m wakanirudishia hiyo. .. Nimehangaishana nao sna kumalizia iliyobaki wakanipa 200k bado 1.1m naamini watamaliza inshallah....
 
Good adviceπŸ™
 
πŸ˜πŸ˜πŸ˜πŸ™ŒπŸ™ŒπŸ™Œ...Safi sana
 
Mambo yasiwe mengi mkuu.

Waambie hiyo gari huitaki. Ingia mtandaoni chagua gari unayoitaka na umeridhika nayo then waambie wakuletee hiyo.

Ambayo wameileta ina shida ya mileage waambie huitaki.

Otherwise warudishe hela yako.
Nashkuru mkuu kwa ushauri....khsante sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…