troiker
JF-Expert Member
- Aug 18, 2019
- 1,551
- 2,573
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji706]Ni fraud mbaya sana hizi kufanyika kwa level ya kampuni. Nakumbuka kuna jamaa yangu alininua IST Befoward akijua ni low mileage kumbe ducuments za inspection zimeonesha paper mileage ni kms 106,000 ila kwenye odometer gari ina soma 6,000kms na gear lever imechakaa kinoma , kapeti ya miguu karibu na accelerator pedal imelika kwa kisigino[emoji23]