Mapfa A
JF-Expert Member
- Jan 9, 2015
- 250
- 259
Labda atakwambia ni ya mwaka 2020 wakati toleo la mwisho nadhani 2015
Inawezekana kaka
Ila uhakika UKIAGIZA mwenyewe Japan.
Mimi niliagiza ALLION ya 2003 ina 23,971 km (ONE OWNER)
.
Labda kama Japan wana hiyo michezo.
Ila nilivyo ichukua bandarini kila mtu alikuwa anashangaaa (Walidhani nimeitoa TOYOTA TANZANIA [emoji16]) ndani ilivyo haikuwa na doa hata kidigo.
Tena ilikuwa ya mdada maana nilikuta mambo ya kike kike ya Make-up kwenye Glove box.
Ukitaka kuagiza agiza mwenyewe yaani usiwe na papara kuna website wanauza gari tamu sana.
Sisi tumewazoea Befoward ila ukitulia kuna Website za japan unapata kitu kizuri sana.