Kilometa za Magari yanayouzwa bongo zina uhalali?

Asipoweka Chassis namba unafanyaje?
 
Kuna jamaa yangu Kanunua Premio kwa mtu yenye namba C lakini ODO inasoma 45,000km[emoji3].

Sasa sijui huko Japan lilitoka likiwa na zero kilometa au vipi!
 
Hata zinazouzwa kwenye showrooms za kibongo nazo zinachezewa millage. Jamaa wananunua magari yenye 150,000km huko Japan kwa bei chee wanayaleta bongo na kuyashusha millage hadi 55,000 au 65,000km.
 
Mkuu hii gari ilikua ya 2003 yaani miaka 19 toka itengenezwe yenyewe ilikua wapj hadi sasa iwe na mileage ya chini ya laki moja?
 
Wanazishusha sana tu, ndio maana mara nyingine ni bora uagize mwenyewe tu. Yani upigwe kwenye bei na upigwe kwenye ubora wa gari, hapana.
Hivi hata hizi digital odometer wanaweza kuzichakachua?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…