Shezanempress
JF-Expert Member
- Dec 28, 2022
- 311
- 343
Dubai, Qatar, Sharjah, Zanzibar City sio Zanzibar Country
Tembelea hapo
Hebu we nawe acha kuongea kwa msisimko, Hawakuwa na laana yoyote, ukweli unabakia kuwa, nyumba na majengo huchakaa na kuanguka kama mji haukaliwi tena
Miji ya waarabu ipo ambayo ipo hadi leo, mfano Dar es salaam ni mji wa waarabu na upo hadi leo
Ila kuna miji zama zake ni za zamani mno na miji ilikufa toka muda kama hiyo kilwa ama bagamoyo. Kama miji hiyo ingeendelea kuwa na watu ingekuwa miji mikubwa hadi leo
Reli kungolewa na waafrika wenyewe hapana.ni kweli mwingereza alianzisha kitu kinaitwa groundnut scheme ambao badae ukitumia zaid ya paun laki 6 ukaja kufeli vibaya.reli ilikua inaazia nachingwea had mtwara mjin.na kupitia mikindani.ambapo hadi leo mikindan kuna bohari la reli.na daraja pale inavuka bahari.Ila wa vaakobasi ni washenzi sana acha kupotosha kuhusu suala la reli ya nachingwea to mikindani mtwara ilijengwa na mwingereza kwa lengo la kusafirisha karanga kutoka nachingwea kufikia bandari ya mikindani ili zizafiriswe kwenda ulaya kwaajili ya kusindika mafuta ya kupikia.
Reli ilingolewa na watu wa kusini wenyewe baada ya uhuru
Acha upotoshaji
Ndio maana nikasema umetumia minzani ipi katika kupima maendeleo ya sehemu husika maana ukiniaminisha kuwa Tanga iliyoachwa na mkoloni ndio hii ya leo itakuwa ni kujizima data kimaksudiTanga kuna maendeleo gan mji unajifia taratibu ule?
Kapitie data vizur maana sehemu nyingi zilizokaachwa na mwarabu kiutawala zilishikiliwa na mwingerezaDsm hajawahi kuwa mji wa waarabu mji wa waarabu ulikua bagamoyo...mkoloni mwingereza ndio alihamishia bandari dsm mana dsm ilikua ni mji wa wavuvi wadogo wadogo
Ibin batuta hakufika kilwa miaka ya 1800,s hapo umekosea!!!!Na sababu ya Kuanguka dola ya kisulutani wa kilwa inajulikana wazi na ukijua asili ya watawala utajua kwanini makabila ya wabantu kutokea eneo la msumbiji ya leo walivamia maeneo ya pwani kuanzia sofala ikiwemo kilwa mpaka maeneo ya miliki ndogo ndogi za mawalii huko Kismayu!!Habari zenu wanaJF, natumahi hamjambo na kila mtu yupo zake vema katika kupambania kombe.
Leo kama mada inavyosema nilitaka nipate zaidi ya nikijuacho ikiwezekana nifute nilichonacho au niongezee kwacho kuhusiana na ni nini kiliufanya mji wa Kilwa kutoka katika Heshima yake na kurudi katika Dharau yake na kutokutamanika haswaa.
Historia inaonyesha wazi ukifika Kilwa kisiwani ukaangalia masalia ya Mijengo iliyokuwepo zama zile, utakubariana na ๐๐๐ฃ ๐ฝ๐๐ฉ๐ช๐ฉ๐ kuwa Kilwa lilikuwa Jiji.
Kuna Muda waislaamu wa Afrika walipaita Kilwa ๐ ๐๐๐๐ ๐ฌ๐ ๐๐๐ฅ๐๐๐ kutokana na Wingi na ukubwa wa Misikiti iliyokuwa imejengwa ikajengeka ndani ya Kilwa Kisiwani, ambayo mpaka leo inastaajabisha Foundation yake.
Hapo alipofika Ibn Batuta akasema, "๐๐๐ฅ๐ฅ๐๐ก๐ข (๐ง๐๐๐ฉ๐ ๐ฌ๐ข๐ฃ๐๐ฉ๐๐ญ๐ ๐ฆ๐ฃ๐ข ๐ฆ๐ณ๐ฎ๐ฎ๐ซ๐ข ๐ง๐ ๐ง๐ข๐ฅ๐ข๐ฒ๐จ๐ฎ๐ฉ๐๐ง๐๐ ๐ค๐๐ญ๐ข๐ค๐ ๐ค๐ฎ๐ณ๐ฎ๐ง๐ ๐ฎ๐ค๐ ๐ค๐ฐ๐๐ง๐ ๐ฎ ๐ค๐๐ฆ๐ ๐๐ฃ๐ข ๐ก๐ฎ๐ฎ ๐ฐ๐ ๐๐ข๐ฅ๐ฐ๐.... ๐๐ฐ๐ ๐ฆ๐๐๐ง๐ ๐ฆ๐ฃ๐ข ๐ก๐ฎ๐ฎ ๐ฎ๐ง๐ ๐ฎ๐ฌ๐ญ๐๐๐ซ๐๐๐ฎ ๐ง๐ ๐ก๐๐ฌ๐ก๐ข๐ฆ๐ ๐ฒ๐๐ค๐ ...."
Hiyo ni miaka ya 1880's leo hii Mimi hapa, wa miaka ya 2000's huwezi kunishawishi kukaa katika Kisiwa kile, si Mimi tu hata Ibn Batuta mwenyewe akifufuka hawezi kupasifia kwa namna hii tena.
Nilijaribu kufuatilia ni nini kilikuwa mpaka pakarudi chini kabisaa? Sikyona Labda kuna vita iliyotokea watu wakaukimbia mji wake, sikuona ugonjwa ulotokea, sikuona siasa chafu za maudhi kama za leo labda zikawakera wananchi wakauhama, badala yake, naliona ๐๐๐๐ฃ๐ ๐ฌ๐ ๐ซ๐๐ค๐ฃ๐๐ค๐ฏ๐ walokuwepo zama zile, ubaguzi wa Uafrika na Uarabu (๐ผ๐๐ง๐๐๐๐). Hivi ndivyo vinatajwa kwa wingi kiwa viliurudisha na kuuvurugavuruga mji huu ili miji mingine iweze kuanzishwa na kukua, miji gani? Miji waloitaka wao, miji waloipenda wao.
Kabla sijakubariana na wanahistoria hawa, ikabidi nitafute ni nini ushahidi wa hayo, nikajikuta nakutana na kauli ya "๐บ๐ ๐๐ ๐๐ฒ๐๐๐๐ ๐๐๐๐๐๐ ๐๐๐๐๐๐๐๐ ๐๐๐๐๐๐ ๐๐๐๐, ๐๐๐ ๐๐๐๐ ๐ด๐๐๐๐ ๐๐ ๐ฒ๐๐๐๐๐ ๐๐๐๐.... ๐ด๐๐๐๐ ๐ด๐๐๐๐๐ ๐๐๐๐๐๐๐๐๐ ๐ญ๐๐ ๐๐ ๐๐ ๐๐๐๐๐๐๐ ๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐ ๐น๐๐๐ ๐๐ ๐๐๐๐๐๐ ๐ต๐๐๐๐๐๐๐๐๐ ๐๐๐ ๐ ๐ฉ๐๐๐ ๐๐๐๐๐ ๐๐ ๐๐๐๐๐๐๐๐ ๐๐ ๐น๐๐๐ ๐๐ ๐๐๐๐๐๐ ๐ฌ.๐จ, ๐๐๐๐๐๐ ๐น๐๐๐ ๐๐๐๐๐๐๐๐ na ๐๐๐๐๐ ๐ ๐๐๐๐๐๐๐ ๐ฏ๐๐๐๐๐๐๐๐ ๐๐ ๐ฉ๐๐๐๐๐ ๐ ๐ด๐๐๐๐๐, ๐๐๐ ๐๐ ๐๐๐ ๐๐๐๐๐๐๐๐ ๐๐๐๐๐๐๐๐๐ ๐๐๐๐๐๐๐๐ ๐๐๐๐๐๐๐ ๐๐๐๐๐....." Huyu ni Hassan Ilunga Kapungu.
Wanahistoria ni wengi na ushahidi wao ni mwingi juu ya haya, Nilipata kusikiliza hata ๐๐๐ ๐จ๐ฉ๐ค๐ง๐ฎ ๐๐ค๐ค๐ ya WCB ya Jamaal Mustafa (Profesa) iliyookuwa ikizungumza kuhusu Kilwa amabyo hii haikutaja ๐ฃ๐ ๐ฃ๐๐ฃ๐ ๐ ๐๐ก๐๐ช๐๐๐ฃ๐ฎ๐ ๐ข๐๐ ๐๐ช๐ช ๐ช๐๐ฃ๐๐ช๐ ๐? Bali iliishia tu kutaja Utukufu waHistoria yake na Utukufu wa Wakazi wake wa Zama zile.
Hapa nataka kujua ๐๐ ๐ฃ๐๐ฃ๐ ๐ช๐ฃ๐๐ ๐๐๐ช๐ ๐ ๐ช๐๐ช๐จ๐ช ๐ข๐๐ ๐๐ช๐ช ๐ฌ๐ ๐๐๐ก๐ฌ๐? ๐๐ ๐ ๐ฌ๐๐ก๐ ๐ช๐ฃ๐๐๐ข๐๐ฃ๐ ๐ช๐ก๐๐ ๐ช๐ฌ๐ ๐๐ฉ๐๐ ๐๐ฉ๐๐๐ช ๐ซ๐๐ก๐ ๐ช๐ฉ๐๐๐ฌ๐๐ซ๐ฎ๐ค? Kama ndiyo, ๐๐ ๐ ๐๐ฅ๐ ๐ ๐๐ก๐๐ช๐๐ฃ๐๐ช๐จ๐๐?
๐ฑ๐๐๐๐'๐๐ฃ๐๐๐๐๐
View attachment 2464077
Ubaguzi wa uarabu na uchotara sio uafrika!!!!Huyo mwandishi kaandika maoni yake!!!!Pia nikujulishe tu waarabu hawakuwahi kuwapenda wabantu na popote walipotawala wabantu walikua daraja la chini vizazi mpaka vizazi!!!!Hivyo wazee wetu hawakuwahi kua na upendo na waarabu wala kitu chochote kinachowahusu!!!Sababu hata hao waarabu hawakuwahi kuwapenda wazee wetu!!!Chuki imerithishwa kwa vizazi vyote vya waarabu na machotara wa kiarabu na wwbantuHabari zenu wanaJF, natumahi hamjambo na kila mtu yupo zake vema katika kupambania kombe.
Leo kama mada inavyosema nilitaka nipate zaidi ya nikijuacho ikiwezekana nifute nilichonacho au niongezee kwacho kuhusiana na ni nini kiliufanya mji wa Kilwa kutoka katika Heshima yake na kurudi katika Dharau yake na kutokutamanika haswaa.
Historia inaonyesha wazi ukifika Kilwa kisiwani ukaangalia masalia ya Mijengo iliyokuwepo zama zile, utakubariana na ๐๐๐ฃ ๐ฝ๐๐ฉ๐ช๐ฉ๐ kuwa Kilwa lilikuwa Jiji.
Kuna Muda waislaamu wa Afrika walipaita Kilwa ๐ ๐๐๐๐ ๐ฌ๐ ๐๐๐ฅ๐๐๐ kutokana na Wingi na ukubwa wa Misikiti iliyokuwa imejengwa ikajengeka ndani ya Kilwa Kisiwani, ambayo mpaka leo inastaajabisha Foundation yake.
Hapo alipofika Ibn Batuta akasema, "๐๐๐ฅ๐ฅ๐๐ก๐ข (๐ง๐๐๐ฉ๐ ๐ฌ๐ข๐ฃ๐๐ฉ๐๐ญ๐ ๐ฆ๐ฃ๐ข ๐ฆ๐ณ๐ฎ๐ฎ๐ซ๐ข ๐ง๐ ๐ง๐ข๐ฅ๐ข๐ฒ๐จ๐ฎ๐ฉ๐๐ง๐๐ ๐ค๐๐ญ๐ข๐ค๐ ๐ค๐ฎ๐ณ๐ฎ๐ง๐ ๐ฎ๐ค๐ ๐ค๐ฐ๐๐ง๐ ๐ฎ ๐ค๐๐ฆ๐ ๐๐ฃ๐ข ๐ก๐ฎ๐ฎ ๐ฐ๐ ๐๐ข๐ฅ๐ฐ๐.... ๐๐ฐ๐ ๐ฆ๐๐๐ง๐ ๐ฆ๐ฃ๐ข ๐ก๐ฎ๐ฎ ๐ฎ๐ง๐ ๐ฎ๐ฌ๐ญ๐๐๐ซ๐๐๐ฎ ๐ง๐ ๐ก๐๐ฌ๐ก๐ข๐ฆ๐ ๐ฒ๐๐ค๐ ...."
Hiyo ni miaka ya 1880's leo hii Mimi hapa, wa miaka ya 2000's huwezi kunishawishi kukaa katika Kisiwa kile, si Mimi tu hata Ibn Batuta mwenyewe akifufuka hawezi kupasifia kwa namna hii tena.
Nilijaribu kufuatilia ni nini kilikuwa mpaka pakarudi chini kabisaa? Sikyona Labda kuna vita iliyotokea watu wakaukimbia mji wake, sikuona ugonjwa ulotokea, sikuona siasa chafu za maudhi kama za leo labda zikawakera wananchi wakauhama, badala yake, naliona ๐๐๐๐ฃ๐ ๐ฌ๐ ๐ซ๐๐ค๐ฃ๐๐ค๐ฏ๐ walokuwepo zama zile, ubaguzi wa Uafrika na Uarabu (๐ผ๐๐ง๐๐๐๐). Hivi ndivyo vinatajwa kwa wingi kiwa viliurudisha na kuuvurugavuruga mji huu ili miji mingine iweze kuanzishwa na kukua, miji gani? Miji waloitaka wao, miji waloipenda wao.
Kabla sijakubariana na wanahistoria hawa, ikabidi nitafute ni nini ushahidi wa hayo, nikajikuta nakutana na kauli ya "๐บ๐ ๐๐ ๐๐ฒ๐๐๐๐ ๐๐๐๐๐๐ ๐๐๐๐๐๐๐๐ ๐๐๐๐๐๐ ๐๐๐๐, ๐๐๐ ๐๐๐๐ ๐ด๐๐๐๐ ๐๐ ๐ฒ๐๐๐๐๐ ๐๐๐๐.... ๐ด๐๐๐๐ ๐ด๐๐๐๐๐ ๐๐๐๐๐๐๐๐๐ ๐ญ๐๐ ๐๐ ๐๐ ๐๐๐๐๐๐๐ ๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐ ๐น๐๐๐ ๐๐ ๐๐๐๐๐๐ ๐ต๐๐๐๐๐๐๐๐๐ ๐๐๐ ๐ ๐ฉ๐๐๐ ๐๐๐๐๐ ๐๐ ๐๐๐๐๐๐๐๐ ๐๐ ๐น๐๐๐ ๐๐ ๐๐๐๐๐๐ ๐ฌ.๐จ, ๐๐๐๐๐๐ ๐น๐๐๐ ๐๐๐๐๐๐๐๐ na ๐๐๐๐๐ ๐ ๐๐๐๐๐๐๐ ๐ฏ๐๐๐๐๐๐๐๐ ๐๐ ๐ฉ๐๐๐๐๐ ๐ ๐ด๐๐๐๐๐, ๐๐๐ ๐๐ ๐๐๐ ๐๐๐๐๐๐๐๐ ๐๐๐๐๐๐๐๐๐ ๐๐๐๐๐๐๐๐ ๐๐๐๐๐๐๐ ๐๐๐๐๐....." Huyu ni Hassan Ilunga Kapungu.
Wanahistoria ni wengi na ushahidi wao ni mwingi juu ya haya, Nilipata kusikiliza hata ๐๐๐ ๐จ๐ฉ๐ค๐ง๐ฎ ๐๐ค๐ค๐ ya WCB ya Jamaal Mustafa (Profesa) iliyookuwa ikizungumza kuhusu Kilwa amabyo hii haikutaja ๐ฃ๐ ๐ฃ๐๐ฃ๐ ๐ ๐๐ก๐๐ช๐๐๐ฃ๐ฎ๐ ๐ข๐๐ ๐๐ช๐ช ๐ช๐๐ฃ๐๐ช๐ ๐? Bali iliishia tu kutaja Utukufu waHistoria yake na Utukufu wa Wakazi wake wa Zama zile.
Hapa nataka kujua ๐๐ ๐ฃ๐๐ฃ๐ ๐ช๐ฃ๐๐ ๐๐๐ช๐ ๐ ๐ช๐๐ช๐จ๐ช ๐ข๐๐ ๐๐ช๐ช ๐ฌ๐ ๐๐๐ก๐ฌ๐? ๐๐ ๐ ๐ฌ๐๐ก๐ ๐ช๐ฃ๐๐๐ข๐๐ฃ๐ ๐ช๐ก๐๐ ๐ช๐ฌ๐ ๐๐ฉ๐๐ ๐๐ฉ๐๐๐ช ๐ซ๐๐ก๐ ๐ช๐ฉ๐๐๐ฌ๐๐ซ๐ฎ๐ค? Kama ndiyo, ๐๐ ๐ ๐๐ฅ๐ ๐ ๐๐ก๐๐ช๐๐ฃ๐๐ช๐จ๐๐?
๐ฑ๐๐๐๐'๐๐ฃ๐๐๐๐๐
View attachment 2464077
Kabla. Ya waarabu kuja Afrika, hatukuwa na umaarufu wowote, hata Jina la Afrika ni la kiarabu ุฅูุฑู . Mji mashuhuri Dares salaam ni Jina la kiarabu aliloubatiza muarabu ุฏุงุฑ ุงูุณูุงู , wazungu walitukira tushaendelwa kitambo kwa msaada wa waarabu, iliwabidi wawazishie waarabu ili kubadili mind zetu tuwaone wabaya, wachache waliodanganyika wajafuata uzungu na wengune wakagoma akina, Songea Mbano, Mkwawa, n.k wakapambana na Mjerumani. Vita ya Mqjimaji ilikuwa ni Jihaad ya waislaamu dhidi ya Uzungu.Nitajie mkoa mmoja tu uliokaliwa na waarabu ulioendelea! Hakuna!
Waarabu sijui walikua wanalaana gani kila walipokua wanaweka kituo cha makazi yao wakiondoka ndiyo bas!
Anzia bagamoyo kilwa kondoa na sehem nyingine zilizojaa uarabu hamna kitu!
Hii ndiyo hoja yenye mashiko mpak sasa kkMimi mwenyewe ni mzaliwa wa Masasi na nimekulia pale wakati wa makuzi yangu nilipata kusikia kwamba ile reli iling'olewa na serikali ya mwl J.k Nyerere kwa sababu wanazojua wenyewe ila wananchi wanadai ni kutotaka tu mikoa ya kusini isiendelee yani ni kama chuki flani kana kwamba mikoa ya kusini sio ya Tanzania ila ni ya Msumbiji
Sent from my SM-J111F using JamiiForums mobile app
Mbona haijibu kile ulichouliza Chief inakuwaje na mashiko au imekugusa..Hii ndiyo hoja yenye mashiko mpak sasa kk
Hqijibu nilichouliza ila ninaendana zaidibna hoja nyingi nilizopata kwa wanahistoria.Mbona haijibu kile ulichouliza Chief inakuwaje na mashiko au imekugusa..
Miliki ya kilwawazunguHabari zenu wanaJF, natumahi hamjambo na kila mtu yupo zake vema katika kupambania kombe.
Leo kama mada inavyosema nilitaka nipate zaidi ya nikijuacho ikiwezekana nifute nilichonacho au niongezee kwacho kuhusiana na ni nini kiliufanya mji wa Kilwa kutoka katika Heshima yake na kurudi katika Dharau yake na kutokutamanika haswaa.
Historia inaonyesha wazi ukifika Kilwa kisiwani ukaangalia masalia ya Mijengo iliyokuwepo zama zile, utakubariana na ๐๐๐ฃ ๐ฝ๐๐ฉ๐ช๐ฉ๐ kuwa Kilwa lilikuwa Jiji.
Kuna Muda waislaamu wa Afrika walipaita Kilwa ๐ ๐๐๐๐ ๐ฌ๐ ๐๐๐ฅ๐๐๐ kutokana na Wingi na ukubwa wa Misikiti iliyokuwa imejengwa ikajengeka ndani ya Kilwa Kisiwani, ambayo mpaka leo inastaajabisha Foundation yake.
Hapo alipofika Ibn Batuta akasema, "๐๐๐ฅ๐ฅ๐๐ก๐ข (๐ง๐๐๐ฉ๐ ๐ฌ๐ข๐ฃ๐๐ฉ๐๐ญ๐ ๐ฆ๐ฃ๐ข ๐ฆ๐ณ๐ฎ๐ฎ๐ซ๐ข ๐ง๐ ๐ง๐ข๐ฅ๐ข๐ฒ๐จ๐ฎ๐ฉ๐๐ง๐๐ ๐ค๐๐ญ๐ข๐ค๐ ๐ค๐ฎ๐ณ๐ฎ๐ง๐ ๐ฎ๐ค๐ ๐ค๐ฐ๐๐ง๐ ๐ฎ ๐ค๐๐ฆ๐ ๐๐ฃ๐ข ๐ก๐ฎ๐ฎ ๐ฐ๐ ๐๐ข๐ฅ๐ฐ๐.... ๐๐ฐ๐ ๐ฆ๐๐๐ง๐ ๐ฆ๐ฃ๐ข ๐ก๐ฎ๐ฎ ๐ฎ๐ง๐ ๐ฎ๐ฌ๐ญ๐๐๐ซ๐๐๐ฎ ๐ง๐ ๐ก๐๐ฌ๐ก๐ข๐ฆ๐ ๐ฒ๐๐ค๐ ...."
Hiyo ni miaka ya 1880's leo hii Mimi hapa, wa miaka ya 2000's huwezi kunishawishi kukaa katika Kisiwa kile, si Mimi tu hata Ibn Batuta mwenyewe akifufuka hawezi kupasifia kwa namna hii tena.
Nilijaribu kufuatilia ni nini kilikuwa mpaka pakarudi chini kabisaa? Sikyona Labda kuna vita iliyotokea watu wakaukimbia mji wake, sikuona ugonjwa ulotokea, sikuona siasa chafu za maudhi kama za leo labda zikawakera wananchi wakauhama, badala yake, naliona ๐๐๐๐ฃ๐ ๐ฌ๐ ๐ซ๐๐ค๐ฃ๐๐ค๐ฏ๐ walokuwepo zama zile, ubaguzi wa Uafrika na Uarabu (๐ผ๐๐ง๐๐๐๐). Hivi ndivyo vinatajwa kwa wingi kiwa viliurudisha na kuuvurugavuruga mji huu ili miji mingine iweze kuanzishwa na kukua, miji gani? Miji waloitaka wao, miji waloipenda wao.
Kabla sijakubariana na wanahistoria hawa, ikabidi nitafute ni nini ushahidi wa hayo, nikajikuta nakutana na kauli ya "๐บ๐ ๐๐ ๐๐ฒ๐๐๐๐ ๐๐๐๐๐๐ ๐๐๐๐๐๐๐๐ ๐๐๐๐๐๐ ๐๐๐๐, ๐๐๐ ๐๐๐๐ ๐ด๐๐๐๐ ๐๐ ๐ฒ๐๐๐๐๐ ๐๐๐๐.... ๐ด๐๐๐๐ ๐ด๐๐๐๐๐ ๐๐๐๐๐๐๐๐๐ ๐ญ๐๐ ๐๐ ๐๐ ๐๐๐๐๐๐๐ ๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐ ๐น๐๐๐ ๐๐ ๐๐๐๐๐๐ ๐ต๐๐๐๐๐๐๐๐๐ ๐๐๐ ๐ ๐ฉ๐๐๐ ๐๐๐๐๐ ๐๐ ๐๐๐๐๐๐๐๐ ๐๐ ๐น๐๐๐ ๐๐ ๐๐๐๐๐๐ ๐ฌ.๐จ, ๐๐๐๐๐๐ ๐น๐๐๐ ๐๐๐๐๐๐๐๐ na ๐๐๐๐๐ ๐ ๐๐๐๐๐๐๐ ๐ฏ๐๐๐๐๐๐๐๐ ๐๐ ๐ฉ๐๐๐๐๐ ๐ ๐ด๐๐๐๐๐, ๐๐๐ ๐๐ ๐๐๐ ๐๐๐๐๐๐๐๐ ๐๐๐๐๐๐๐๐๐ ๐๐๐๐๐๐๐๐ ๐๐๐๐๐๐๐ ๐๐๐๐๐....." Huyu ni Hassan Ilunga Kapungu.
Wanahistoria ni wengi na ushahidi wao ni mwingi juu ya haya, Nilipata kusikiliza hata ๐๐๐ ๐จ๐ฉ๐ค๐ง๐ฎ ๐๐ค๐ค๐ ya WCB ya Jamaal Mustafa (Profesa) iliyookuwa ikizungumza kuhusu Kilwa amabyo hii haikutaja ๐ฃ๐ ๐ฃ๐๐ฃ๐ ๐ ๐๐ก๐๐ช๐๐๐ฃ๐ฎ๐ ๐ข๐๐ ๐๐ช๐ช ๐ช๐๐ฃ๐๐ช๐ ๐? Bali iliishia tu kutaja Utukufu waHistoria yake na Utukufu wa Wakazi wake wa Zama zile.
Hapa nataka kujua ๐๐ ๐ฃ๐๐ฃ๐ ๐ช๐ฃ๐๐ ๐๐๐ช๐ ๐ ๐ช๐๐ช๐จ๐ช ๐ข๐๐ ๐๐ช๐ช ๐ฌ๐ ๐๐๐ก๐ฌ๐? ๐๐ ๐ ๐ฌ๐๐ก๐ ๐ช๐ฃ๐๐๐ข๐๐ฃ๐ ๐ช๐ก๐๐ ๐ช๐ฌ๐ ๐๐ฉ๐๐ ๐๐ฉ๐๐๐ช ๐ซ๐๐ก๐ ๐ช๐ฉ๐๐๐ฌ๐๐ซ๐ฎ๐ค? Kama ndiyo, ๐๐ ๐ ๐๐ฅ๐ ๐ ๐๐ก๐๐ช๐๐ฃ๐๐ช๐จ๐๐?
๐ฑ๐๐๐๐'๐๐ฃ๐๐๐๐๐
View attachment 2464077
Wazungu walikuta waarabu ndio wameendelea sio wabantu!!!Wabantu kwa waarabu walikua vijakazi na watumwa!!!!Waarabu hawakuwahi kuwapenda wabantu mdogo wangu wanatutizama kama race(Rangi) ya jamii ya chini ya kutoa watumwa na vijakazi wa kuwazalishia machotara ili kuendeleza nasaba zao kwa manufaa yao!!!!Ndio maana hata wanaume wa kibantu kuoa mabibi wa kiarabu ilipigwa marufuku kwenye himaya zote za waarabu afrika!!!!Jitahidi usome historia ya wabantu mdogo wangu!!!!Weka udini pembeni tafuta ukweli kuhusu historia ya wabantuKabla. Ya waarabu kuja Afrika, hatukuwa na umaarufu wowote, hata Jina la Afrika ni la kiarabu ุฅูุฑู . Mji mashuhuri Dares salaam ni Jina la kiarabu aliloubatiza muarabu ุฏุงุฑ ุงูุณูุงู , wazungu walitukira tushaendelwa kitambo kwa msaada wa waarabu, iliwabidi wawazishie waarabu ili kubadili mind zetu tuwaone wabaya, wachache waliodanganyika wajafuata uzungu na wengune wakagoma akina, Songea Mbano, Mkwawa, n.k wakapambana na Mjerumani. Vita ya Mqjimaji ilikuwa ni Jihaad ya waislaamu dhidi ya Uzungu.
Sasa na wewe niambie Waarabu waliinua miji mingi kuwa maarufu ila ilidhoofishwa baada ya wao kwenda kwasababu ilikuwa miji ya waislamu na watawala walikuwa wakrusto baafa ta uhuru. Je ni mji gani ulikuzwa na wazungu?
Kabla. Ya waarabu kuja Afrika, hatukuwa na umaarufu wowote, hata Jina la Afrika ni la kiarabu ุฅูุฑู . Mji mashuhuri Dares salaam ni Jina la kiarabu aliloubatiza muarabu ุฏุงุฑ ุงูุณูุงู , wazungu walitukira tushaendelwa kitambo kwa msaada wa waarabu, iliwabidi wawazishie waarabu ili kubadili mind zetu tuwaone wabaya, wachache waliodanganyika wajafuata uzungu na wengune wakagoma akina, Songea Mbano, Mkwawa, n.k wakapambana na Mjerumani. Vita ya Mqjimaji ilikuwa ni Jihaad ya waislaamu dhidi ya Uzungu.
Sasa na wewe niambie Waarabu waliinua miji mingi kuwa maarufu ila ilidhoofishwa baada ya wao kwenda kwasababu ilikuwa miji ya waislamu na watawala walikuwa wakrusto baafa ta uhuru. Je ni mji gani ulikuzwa na wazungu?
Chuo cha Al qurayn ni chuo kikuu cha kwanza Afrika na kilijengwa miaka mingi kbla ya Oxford huko Timbuktu. Kilijengwa na mdada wa kiarabu Bi Fatma Al qurayn.Maendeleo huwa yanaletwa na elimu.
Huko kilwa mwarabu aliacha shule gani? Ama chuo gani cha elimu
Naomba mnitajie shule na chuo hata kimoja cha elimu dunia ambacho mwarabu alikijenga ?
Baada ya uhuru serikali ilitaifisha shule zote ziwe za uma.. nitajieni shule za serikali ambazo zilitaifishwa ambazo zilijengwa na waarab
Leta hoja za kusupport usemayoAcha kupotosha kabisa. Unapotosha historia makusudi kabisa
Chuo cha Al qurayn ni chuo kikuu cha kwanza Afrika na kilijengwa miaka mingi kbla ya Oxford huko Timbuktu. Kilijengwa na mdada wa kiarabu Bi Fatma Al qurayn.
Papa wa kwanza alisoma Hpo.
Ukizungumza kuhusu elimu duniani, unazungumza wataalamu wa Kiislaamu, hivi hujuhi kuwa hata Algebra ni mahesabu ya Mr Aljibriy?

Waling'oa mataruma baada ya reli kuota nyasi na mitiHapo upotoshaji ni upi, ๐๐๐ก๐ ๐๐ก๐๐๐ค๐ข๐ค๐ก๐๐ฌ๐ ๐ฃ๐ ๐ฌ๐๐ฉ๐ช ๐ฌ๐๐ ๐ช๐จ๐๐ฃ๐ ๐ฌ๐๐ฃ๐ฎ๐๐ฌ๐, mbona kauli hii ni dhaifu sana, unataka useme Watu wa kusini ni wajinga wa kuchukia maendeleo kiasi hicho?
Je! Kama kweli usemayo, Serikali ilichukua hatua gani kwa watu hao? Au ilifurahi pia??
Nijibu wala usitangulize matusi vaa hekima