Kilwa: Kutoka mji bora hadi magofu yasiyo na faida

Hii mikoa imeuliwa kimkakati kutokana na watu walio katika mikoa hiyo,
Rejea zanzibar miaka ya 2005 tu ilikiwa kila mtu anaenda kutafuta maisha zanzibar ,
Leo kuna nini zanzibar????

Mpango mkakati ndio umeimaliza hii mikoa
 
Unaweza kuweka uthibitisho wa hili? Au kwa kuwa kasema marehemu Ilunga unachukulia ni kweli?
 
Huo mji ulikuwa na lami?🤣
 
Na wale Nnge walitoka wapi?

Sent from my Infinix X665 using JamiiForums mobile app
 
Mzee Mohamed Said pitia hapa, tueleze kidogo kuhusu Kilwa na anguko lake japo kihistoria ni mji muhimu.
 
Dsm hajawahi kuwa mji wa waarabu mji wa waarabu ulikua bagamoyo...mkoloni mwingereza ndio alihamishia bandari dsm mana dsm ilikua ni mji wa wavuvi wadogo wadogo
Mi mji wa waarabu, na historia ipo
Jengo la old boma, one of the oldest in the city centre lilijengwa na sultan

Si hivyo tu atiman house ile nyumba ya wamisionari wa white fathers ambayo ni moja ya majengo yalioasisi ukatoliki tanzania lilijengwa na waarabu tena sultan I mwenyewe wa zanzibar, lilikuwa jengo lake la kuishi familia na wake zake ndio wao kanisa wakanunua nyumba hiyo, iko pale posta

Unadhani wazungu wangeianzisha dar wangekubali mji uwe jina la lugha isiyo yao, lazima wangeupa mji jina la kizungu, ila waliacha kwa maana tayari mjinulisha kaliwa
 
Shida ni mtoa pointi ana mlengo wa udini, anajitia waarabu waarabu hana lolote
 
Waliokapigana vita vya majimaji walikuwa waislamu tupu?
 
Mikoa ya Lindi Mtwara ni kweli kuna namna flani hivi kama ilisahaulika kwa muda. Hili la reli ndo aliona humu kwa mara ya kwanza, it is my task kufuatilia na nikipata mrejesho nitauleta. Kwa sasa kuna potential kubwa san amikoa hii, bado ni eneo unaweza nunua ardhi kubwa kwa bei rahisi na kufanya project hata ya kilimo au ufugaji. Pia maeneo mengi kwa sasa yanafikika.

Pale Kilwa na Masoko na Kilwa kisiwani, with proper inventment inaweza kuwa eneo zuri la kitalii.
 
Nadhani reli haikujengwa...

The chief item in the development program was a plan to devote 3 million acres (1.2 million hectares) of land to the production of peanuts (the Groundnuts Scheme). The plan, which was to be financed by the British government, was to cost £25 million, and, in addition, a further £4.5 million would be required for the construction of a railway in southern Tanganyika. It failed because of the lack of adequate preliminary investigations and was subsequently carried out on a greatly reduced scale......
 
Acha wikipedia hizo hazitakupa taarifa reli ilikuwepo.fika mtwara utakuta daraja lake na vitabu vipo mpaka gavana twining alikuja kufungua.
 
Ni kweli reli MGR ilijengwa kusin kuanzia mtwara Hadi nachingwea 1952 na alizindua Havana jenerali wa Tanganyika enzi hizo reli hiyo ilingolewa miaka ya 1970 na tawala za wakati huo kutoka na kutokuwa na Tina na pia athari za Vita vya kusin mwa Afrika hivyo kukakoseka uzalishaji na mzigo hivyo reli ikakosa Tina na kuondolewa .Tuta la reli lipo Hadi leo.
 
Kuhusu reli nilikuwa kijiji flani hivi kinaitwa Majiwa ndani ndani huko, katika pitapita zangu nikaonyeshwa reli iko msituni. Na inaonyesha ilijengwa zamani sana
 
Nitajie mkoa mmoja tu uliokaliwa na waarabu ulioendelea! Hakuna!

Waarabu sijui walikua wanalaana gani kila walipokua wanaweka kituo cha makazi yao wakiondoka ndiyo bas!

Anzia bagamoyo kilwa kondoa na sehem nyingine zilizojaa uarabu hamna kitu!
Hiyo laana umeitoa wapi? Au ndio vijiwe vya kahawa mkuu!

Acha wivu aise, jiji la dar lina waarabu/waislamu wengi kuliko jiji/mkoa wowote Tanzania, je! na dar hapaendelei? Acha ubaguzi, acha roho za hivyo mkuu, hebu jitathmini upya kabla hujacomenti.
 
Tanga kuna maendeleo gan mji unajifia taratibu ule?
Umekufa Sababu Ya serikali ama Umekufa sababu ya waarabu?

Tanga ni Manispaa 1956, ilikuwa na viwanda kibao kuanzia Mbolea, Sabuni, vipodozi, vinywaji na mambo kedekede, taratibu vikaanza kutelekezwa, Barbara za Lami zikabaki mashimoshimo, bandari ikatelekezwa, na mji ukaachwa kama Ulivyo.

Yaani muharibu kila kitu kilichoanzishwa na Waarabu/Wahindi halafu musingizie eti mikoa Yao haina maendeleo.
 
Dsm hajawahi kuwa mji wa waarabu mji wa waarabu ulikua bagamoyo...mkoloni mwingereza ndio alihamishia bandari dsm mana dsm ilikua ni mji wa wavuvi wadogo wadogo
Dar es salaam ni neno la kiarabu Dar

In the 19th century, Mzizima (Swahili for "healthy town") was a coastal fishing village on the periphery of Indian Ocean trade routes.[4][5] In 1865 or 1866, Sultan Majid bin Said of Zanzibar began building a new city very close to Mzizima[5] and named it Dar es Salaam. The name is commonly translated from Arabic as "abode (home) of peace", from dar ("house"), and es salaam ("of peace")

We Angalia tu Majengo ya Zamani ya Dar wamiliki wake ni kina Nani? Wajerumani wameukuta Mji,
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…