Kilwa: Kutoka mji bora hadi magofu yasiyo na faida

Hilo neno Swahili ni neno la kiarabu,maana yake ni Pwani.Ni mojawapo ya faida ya waarabu,kutuletea lugha ya kiswahili.
 
Nina wasiwasi na kiwango chako cha ubantu.Sisi wabantu hasa watoto tunaotoka koo za kichifu hatuna mwarabu mwema,tumepigana nao vita tokea zamani walipokua wanakuja kutafuta watumwa na pembe za ndovu na hatujawahi kua na urafiki nao tangia babu zetu mtemi Mbaayo,mtemi Nyamunge,Mtemi Hiyeru na mtemi Isike kwa upande wa kati na magharibi mwa himaya za babu zetu.Afu kuhusu huyo allah sisi wabantu hatumjui huyo bali tunamjua MUKAMA ndio mungu wetu.Ni mwiko kwetu kutukuza mila na desturi,imani na tamaduni za waarabu na wazungu na watu wote wenye ngozi za rangi ya pinki.Kama unawashukuru washukuru wewe ila sio sisi watoto wa koo za machifu.
 
Sisi wabantu tuna dini zetu walizotuachia babu zetu.Kama unawashukuru basi uwashukuru wewe na jamii yako.Sisi tunaotoka koo za kichifu za kibantu tuna utamaduni wetu hatuwezi kuwashukuru wageni.Babu zetu ni bora kuliko mtu yoyote yule na mungu wetu MUKAMA ni bora zaidi kuliko huyo mungu wa kiarabu.
 
allah ni mungu wa waarabu hawezi kuniongoza mimi mbantu asilia.Mimi nitaongozwa na mizimu ya Babu yangu Ntare lushasi Ntare kilembwe cha mtemi Ntare wa unyamboni alietokana na mwina wa mtemi Isike na vizazi vya wahima na watusi na wanyankole na mwina wa buhayani.
 
Mwenyezi Mungu sio tu wa waarabu, bali ni Mola wa walimwengu wote👇

Al-Fatiha(The Opening)

-1-
بِسْمِ اللَّهِ الرَّحْمَٰنِ الرَّحِيمِ
KWA JINA LA MWENYEZI MUNGU MWINGI WA REHEMA MWENYE KUREHEMU.

-2-
الْحَمْدُ لِلَّهِ رَبِّ الْعَالَمِينَ
Sifa njema zote ni za Mwenyezi Mungu, Mola Mlezi wa viumbe vyote;

-3-
الرَّحْمَٰنِ الرَّحِيمِ
Mwingi wa Rehema Mwenye Kurehemu;

-4-
مَالِكِ يَوْمِ الدِّينِ
Mwenye Kumiliki Siku ya Malipo.

_5-
إِيَّاكَ نَعْبُدُ وَإِيَّاكَ نَسْتَعِينُ
Wewe tu tunakuabudu, na Wewe tu tunakuomba msaada.

-6-
اهْدِنَا الصِّرَاطَ الْمُسْتَقِيمَ
Tuongoe njia iliyo nyooka,

-7-
صِرَاطَ الَّذِينَ أَنْعَمْتَ عَلَيْهِمْ غَيْرِ الْمَغْضُوبِ عَلَيْهِمْ وَلَا الضَّالِّينَ
Njia ya ulio waneemesha, siyo ya walio kasirikiwa, wala walio potea.
 
Hapana huyo ni mungu wa waarabu na anatumia lugha yao ya kiarabu!!!Mbona hujaandika kinyamwezi umeandika kiarabu na unatamka maneno ya kiarabu?????.Na hata aliyeipromote hiyo imani mnamuita mtume ni mwarabu na mnasali kiarabu.Sisi wabantu tunasali kwa lugha zetu hatuwezi kumwamini mungu wa waarabu.Tuna mungu wetu anaitwa kwa majina tofauti ya lugha zetu za kibantu na sio huyo unaesema ndugu yangu.Mimi natokea koo za machifu wa kibantu siamini imani na miungu ya wazungu,waarabu au wayahudi.
 
Angekua mungu wetu wabantu asingetumia kiarabu.Kila kitu anatumia kiarabu basi huyo ni wazi ni mungu wa watu wa jamii za kiarabu.Ni sawa na wayahudi walivyo na mungu wao anaitwa Eli-Shadai au Yehova.Nadhani umenielewa ndugu yangu
 
Za vijiwenu kwetu ni kwamba nyerere ndiye aliyeamua kufubaisha pwani na sio wananchi.
We chukulia kama magu amejenga magufuli city dodoma na kuweka njia nne mitaa yote halafu dar aliiacha ikinyauka.impact yake ingeonekana miaka ya baadae.
 

Nimeshakuambia Mwenyezi Mungu sio wa waarabu pekee, bali ni Mola wa walimwengu wote, sasa nini huelewi!!


👇
Sisi wabantu tunasali kwa lugha zetu hatuwezi kumwamini mungu wa waarabu
Jisemee peke yako na sio wote
 
Ibn batuta alipita kilwa 1300s na si 1800s
 
Mizimu ni kitu gani!?
 
Hiyo laana umeitoa wapi? Au ndio vijiwe vya kahawa mkuu!

Acha wivu aise, jiji la dar lina waarabu/waislamu wengi kuliko jiji/mkoa wowote Tanzania, je! na dar hapaendelei? Acha ubaguzi, acha roho za hivyo mkuu, hebu jitathmini upya kabla hujacomenti.
Sio kweli.bali walipoondoka na baraka zikaondoka.biashara hazifanyiki kwa uaminifu kama walivokuwa wao.riba,ukipewa mali unaiba. Bagamoyo ndio ilikua dar res salaam ya leo. Ila ipo wap? Kulikua na matajir wakubwa wakubwa hapo.mfano mzee Sewa Hajj Paroo.huyo alikua tajiri mkubwa sana,nadhan unaona hilo jina. Wahindi walijaa Bagamoyo
Ilikua makampuni makubwa ya wahindi mfano Karimjee Jivanjee alikua ana ofisi maeneo prominent kama vile , Hq zanzibar, branches ni Bagamoyo,Mikindani,tanga na lindi.kama wewe mtu wa history utajua hio miji ilistawi vip. Ila walipoondoka baada ya fitina na biashara kubadilika ndio hatimaye magofu. Kilwa kivinje kulijaa waarabu.bagamoyo napo.mmeachwa waswahel biashara zinakufa kwanza maskin pili biashara hazina tena uaminifu. Angalau mji mkongwe zanzibar still una survive maana kule ukweli kwenye biashara upo bado. Mpemba akikwambia kitu fulan bei hii na hakina matatizo na kingine atakwambia hiki bei hii ila kina kasoro hii na hii kama upo radhi sawa.ukweli huo wabara upo? Mtu tena ndio atakuficha kibovu ili kikakufie mbele.unadhan miji itabaki.??
 
Nitajie mkoa mmoja tu uliokaliwa na waarabu ulioendelea! Hakuna!

Waarabu sijui walikua wanalaana gani kila walipokua wanaweka kituo cha makazi yao wakiondoka ndiyo bas!

Anzia bagamoyo kilwa kondoa na sehem nyingine zilizojaa uarabu hamna kitu!
Sio kweli.bali walipoondoka na baraka zikaondoka.biashara hazifanyiki kwa uaminifu kama walivokuwa wao.riba,ukipewa mali unaiba. Bagamoyo ndio ilikua dar res salaam ya leo. Ila ipo wap? Kulikua na matajir wakubwa wakubwa hapo.mfano mzee Sewa Hajj Paroo.huyo alikua tajiri mkubwa sana,nadhan unaona hilo jina. Wahindi walijaa Bagamoyo
Ilikua makampuni makubwa ya wahindi mfano Karimjee Jivanjee alikua ana ofisi maeneo prominent kama vile , Hq zanzibar, branches ni Bagamoyo,Mikindani,tanga na lindi.kama wewe mtu wa history utajua hio miji ilistawi vip. Ila walipoondoka baada ya fitina na biashara kubadilika ndio hatimaye magofu. Kilwa kivinje kulijaa waarabu.bagamoyo napo.mmeachwa waswahel biashara zinakufa kwanza maskin pili biashara hazina tena
 

Waeleze mkuu, watu walikua wanafanya biashara halali ndiomaana kuliendelea/waliendelea.
 
Waeleze mkuu, watu walikua wanafanya biashara halali ndiomaana kuliendelea/waliendelea.
Namshangaa saana aanaposema sehem walizokaa waarabu walivoondoka zinakufa
Sababu ya kufa ni kwamba waliobak hawakuendesha baishara kwa uaminifu. Leo mtu anataka akuibie ilihali wewe unampa pesa yeye anakupa hiyana, miji gani itaendelea.ukifanya biashara na ukawa muapiaji mkubwa kwamba hichi nachouza nimekipata kwa bei hii na mim nakuuzia kwa bei hii tena hakiamung sipati chcochte kumbe uongo.bas jua biashara yako haitakua na faida na utapata rizk yako ya kula tu wala hutaweza kue delea.
 
Kweli kabisa mkuu
 
Nitajie mkoa mmoja tu uliokaliwa na waarabu ulioendelea! Hakuna!

Waarabu sijui walikua wanalaana gani kila walipokua wanaweka kituo cha makazi yao wakiondoka ndiyo bas!

Anzia bagamoyo kilwa kondoa na sehem nyingine zilizojaa uarabu hamna kitu!
Kweli mkuu,sijui waarabu wanadumaza sana akili jamani.
 
Kilwa ilikuwa hadi na fedha yake. Hata Ibn Batuta pamoja na kuzunguka miji yote lakini alistaajabishwa mno na ustawi wa mji wa kilwa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…