Kilwa Lindi: Miaka 30 jela kwa kukiri kuruhusu kuingiliwa kinyume na maumbile

Aliyemuingilia yupo nje free kwenda kuwsingilia wengine
 
Sio sawa kumpiga mtu kwa sababu ya ushoga
 
Hao wanaokamatwa wamekamatwaje, Yule wambeya, na wangejificha Mambo yao kichini tungewajua.?
Sasa unajua tafsiri ya neno kujionesha?? Au kujiweka wazii?? Nilihitaji ufafanuzi wako ili na mie nipime nione km ni sahihi.
 
huwezi kuzuia watu kugongwa, Ila unaweza kuzuiwa wagongwaji kujitangaza Public kwa njia moja au nyengine. Walitakiwa wa focus na kuzima hilo wimbi la hao wagongwaji kujiachia mitaani na mitandano pamoja na wale wanaharakati wao. Kukamata watu wakawaida mitaani ni kujizonga tu.
 
Wasagaji siku hizi wamepoa kweli, toka sakata la milembe na shonza wamejificha au kukimbia, mashoga wanajionyesha Sana mitaani.
Wanawake ni wasiri sana! Halafu tamaa ya kusagana mpaka wawe kwenye hot period (siku za ute)
Wanaume akiona makalio amesha waka tamaa!
Kuna siku nilimfumania mke wa jirani anamsaga mwenzie miguu kamuweka begani anamsulubu!
Baada ya kuwatisha kwamba nitawatangaza kijiweni! Nikapozwa na kufungwa mdomo na code nzuri hadi sasa nimekausha[emoji38][emoji38][emoji38]
 
Sipati picha yaan dume Zima unaruhusu kutafunwa nyuma
Nilimuhoji shoga mmoja wa kike akasema ukizoea huko kuna utamu kuliko voda!
Kuna sehemu wanapiga debe tigo buku jero voda nyongeza...[emoji56][emoji38][emoji38][emoji38]
 
Ameingiliwa na Nani?
Ameingiliwa lini?
Ameingiliwa wakiwa wapi? Shahidi Ni Nani na Nani?
Hizi mahakama za mwanzo zinakiuka Sheria.
Au labda Kibwege amechoka kuishi mtaani ?
Hata yule wa Mbeya, mhuni aliyemchakachua hakuletwa mahakamani.
Mbaya sana hii. Hapa mabasha ndio wanatakiwa kuhukumiwa. Unadinda vipi kwa mwanaume mwenzako!? Huyo choko ameonewa pakubwa. Maana kwa aina ya kosa la huyo choko, lazima awepo anayemuingilia.
 
Mbaya sana hii. Hapa mabasha ndio wanatakiwa kuhukumiwa. Unadinda vipi kwa mwanaume mwenzako!? Huyo choko ameonewa pakubwa. Maana kwa aina ya kosa la huyo choko, lazima awepo anayemuingilia.
Halafu Huwezi kuwa basha bila kusengeka

Sent from my vivo Y67 using JamiiForums mobile app
 
Hauwezi thibitisha muingiliaji bali ni rahisi kuthibitisha muingiliwaji
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…