Behaviourist
JF-Expert Member
- Apr 8, 2016
- 39,926
- 95,626
Picha haisemi ni nini hicho.Kwani hiyo picha ina maelezo kuwa hiyo mifuko ni ya madawa ya kulevya?Umachaga unakusumbua mkuu,huoni hiyo picha inaonesha source ya habari mkuu?View attachment 1762600
Wewe Naona utakua umekuja mjin juzi, kaa kwa kutulia
Mkuu Naona bado unaakili za jana usiku,Picha haisemi ni nini hicho.Kwani hiyo picha ina maelezo kuwa hiyo mifuko ni ya madawa ya kulevya?
Unaenda msumbiji ndio destination yao...Hao usikute walikua wanapita tu bongo kama njia na mzigo unakwenda kwingine kabisa.
Mwenye akili za jana usiku ni wewe ulieweka picha ambayo haina maelezo ya wenye picha hiyo halafu unatulazimisha tuitumie kama source ya habari yako.Kama viroba vilivyopo kwenye picha ni viroba vya nafaka tutajuaje?Tutajuaje kuwa viroba vilivyopo kwenye hiyo picha ni viroba vya heroin na wala siyo viroba vya maharage?Mkuu Naona bado unaakili za jana usiku,
Member dizaini yako wanazidi kupungua tumejaza mashabiki wa vyama yaani kuna wanaotaka kutuaminisha mwandazake yote alipatia na wengine kutuaminisha hakuna alilofanya vizuriKwenye madawa binamu tuwe wakweli magufuli alipaweza sana,
Kilo ngapi? Thamani?Mamlaka ya Kudhibiti na Kupambana na Dawa za Kulevya (DCEA) kwa kushirikiana na kikosi cha wanamaji cha JWTZ imewakamata watu saba wakisafirisha dawa za kulevya aina ya heroin zaidi ya tani moja kwa kutumia jahazi. Dawa hizo zimekamtwa eneo la Kilwa Masoko mkoani Lindi.
View attachment 1762581View attachment 1762582View attachment 1762583
Magu ameshafariki hawezi rudi tena naona nikukumbushe hilo. Madhaifu unayo yaona kwa Raisi wa sa hivi ndo ambayo walikuwa wakiona wengine wakati wa Magu.Tuliokua tunasema now hatuna raisi Naona mnaanza kutuelewa tu taratibu ... rest in power magufuliI
Tuliokua tunasema now hatuna raisi Naona mnaanza kutuelewa tu taratibu ... rest in power magufuli
Hapana inalimwa Afghanistan [emoji1023]Pakistan si ndio shambani mkuu.
Katikati hapa unga mwingi ulikuwa unashushwa msumbiji kwa majahaziNi mzigo mkubwa Sanaa