let the caged bird sings
JF-Expert Member
- Sep 19, 2020
- 3,699
- 8,857
Wewe ni miongoni mwa wale wanaoamini wazungu wana kopyuta na remote yakuongoza watu waandamane ama wasiandamane.Mzungu sio mtu mzuri aliweza wajaza sumu ndugu leo hii wanachukiana na kuonana kama maadui
sijajua kama kuna watu waliokotwa kwenye viroba,kwa kuwa sijawahi kusikia hata kwenye vyombo vya habari habari zao,ningesikia nisingeacha kukemea upuuzi upuuziHuko kwenu mliandamana ilipokuwa inaokotwa miili ya watu kwenye viroba!!???
Shida sana aiseeWakiandamana kuna uwezekano wakauliwa wote, anayedai ni kiongozi wao, hajali utu wa yeyote.
Familia yake haijauliwa,waliforciwa waangalie hayo mauaji tu,mume kauliwa peke yake..Jamanii na Familia yake wakauliwa aisee kumbe bora Tanzania huko kwingine ni kugumu zaidi kuishi
Na ww usiwe na mawasiliano na nje ya nyumba yako!Hata Sisi tuige mfano tuache kuleta story za nchi za Nje!? Zinamathara kama Korea Kaskazini wameanza kila mtu ataanza kulindwa story zake hata YouTube iwe ni ya nchi husika yaani YouTube Tanzania..."Kwenye neno Tamani"
We ndip umesema hvyo. Ila mm nilimanisha sela walizo waletea ndizo zilizopelekea utengano wao kumbuka kuna mmoja ni mcommunist mwingine sioWewe ni miongoni mwa wale wanaoamini wazungu wana kopyuta na remote yakuongoza watu waandamane ama wasiandamane.
Mungu wanamjua?!Babu na baba yake wote walikufa kwa amri ya Mungu.
Mateka.. 😂 😂 😂Hao wananchi ni mateka kabisa, anafanya hayo kwa faida ya nani?
Shida ni uoga, lakini nchi nzima iamue, kwani ataua kila mtu abakie na jeshi? Hata hao jeshi wamezaliwa, wakafutwa mavi, na kulishwa hadi sahi wamekuwa watu wa kujitegemea So hakuna vile atakubali familia yake iishe kimasihara na yeye yuko, no way! Issue ni uoga tu,lakini ka si uoga, anything is possible Hata kuvuka mipaka mkiwa wengi inawezekana.Wakiandamana kuna uwezekano wakauliwa wote, anayedai ni kiongozi wao, hajali utu wa yeyote.
Akili za mau mau! 😁😁😁Hata Sisi tuige mfano tuache kuleta story za nchi za Nje!? Zinamathara kama Korea Kaskazini wameanza kila mtu ataanza kulindwa story zake hata YouTube iwe ni ya nchi husika yaani YouTube Tanzania..."Kwenye neno Tamani"
Lakini hata kifo kipo na hakimjui huyo dogo! 🤣Nchi ni yake na baba zake.....
Waitwao wananchi ni mateka wa falsafa zao......
Nature itakuja kuchukua MKONDO WAKE sikumoja ISIYOJULIKANA.....
Ukomunisti ni sawa na USHETANI...
... hiyo ndio maana halisi ya MCHUMA JANGA HULA NA WA KWAO.Nimesikitishwa sana familia kuhusishwa
Ukisoma hiyo version ya Kiingereza haionekani kama familia yake nayo iliuwawa bali wamepelekwa gerezani, wana familia ( mke na watoto) walizimia baada ya kushudia tukio hilo, maana walilazimishwa wasimame mstari wa mbele kweney kundi la watu 500 waliohudhuria!MTU mmoja aliyefahamika kwa jina la Lee, ameuawa kwa kufyatuliwa risasi pamoja na familia yake huko Wonsan Korea ya Kaskazini baada ya kukamatwa akiuza Cd na Pamoja na Flash ambazo zilikuwa na filamu kutoka nchi Jirani ya Korea ya Kusini.
Siyo kila taarifa ni kweli.Ila habari za N/K kutengeneza bomu la kufika Chicago ni kweli mtupu.
Una shida binafsi
We ndip umesema hvyo. Ila mm nilimanisha sela walizo waletea ndizo zilizopelekea utengano wao kumbuka kuna mmoja ni mcommunist mwingine sio
Mfano. ili habari iwe kweli na si uongo, inabidi iwe vipi, Chief?.Siyo kila taarifa ni kweli.
Jifunze kuondoa shida binafsi akilini kwako kwanza
Weka source basi na isiwe biscuit newsMfano. ili habari iwe kweli na si uongo, inabidi iwe vipi, Chief?.
Nasema hivyo kwasababu:, hata habari za mafanikio ya silaha zinazotengenezwa NK mara nyingi zinatangazwa na Western media.. Wapambe wa Kim wanafurahiii, Ila habari ikija na sura tofauti kama hivi,wanaponda.
Ndo, nataka nijue:, ili habari inayohusu NK iwe kweli ni lazima ihusu mambo mazuri tu.. Ila ikihusu habari mbaya ni propaganda za Westerners? .
Sahii kabisa Na uko sahihi. .. Ila ukumbuke habari ingelikuwa N/K yatengeneza Kombora lakufika new YORK, usingeliomba source na usingelihoji credibility ya media iliyotoa habari hiyo.Weka source basi na isiwe biscuit news