Kim Kardashian na Paris Hilton kuhojiwa sakata la Ronaldo kubaka

Ila kaka zetu wanafaidi kweli majuu, Yani toto kama Kim linatafunwa na Nigga yani dah
Utoto kipindi kile...halafu Kim hakuwa famous so akaona akiliwa na Ray J mdogo wa Superstar Brandy atachomoka....
 
Na akaishia gerezani...ukiona celeb umefukuliwa kaburi ujue unaenda jela au wafwaa...huoni MJ alivyofilisiwa kisa hataki jela!
Binadamu wengine ni Wanyama sana ,Mpaka leo nikimuangalia Tiger Woods naumia sana kwa visa walivyo mfanyia wazungu ,Ila kama Mtu kweli kabaka wacha tu alipwe alichopanda ,kama kweli Cosby alibaka wacha akae tu gerezani.
 
Hatafungwa ila kesi itapigwa danadana mpaka CR abaki hana hata mia!
 
Ronaldo kaingia choo cha kike kutengeneza bifu na Perez
Kabisa mkuu...yule mzee ni mshenzi usidhanie!

Kuna ishu moja alifanya ndo nilimnyooshea mikono..ngoja nikipata chansi ntamuelezea!

Sema CR kichwa rungu tu na yeye wajanja walimwambia mambo flani usimfanyie huyu mzee utafanyiziwa lenyewe likajiona lijanja sasa ngoja uone mwisho wake, hela zote alizomchuna yule babu lzma zirudii
 

Aliusiwa kabisa na kina Figo, Kama asikorofishane na uyo mtu. Kubwa ambalo anashindwa kufahamu ni kuwa karibu ya asilimia 50 ya umashuhuri wake unatokana na Perez.
 
Ya rihanna sijawahi, sipati picha na amber rose nae
Rihanna anajua malove dove balaa, halafu sikumdhania namwonaga mibangi na mabapa kwa sana kumbe kitandani ni nuksi[emoji15] [emoji15]

Amber Rose ni gogo sijapata ona unaeza usifikirie na ule mshape!...na ndio maana anamwagwa kila kukicha!

Cerebrities balaa on bed ni:

1. Rihanna
2. Nick Minaj
3.Cardi B
4.Serena Williams
5.Shakira
6.Jennifer Lopez

Magogo ni:

1.Amber Rose
2. Beyonce
3. Serena Gomez
4.Kyle Jenner
5.Keri Hilson

N.B

Hapo nimejumuisha masista duu na wamama watu wazima coz ndo nilizoziona nikatathmini
 
Hahaha natamani nizione vid zao...
Na Kim yupo kwenye hayo magogo, duh kumbe amber nae!!!
 
Binadamu wengine ni Wanyama sana ,Mpaka leo nikimuangalia Tiger Woods naumia sana kwa visa walivyo mfanyia wazungu ,Ila kama Mtu kweli kabaka wacha tu alipwe alichopanda ,kama kweli Cosby alibaka wacha akae tu gerezani.
Hakuna aliyebaka hapo trust me!

Hivi lile lidemu la kubakwa kweli na CR?

Tena K alimpa bure kisa kalalwa na superstar! Narudia ukishaona zengwe kama hilo ujue kuna mtu/ kikundi cha watu wanataka wakumalize only that!

Ronaldo watamfilisi tu coz bishoo yule hawezi kwenda jela, ni mwendo wa kuhonga, mawakili, na appeals kwa sanaa, mpaka abaki hana mia!
 
Umezionea wapi hizi na mimi nipite ,Japo nimestaafu CHAPUTA lakini ni mshauri wa bodi .
Hapo chini ulimaanisha Keri Hilson ?
 
Rihana alikuwa na nanii?
Je card b?
Nick ndio alikulana live wayne au?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…