Kim Kardashian na Paris Hilton kuhojiwa sakata la Ronaldo kubaka

Kim Kardashian na Paris Hilton kuhojiwa sakata la Ronaldo kubaka

Rihanna anajua malove dove balaa, halafu sikumdhania namwonaga mibangi na mabapa kwa sana kumbe kitandani ni nuksi[emoji15] [emoji15]

Amber Rose ni gogo sijapata ona unaeza usifikirie na ule mshape!...na ndio maana anamwagwa kila kukicha!

Cerebrities balaa on bed ni:

1. Rihanna
2. Nick Minaj
3.Cardi B
4.Serena Williams
5.Shakira
6. Jennifer Lopez

Magogo ni:

1.Amber Rose
2. Beyonce
3. Serena Gomez
4.Kyle Jenner
5.Kelly Hilson

N.B

Hapo nimejumuisha masista duu na wamama watu wazima coz ndo nilizoziona nikatathmini

Kulikuwepo na tetesi za ujauzito wa Rihana miaka miwili baada ya kutulizwa na jamaa wa Saudia bwana Hassan Jemeel.

Jamaa anafahamiana na Naomi Campbell ambae ni rafiki wa Rihana hivyo connection ikawa kazi ndogo.
1539018261382.png

Set up 2016

1539018295644.png

Baadae 2016 jamaa akawa amenyakua mtoto.
 
Ronaldo ana kesi ya kujibu.

Uahahidi upo huyo mwanamke alipobakwa na Ronaldo alitoa taarifa polisi ya kubakwa na akataja kua ni mwanasoka wa ulaya ila akaogopa kumtaja jina kwa hofu kua itaonekana anatafta umaarufu.

Hata daktari aliempima alikuta shahawa na muingilio wa nguvu(forceful entry). Pia huyo mwanamke hakutaka kuwapa wapelelezi ushirikiano kipindi hicho baada ya wapambe wa Ronaldo kumtishia.

Baada ya huo msala Ronaldo aliajiri watu wanaoitwa fixers au personal reputaion protection specialists ambao walimtishia huyo mwanamke kutokusema chocchote na kumuahidi mpunga.

Ile settlement ya dollar laki 3 na ushee na ile nondisclosure agreement ndio ushahidi tosha kua Ronaldo alibaka.

Trump alimtafuna yule malaya, alipoulizwa akakataa, wanasheria wake wakakataa na kuwaka kama mbogo na kusema huyo malaya kakiuka mkataba, juzi mwanasheria mmoja kakiri Trump alimtafuna yule malaya na kumlipa asiseme chochote(nondisclosure agreement).

Ronaldo ajiandae kuchezea miaka.
aiseee hapo faini haiingii? kama ni miaka itakua balaa
 
Wazungu nao kama sisi tu mkuu utofauti ni maarifa baasi! So ni full wivu kwa kwenda mbele!...ila me naamini hapa Perez ndo anamchezea faulo
Kama kweli alifanya na likamalizwa kimyakimya cr7 kaenda na maji!..
 
Kulikuwepo na tetesi za ujauzito wa Rihana miaka miwili baada ya kutulizwa na jamaa wa Saudia bwana Hassan Jemeel.
Hassan kamtuliza wapi!....Riri kazoea kusagana so mambo ya wanaume kwake sio ishuu...japo jamaa anajitahidi kumtuliza,

Me Rihanna ananichosha anavyomvutisha mibangi na kumnywesha ma spirit yule jamaa! Namuonea huruma mtoto watu wa asee
 
Aliusiwa kabisa na kina Figo, Kama asikorofishane na uyo mtu. Kubwa ambalo anashindwa kufahamu ni kuwa karibu ya asilimia 50 ya umashuhuri wake unatokana na Perez.
Ewaaaa mkuu!...Kudos ndo hiyo storee nilitaka kuelezea!

Yule mbabu ni mbayaa CR hajui tu anaendekeza kipaji eti[emoji15] [emoji15]
 
Anaringa sana akiwa na kim pembeni anajiona yeye ndio ana mwanamke duniani
Kanye nae...hili lijamaa limeshachafuliwa nyota yake kwa kuingia kwake kwenye cursed family!

Ukishaingia kwenye Kardashian family ujue umekwenda na maji! Lamar odom mume wake Khole ni teja now, Scott alikuwa husband wake Khoutney nae kwisha habare yake!

Wakina Kris, Reggie, Ray j, na huyo now Cristiano Ronaldo mabwana zake Kim K full mikosi now
 
Hassan kamtuliza wapi!....Riri kazoea kusagana so mambo ya wanaume kwake sio ishuu...japo jamaa anajitahidi kumtuliza,

Me Rihanna ananichosha anavyomvutisha mibangi na kumnywesha ma spirit yule jamaa! Namuonea huruma mtoto watu wa asee

Hiyo ni moja ya mbinu wanatumia hawa wadada, ya kupata "financial insurance" kutoka kwa hao vijana matajiri wa saudia.

NI kama alivyofanya Janet Jackson kwa yule kijana mwingine wa kiarabu.

Pia hutaka kupata watoto wazuri wenye tangirangi nzuri za kuvutia.

😀😀
 
Akipatikana na hatia atalala ndani, wazungu hawaangalii umaarufu, Floyd Money Half A Billion alilala ndani, Bill Cobs na wengine wote.

Labda ushahidi ukosekane. Ila ni noma wazee tuache utani. Ronaldo kazi anayo.
Hakuna cha ushahidi mkuu hilo ni zengwe kaundiwa tu ili kumstress!

Huyo demu katumika tu...mark my words CR hatafungwa!
 
Hiyo ni moja ya mbinu wanatumia hawa wadada, ya kupata "financial insurance" kutoka kwa hao vijana matajiri wa saudia.

NI kama alivyofanya Janet Jackson kwa yule kijana mwingine wa kiarabu.

Pia hutaka kupata watoto wazuri wenye tangirangi nzuri za kuvutia.

😀😀
Yes mkuu...

Daah kama Janet kapata mtoto mwarabu na mcute na $500million kama divorcée
 
Kwahiyo watamuuliza Kim kama Christiano alikula tigo?!


Hao polisi wakiwauliza madem zangu swali hilo mbona ningefungwa
 
Back
Top Bottom