Mama Sabrina
JF-Expert Member
- Jul 30, 2016
- 16,620
- 27,589
Anaringa sana akiwa na kim pembeni anajiona yeye ndio ana mwanamke dunianiAaah Kim hamna kitu...huyo Kanye atulizage mshono tu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Anaringa sana akiwa na kim pembeni anajiona yeye ndio ana mwanamke dunianiAaah Kim hamna kitu...huyo Kanye atulizage mshono tu
Rihanna anajua malove dove balaa, halafu sikumdhania namwonaga mibangi na mabapa kwa sana kumbe kitandani ni nuksi[emoji15] [emoji15]
Amber Rose ni gogo sijapata ona unaeza usifikirie na ule mshape!...na ndio maana anamwagwa kila kukicha!
Cerebrities balaa on bed ni:
1. Rihanna
2. Nick Minaj
3.Cardi B
4.Serena Williams
5.Shakira
6. Jennifer Lopez
Magogo ni:
1.Amber Rose
2. Beyonce
3. Serena Gomez
4.Kyle Jenner
5.Kelly Hilson
N.B
Hapo nimejumuisha masista duu na wamama watu wazima coz ndo nilizoziona nikatathmini
Wazungu nao kama sisi tu mkuu utofauti ni maarifa baasi! So ni full wivu kwa kwenda mbele!...ila me naamini hapa Perez ndo anamchezea fauloHalafu inavaliwa njuga kabisa!.. Hizi sheria zao za kijinga sana!.
aiseee hapo faini haiingii? kama ni miaka itakua balaaRonaldo ana kesi ya kujibu.
Uahahidi upo huyo mwanamke alipobakwa na Ronaldo alitoa taarifa polisi ya kubakwa na akataja kua ni mwanasoka wa ulaya ila akaogopa kumtaja jina kwa hofu kua itaonekana anatafta umaarufu.
Hata daktari aliempima alikuta shahawa na muingilio wa nguvu(forceful entry). Pia huyo mwanamke hakutaka kuwapa wapelelezi ushirikiano kipindi hicho baada ya wapambe wa Ronaldo kumtishia.
Baada ya huo msala Ronaldo aliajiri watu wanaoitwa fixers au personal reputaion protection specialists ambao walimtishia huyo mwanamke kutokusema chocchote na kumuahidi mpunga.
Ile settlement ya dollar laki 3 na ushee na ile nondisclosure agreement ndio ushahidi tosha kua Ronaldo alibaka.
Trump alimtafuna yule malaya, alipoulizwa akakataa, wanasheria wake wakakataa na kuwaka kama mbogo na kusema huyo malaya kakiuka mkataba, juzi mwanasheria mmoja kakiri Trump alimtafuna yule malaya na kumlipa asiseme chochote(nondisclosure agreement).
Ronaldo ajiandae kuchezea miaka.
Kama kweli alifanya na likamalizwa kimyakimya cr7 kaenda na maji!..Wazungu nao kama sisi tu mkuu utofauti ni maarifa baasi! So ni full wivu kwa kwenda mbele!...ila me naamini hapa Perez ndo anamchezea faulo
Hassan kamtuliza wapi!....Riri kazoea kusagana so mambo ya wanaume kwake sio ishuu...japo jamaa anajitahidi kumtuliza,Kulikuwepo na tetesi za ujauzito wa Rihana miaka miwili baada ya kutulizwa na jamaa wa Saudia bwana Hassan Jemeel.
Ewaaaa mkuu!...Kudos ndo hiyo storee nilitaka kuelezea!Aliusiwa kabisa na kina Figo, Kama asikorofishane na uyo mtu. Kubwa ambalo anashindwa kufahamu ni kuwa karibu ya asilimia 50 ya umashuhuri wake unatokana na Perez.
Akipatikana na hatia atalala ndani, wazungu hawaangalii umaarufu, Floyd Money Half A Billion alilala ndani, Bill Cobs na wengine wote.Hatafungwa ila kesi itapigwa danadana mpaka CR abaki hana hata mia!
Fanya basi kuzitafuta witty😀Aaah Kim hamna kitu...huyo Kanye atulizage mshono tu
Kanye nae...hili lijamaa limeshachafuliwa nyota yake kwa kuingia kwake kwenye cursed family!Anaringa sana akiwa na kim pembeni anajiona yeye ndio ana mwanamke duniani
Hassan kamtuliza wapi!....Riri kazoea kusagana so mambo ya wanaume kwake sio ishuu...japo jamaa anajitahidi kumtuliza,
Me Rihanna ananichosha anavyomvutisha mibangi na kumnywesha ma spirit yule jamaa! Namuonea huruma mtoto watu wa asee
Hakuna cha ushahidi mkuu hilo ni zengwe kaundiwa tu ili kumstress!Akipatikana na hatia atalala ndani, wazungu hawaangalii umaarufu, Floyd Money Half A Billion alilala ndani, Bill Cobs na wengine wote.
Labda ushahidi ukosekane. Ila ni noma wazee tuache utani. Ronaldo kazi anayo.
Ngoja nikitulia ntakustua...Fanya basi kuzitafuta witty😀
Nifaidi
Vepe mbona povu jingi....nyie wanawake wa uswahilini mnabakwa kila siku hamlalamiki....Kalalamike wewe mkuu kua umepigwa paipu.
Ukisahau nitakukumbusha tehNgoja nikitulia ntakustua...
Yes mkuu...Hiyo ni moja ya mbinu wanatumia hawa wadada, ya kupata "financial insurance" kutoka kwa hao vijana matajiri wa saudia.
NI kama alivyofanya Janet Jackson kwa yule kijana mwingine wa kiarabu.
Pia hutaka kupata watoto wazuri wenye tangirangi nzuri za kuvutia.
😀😀
Poa poaUkisahau nitakukumbusha teh
Kwamba ndo michezo yako?Kwahiyo watamuuliza Kim kama Christiano alikula tigo?!
Hao polisi wakiwauliza madem zangu swali hilo mbona ningefungwa
Kwamba ndo michezo yako?