Niko nje ya mada.
Daktari naomba kuelimishwa nime google njia nyingine ya kupima Malaria mbali na ya kuchukua damu kidoleni inaitwa PCR. Je, wapi naweza kufanyiwa kwa Dar? Na, je, ni kweli dawa ya mseto inafanya kazi vizuri nikitumia na maziwa fresh?
Duh π³π³π³π€£π€£π€£πππ
Unataka Ufanye Kipimo cha Malaria kwa Kutumia PCR...
Kwa Tanzania Bado sana Hata kwa Nchi za Wenzetu bado sana..Unajua Unapozungumzia PCR (Polymerise Chain Reaction) unazungumzia DNA chain Moja kwa Moja?
So Unaruhusiwa Kutumia DNA chain Studies Kwa Only Research Purpose tu kwa Sababu Ni Very Expensive Ndugu yangu...
Tanzania Tunatumia PCR tena Kwa Msaada wa Marekani na Ulaya (Wao ndo wametuletea) kwa Kupima HIV Viral Load na Kudetermine HIV status kwa Inconclusive Results na kwa Watoto Kupitia DBS..
Tena Ziko Hospitali Za Kanda Tu Muhimbili, KCMC Bugando..Nadhani..
Its Very Expensive huwezi kutaka Kupima Malaria Tu kwa Kutumia PCR unless Unataka Kujua DNA ya Plasmodium Ili ujue ni aina Gani ya Plasmodium unayeugua naye..
But Hiyo nayo hufanywa siku hizi na Hivi Vitepe vya mRDT..
So Hiyo Ni nadharia Ndugu yangu na Kama Inafanyika Huko Duniani Basi kwa Research Purpose Na sio Routine wala analytical Purpose..
Kuhusu Artemether/Lumefantrine (ALu) au Mseto ni Dawa nzuri kwa Malaria ambayo Sio Complicated yaani Malaria isiyo Kali..
Na Maziwa Ni sawa kabisa kunywa hakuna Tatizo kunywa na maziwa