akajasembamba
JF-Expert Member
- Dec 24, 2010
- 1,179
- 1,794
Imeeleweka, mkakati unaenda vema
Dini hakuna ilichoacha, imeonesha nafasi ya kila mtu kwenye ndoa na ndoa zilikua zjnadumu hakuna malalamiko, ila baada ya shetani kuingilia (usawa wa kijinsia) ndo mabalaa yameanza.Ndoa kwa sheria za Wazungu hazitafanikiwa, yaani mafahari wawili wakae zizi moja. Baba na mama wote vichwa hakuna ubavu!! Ndoa ikivunjika mwanamke aachiwe mali na alipwe kila mwezi mwanaume akatafute nyumba ya kuishi amuachie mwanamke nyumba na watoto!! Na mke anytime anagawa uroda kwa mwenye hela! Vijana kuoa ni ngumu kwa sheria hizi labda tutumie sheria za Mwenyezi Mungu ktk Tourati na Quran. Sheria za mmarekani zinavunja taasisi ya ndoa
Sheria za wazungu ni kandamizi sana, zinaipasua ndoa kabla hata haijaanza kuzaa matundaNdoa kwa sheria za Wazungu hazitafanikiwa, yaani mafahari wawili wakae zizi moja. Baba na mama wote vichwa hakuna ubavu!! Ndoa ikivunjika mwanamke aachiwe mali na alipwe kila mwezi mwanaume akatafute nyumba ya kuishi amuachie mwanamke nyumba na watoto!! Na mke anytime anagawa uroda kwa mwenye hela! Vijana kuoa ni ngumu kwa sheria hizi labda tutumie sheria za Mwenyezi Mungu ktk Tourati na Quran. Sheria za mmarekani zinavunja taasisi ya ndoa
Wanawake wasipojitathmini na kubadilika watajikuta wakitoweka katika hii sayari kama walivyotoweka dinosaurs.Ninaposoma comments za watu humu mtandaoni especially wanaume na nkiona na hali ilivyo mtaani, sipati picha kwa mfano Mungu akiiacha hii dunia iendelee miaka 500 mbele, taasisi ya ndoa itakuwa na hali gani..
Inaanza taratibu kama utani, wanaume wengi wanaanza kampeni ya kupinga ndoa, hata nikienda forum ya nairaland Kule Nigeria, reddit, Quora, vilio vya wanaume Kuhusu kuumizwa na wanawake, na kampeni za kupinga ndoa ni hivyo hivyo kama ilivyo hapa jf, kwenye redpill na mgtow internet communities huko marekani hali ni mbaya wanaume wengi wamewachoka wanawake,
Umarioo na ushoga unazidi, sahivi wanaume wanaanza kuona kutoa mahari, kuhudumia mwanamke/mke kipesa ni utopolo na ni kutapeliwa na kutumika, wanaume wengi sahivi wanaanza kujitenga na wanawake kihisia, wapo kwenye mahusiano ilimradi, wanaume wengine wanaishia kununua malaya wanaojiuza barabarani, Na kupiga punyeto, badala ya kutongoza, sasa hizi jinsia mbili zikitengana, familia hakuna, sipati picha hilo bomu linalokuja kutengenezwa huko mbeleni.
KATAA NDOA
NDOA NI UTAPELI
KATAA NDOA
NDOA NI WIZI
AFYA YAKO YA AKILI NI BORA KULIKO NDOA
YeahTatizo hamtaki kusoma vitabu kama ww ni msomaji na mfuatiliaji wa vitabu soma kitabu kinaitwa NEW WORLD ORDER hakuna walicho acha wale jamaa mule ndani wameelezea kila kitu kuanzia vita vya dunia ndoa homosexuality freemasons and satanism religion matters naweza sema ile ni katiba ya dunia kwasababu mambo mengi waliyoyaelezea mule yameshaanza kutokea.
Sent from my SM-N950F using JamiiForums mobile app
Nenda temeke mahakama ya maswala ya kifamilia na mirathi kaangalie hzo case then ukishapewa data kamili njoo ufute comment yakoMbona huku mtaani hatuwaoni hao wanawake walioachika na kuachiwa mali?
Na wanawake ambao wanataka kuachika wengi wao wanakuwa ni wale wenye kipato cha kujitosheleza. Tunawaona wakiondoka wenyewe kwenye ndoa.
Halafu mnavyosema mali...ni mali gani hizo mnazungumzia? Kila mtu mali mali mali...mali zenyewe sasa ni kajumba na gari moja IST
Look who's giving advice about marriage [emoji23][emoji23][emoji23]Wewe hayo maneno ya vijana wachache wa mitandaoni wala yasikutishe, wengi huandika hayo ni wale graduates wanaosotea ajira hadi wameanza kukata tamaa, trust me ukiwa na hela utaoa na kutengeneza maisha yako mazuri tu ila kama huna utakua mtu mwenye hasira, majuto, visasi, mropokaji, mtukanaji na kila mtu utamuona ni mchawi wako [emoji3]
Dunia ipo salama kabisa usiwe na shaka, nenda huko mikoani uone vijana wadogo wanavyooana kwa furaha, uone wazee wanavyooa na kuolewa.
Mkuu unajarbu kufikiria future.Ninaposoma comments za watu humu mtandaoni especially wanaume na nkiona na hali ilivyo mtaani, sipati picha kwa mfano Mungu akiiacha hii dunia iendelee miaka 500 mbele, taasisi ya ndoa itakuwa na hali gani..
Inaanza taratibu kama utani, wanaume wengi wanaanza kampeni ya kupinga ndoa, hata nikienda forum ya nairaland Kule Nigeria, reddit, Quora, vilio vya wanaume Kuhusu kuumizwa na wanawake, na kampeni za kupinga ndoa ni hivyo hivyo kama ilivyo hapa jf, kwenye redpill na mgtow internet communities huko marekani hali ni mbaya wanaume wengi wamewachoka wanawake,
Umarioo na ushoga unazidi, sahivi wanaume wanaanza kuona kutoa mahari, kuhudumia mwanamke/mke kipesa ni utopolo na ni kutapeliwa na kutumika, wanaume wengi sahivi wanaanza kujitenga na wanawake kihisia, wapo kwenye mahusiano ilimradi, wanaume wengine wanaishia kununua malaya wanaojiuza barabarani, Na kupiga punyeto, badala ya kutongoza, sasa hizi jinsia mbili zikitengana, familia hakuna, sipati picha hilo bomu linalokuja kutengenezwa huko mbeleni.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Baba ndoa ishalazwa Mluganzila kitambo sana
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] khaaaahUkioa wewe inatosha
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Ni trendy tu. Huko mbele zitakuja propaganda nyingine.....
Unakuta wadada wataanza 'hakuna kuachika' [emoji23]