Kimahusiano, naona kama miaka ijayo tutakuja kutengeneza kizazi cha ajabu sana

Kimahusiano, naona kama miaka ijayo tutakuja kutengeneza kizazi cha ajabu sana

Ndoa kwa sheria za Wazungu hazitafanikiwa, yaani mafahari wawili wakae zizi moja. Baba na mama wote vichwa hakuna ubavu!! Ndoa ikivunjika mwanamke aachiwe mali na alipwe kila mwezi mwanaume akatafute nyumba ya kuishi amuachie mwanamke nyumba na watoto!! Na mke anytime anagawa uroda kwa mwenye hela! Vijana kuoa ni ngumu kwa sheria hizi labda tutumie sheria za Mwenyezi Mungu ktk Tourati na Quran. Sheria za mmarekani zinavunja taasisi ya ndoa
 
Dini hakuna ilichoacha, imeonesha nafasi ya kila mtu kwenye ndoa na ndoa zilikua zjnadumu hakuna malalamiko, ila baada ya shetani kuingilia (usawa wa kijinsia) ndo mabalaa yameanza.
 
Ndoa kwa sheria za Wazungu hazitafanikiwa, yaani mafahari wawili wakae zizi moja. Baba na mama wote vichwa hakuna ubavu!! Ndoa ikivunjika mwanamke aachiwe mali na alipwe kila mwezi mwanaume akatafute nyumba ya kuishi amuachie mwanamke nyumba na watoto!! Na mke anytime anagawa uroda kwa mwenye hela! Vijana kuoa ni ngumu kwa sheria hizi labda tutumie sheria za Mwenyezi Mungu ktk Tourati na Quran. Sheria za mmarekani zinavunja taasisi ya ndoa
Sheria za wazungu ni kandamizi sana, zinaipasua ndoa kabla hata haijaanza kuzaa matunda
 
Ninaposoma comments za watu humu mtandaoni especially wanaume na nkiona na hali ilivyo mtaani, sipati picha kwa mfano Mungu akiiacha hii dunia iendelee miaka 500 mbele, taasisi ya ndoa itakuwa na hali gani..

Inaanza taratibu kama utani, wanaume wengi wanaanza kampeni ya kupinga ndoa, hata nikienda forum ya nairaland Kule Nigeria, reddit, Quora, vilio vya wanaume Kuhusu kuumizwa na wanawake, na kampeni za kupinga ndoa ni hivyo hivyo kama ilivyo hapa jf, kwenye redpill na mgtow internet communities huko marekani hali ni mbaya wanaume wengi wamewachoka wanawake,

Umarioo na ushoga unazidi, sahivi wanaume wanaanza kuona kutoa mahari, kuhudumia mwanamke/mke kipesa ni utopolo na ni kutapeliwa na kutumika, wanaume wengi sahivi wanaanza kujitenga na wanawake kihisia, wapo kwenye mahusiano ilimradi, wanaume wengine wanaishia kununua malaya wanaojiuza barabarani, Na kupiga punyeto, badala ya kutongoza, sasa hizi jinsia mbili zikitengana, familia hakuna, sipati picha hilo bomu linalokuja kutengenezwa huko mbeleni.
Wanawake wasipojitathmini na kubadilika watajikuta wakitoweka katika hii sayari kama walivyotoweka dinosaurs.
Mwanamke ameumbwa kwa namna ya kumilikiwa na hivyo ili amilikiwe ni lazima ajisalimishe kwa kutii. Sasa wamejiondoa katika hiyo asili na wanataka wao ndio wawe vichwa. Ok it's fine kueni mtakavyo lakini ndio mmepoteza ule mvuto uliokuwepo kati yenu na jinsia tofauti.
Mwanamke anaemmiliki mme hata wanapokutana kingono mwanamume haoni tofauti ya kulala nae na kujichua.
Kama nguvu ya mvuto ya kingono iliyopo kati ya hizi jinsia mbili ikiondoka kitakachoshuhudiwa mbeleni ni jinsia yenye nguvu(misuli) kuiteketeza hiyo legelege
Ndio maana nimesema wanawake watatoweka kama walivyotoweka dinosaur kwa kushindwa kuhimili mabadiliko ya tabia nchi.
 
KATAA NDOA
NDOA NI UTAPELI

KATAA NDOA
NDOA NI WIZI

AFYA YAKO YA AKILI NI BORA KULIKO NDOA

Mkuu nakuelewa sana. Lakini nadhani kuna pengo (gap ) katika hii kampeni. Tusipooa huku tukiendelea kuhonga haina maana. Nadhani kampeni ianze upya iwe

"KATAA NDOA, KATAA KUHONGA, IMARISHA AFYA YA AKILI NA UCHUMI WAKO BINAFSI"

Technique ni kumrubuni kuwa utampa hela halafu ukishakula tunda hakuna ujinga wa kumpa hela.

Mkuu kampeni hii ikitiliwa mkazo wanawake wengi lazima akili iwakae Sawa, trust me.

Wanangu eeh HAKUNA KUOA, HAKUNA KUHONGA, KULA BURE SEPA
 
Tatizo hamtaki kusoma vitabu kama ww ni msomaji na mfuatiliaji wa vitabu soma kitabu kinaitwa NEW WORLD ORDER hakuna walicho acha wale jamaa mule ndani wameelezea kila kitu kuanzia vita vya dunia ndoa homosexuality freemasons and satanism religion matters naweza sema ile ni katiba ya dunia kwasababu mambo mengi waliyoyaelezea mule yameshaanza kutokea.

Sent from my SM-N950F using JamiiForums mobile app
Yeah
 
Mbona huku mtaani hatuwaoni hao wanawake walioachika na kuachiwa mali?
Na wanawake ambao wanataka kuachika wengi wao wanakuwa ni wale wenye kipato cha kujitosheleza. Tunawaona wakiondoka wenyewe kwenye ndoa.

Halafu mnavyosema mali...ni mali gani hizo mnazungumzia? Kila mtu mali mali mali...mali zenyewe sasa ni kajumba na gari moja IST
Nenda temeke mahakama ya maswala ya kifamilia na mirathi kaangalie hzo case then ukishapewa data kamili njoo ufute comment yako
 
Wewe hayo maneno ya vijana wachache wa mitandaoni wala yasikutishe, wengi huandika hayo ni wale graduates wanaosotea ajira hadi wameanza kukata tamaa, trust me ukiwa na hela utaoa na kutengeneza maisha yako mazuri tu ila kama huna utakua mtu mwenye hasira, majuto, visasi, mropokaji, mtukanaji na kila mtu utamuona ni mchawi wako [emoji3]

Dunia ipo salama kabisa usiwe na shaka, nenda huko mikoani uone vijana wadogo wanavyooana kwa furaha, uone wazee wanavyooa na kuolewa.
Look who's giving advice about marriage [emoji23][emoji23][emoji23]
 
Siku hizi wanawake HAWAJALI na wanaume wameingia kwenye mode ya POTELEA MBALI.

Hamna kazi ngumu kama kupata partner wa maisha yako.
 
Maisha bila ndoa hayawezekani. Vijana fungeni ndoa yani pingu za maisha muanzishe familia.​

Ninaposoma comments za watu humu mtandaoni especially wanaume na nkiona na hali ilivyo mtaani, sipati picha kwa mfano Mungu akiiacha hii dunia iendelee miaka 500 mbele, taasisi ya ndoa itakuwa na hali gani..

Inaanza taratibu kama utani, wanaume wengi wanaanza kampeni ya kupinga ndoa, hata nikienda forum ya nairaland Kule Nigeria, reddit, Quora, vilio vya wanaume Kuhusu kuumizwa na wanawake, na kampeni za kupinga ndoa ni hivyo hivyo kama ilivyo hapa jf, kwenye redpill na mgtow internet communities huko marekani hali ni mbaya wanaume wengi wamewachoka wanawake,

Umarioo na ushoga unazidi, sahivi wanaume wanaanza kuona kutoa mahari, kuhudumia mwanamke/mke kipesa ni utopolo na ni kutapeliwa na kutumika, wanaume wengi sahivi wanaanza kujitenga na wanawake kihisia, wapo kwenye mahusiano ilimradi, wanaume wengine wanaishia kununua malaya wanaojiuza barabarani, Na kupiga punyeto, badala ya kutongoza, sasa hizi jinsia mbili zikitengana, familia hakuna, sipati picha hilo bomu linalokuja kutengenezwa huko mbeleni.
Mkuu unajarbu kufikiria future.
Hebu jarbu kukumbuka tulikotoka!!1
maybe utapata picha halisi ya yajayo!

you low-key blame kataa ndoa movement for gay shit and family issues.

i don't believe in white GOD but i do believe in historical events .

Unakumbuka back in days king Solomon alikuwa na wake 700,
How many did King David have?
inamaana hakukuwa na wanaume wengine?
NO!

my point of view is
back in days only HIGH VALUE MEN WERE ALLOWED TO HAVE WIVES AND TO REPRODUCE.
Only strong men were allowed to reproduce.

Mimi naamini hiyo future itakuwa kwa strong men only!
haya yote na hizi mvt zote kuna watu wanazi orchestra kupitia social engenering .

kwaiyo mkuu wewe wala usihofie kuhusu sisi wakataa ndoa. we just doin fine. and we will be doing great.
 
Umnunue mtu, umhudumie vizuri tu then huyohuyo mtu atake kukuharibia maisha. Upumbavu wa ndoa naukataa.
 
Ni huku tu mtandaon uraian watu wanaoa sana
 
Back
Top Bottom