Huku panang’aa kama utakuwa free alhamis jioni nitakupa locationnipeleke basi 😊 vitu vizuri vipo au ndo yale yale?
nitakukumbusha hili,, nani ambae hataki mambo mazuri💃👌Huku panang’aa kama utakuwa free alhamis jioni nitakupa location
Nilijua tu moto wa mianzi huuukiimaliza nitag...
NB; ukiimaliza siyo ukiiendeleza
Ahahahahivi mbona unaleta story robo robo hivi jamni,, unaniudhiiiii hebu shusha episode zote au hiyo episode moja ijae jae kidogo