Mhaya
JF-Expert Member
- Aug 20, 2023
- 1,831
- 5,489
Nchini Afrika Kusini, mapema leo hii Polisi na Mamlaka zimefanya msako katika Kituo cha maduka cha "China Mall" jijini Johannesburg, Gauteng, ili kuwatafuta watu ambao huenda hawana vibali vya kisheria au wanaishi nchini kinyume cha sheria.
Msako huu uliofanywa na mamlaka za Afrika Kusini katika China Mall, jijini Johannesburg-Gauteng, umefichua takwimu za kutisha, ambapo karibu asilimia 90 ya wafanyakazi wamekutwa wakiwa ni wageni wasio na vibali vya kisheria.
Inasemekana kuwa wakati wa msako huo, wafanyakazi wengi walikimbia eneo hilo ili kuepuka kukamatwa, jambo ambalo linadhihirisha ukubwa wa tatizo la wahamiaji haramu nchini Afrika Kusini.
Video: Kituo cha China Mall cha Johannesburg kimevamiwa na Polisi na Mamlaka.
Instagram: @maphepha_ndaba
Mtanzania akichezea kichapo kutoka kwa wasauzi, mwisho wa video Watanzania wakimwambia mwenzao akimbie
Instagram: @Geoff_lea