Kimenuka! leo hii Wa-south africa wafanya Msako wa kutafuta raia wa kigeni wasio na vibali, Mtanzania apigwa

Mnawalaumu Bure, hivi kama Watanzania mngejisikiaje kama mamilioni ya wakenya, wasudan, wasomali na wakongo wangekuwa wanamwagika tu nchini bila vibali Wala utaratibu maalum "kujitafutia"; yaani imagine kama nchi muwe na matatizo yenu afu eti mubebe na ya wengine
💯💯
 
Sijalaumu nimesema approaching walioitumia
 
Nchini Afrika Kusini, mapema leo hii Polisi na Mamlaka zimefanya msako katika Kituo cha maduka cha "China Mall" jijini Johannesburg, Gauteng, ili kuwatafuta watu ambao huenda hawana vibali vya kisheria au wanaishi nchini kinyume cha sheria.

Msako huu uliofanywa na mamlaka za Afrika Kusini katika China Mall, jijini Johannesburg-Gauteng, umefichua takwimu za kutisha, ambapo karibu asilimia 90 ya wafanyakazi wamekutwa wakiwa ni wageni wasio na vibali vya kisheria.

Inasemekana kuwa wakati wa msako huo, wafanyakazi wengi walikimbia eneo hilo ili kuepuka kukamatwa, jambo ambalo linadhihirisha ukubwa wa tatizo la wahamiaji haramu nchini Afrika Kusini.

Video: Kituo cha China Mall cha Johannesburg kimevamiwa na Polisi na Mamlaka.

Instagram: @maphepha_ndaba
View attachment 3142491

Mtanzania akichezea kichapo kutoka kwa wasauzi, mwisho wa video Watanzania wakimwambia mwenzao akimbie

Instagram: @Geoff_lea
View attachment 3142492

Nchi ya hovyo kabisa, unapigaje mtu hivyo!?!!!! African is pumbavu kabisa
 
Wakati Mandela anaona wazungu bado wana umuhimu katika kutengeneza maendeleo ya nchi. Wakina Nyerere wakaona wawafukuze nchini. Ona sasa nchi inadorora uchumi kila kukicha, hapo ndo vijana wanaona bora wakimbilie sauz pengine watatoboa, wakifika wanakutana na ubaguz wa wenzao weusi. Dahh hii video inasikitisha asee.
Muwe mnafanyia utafiti agenda za vijiweni, South Africa uchumi asilimia zaidi ya 95% kushikiria mkabulu; yaani ni ukoloni mamboleo + matusi ya nguoni + kibao usoni
 
Qumamae zao hawa wasouth. Watanzania tusikubali. Nasisi tuanze kuwaua hawa mashoga wa South. Watoto wa kino anzeni na yule.msouth anaeishi hapo Mkwajuni.
Badala ya kulialia mngefanya la maana kuwakumbusha ndugu zenu wanapoamua kuishi nchi za watu waende kuishi kihalali na wafanye kazi halali.
Zaidi ikumbusheni nchi yenu iache urasimu kwenye kuta passport, hiyo ni kati ya vitu vinasababisha watu wadoke nchini isivyo halali na hivyo kwenda kuishi isivyo halali
 
Nchini Afrika Kusini, mapema leo hii Polisi na Mamlaka zimefanya msako katika Kituo cha maduka cha "China Mall" jijini Johannesburg, Gauteng, ili kuwatafuta watu ambao huenda hawana vibali vya kisheria au wanaishi nchini kinyume cha sheria.

Msako huu uliofanywa na mamlaka za Afrika Kusini katika China Mall, jijini Johannesburg-Gauteng, umefichua takwimu za kutisha, ambapo karibu asilimia 90 ya wafanyakazi wamekutwa wakiwa ni wageni wasio na vibali vya kisheria.

Inasemekana kuwa wakati wa msako huo, wafanyakazi wengi walikimbia eneo hilo ili kuepuka kukamatwa, jambo ambalo linadhihirisha ukubwa wa tatizo la wahamiaji haramu nchini Afrika Kusini.

Video: Kituo cha China Mall cha Johannesburg kimevamiwa na Polisi na Mamlaka.

Instagram: @maphepha_ndaba
View attachment 3142491

Mtanzania akichezea kichapo kutoka kwa wasauzi, mwisho wa video Watanzania wakimwambia mwenzao akimbie

Instagram: @Geoff_lea
View attachment 3142492
Warudi Tanzania wakashiriki kuchagua viongozi wa serikali za mitaa
 
Seme
Nchini Afrika Kusini, mapema leo hii Polisi na Mamlaka zimefanya msako katika Kituo cha maduka cha "China Mall" jijini Johannesburg, Gauteng, ili kuwatafuta watu ambao huenda hawana vibali vya kisheria au wanaishi nchini kinyume cha sheria.

Msako huu uliofanywa na mamlaka za Afrika Kusini katika China Mall, jijini Johannesburg-Gauteng, umefichua takwimu za kutisha, ambapo karibu asilimia 90 ya wafanyakazi wamekutwa wakiwa ni wageni wasio na vibali vya kisheria.

Inasemekana kuwa wakati wa msako huo, wafanyakazi wengi walikimbia eneo hilo ili kuepuka kukamatwa, jambo ambalo linadhihirisha ukubwa wa tatizo la wahamiaji haramu nchini Afrika Kusini.

Video: Kituo cha China Mall cha Johannesburg kimevamiwa na Polisi na Mamlaka.

Instagram: @maphepha_ndaba

Mtanzania akichezea kichapo kutoka kwa wasauzi, mwisho wa video Watanzania wakimwambia mwenzao akimbie

Instagram: @Geoff_lea

ni kweli ni mwizi huyo kakamatwa anaiba, mbona wenzake hawajakamatwa?

Watanzania wengi Afrika Kusini wanajishughulisha na wizi na ujambazi na kazi zingine za haramu.

Hawajakutana na makundi ya zamani ya wasiojulikana (vigilantes) wa Afrika Kusini, saa hizi angekuwa marehemu fulani.
 
Endeleeni kuwateka na kuwaua Chadema ili nyinyi mufaidi kila mnachouza kwa Wageni, Maana hamtakufa

CHADEMA kinapigania Demokrasia na wéwe NI mwanachama ndîo maana ice amekushangaa kushabikia matendo ya wasouth àmbayo ni kinyume na Sheria kama mnavyofanyiwa ninyi CHADEMA.

Sasa wewe umeambiwa ukweli unatapatapa kwani umeonyesha rangi yako halisi
 
Nawashangaa hawa wapuuzi ambao povu linawatoka humu , kila wananchi lazima walinde nchi yao dhidi ya wavamizi haramu ,call them xenophobic call them racists no Haki yao .
Wanashindwa kuwajibisha serikali yao ya vilaza na wezi ccm hii ,ili kutengeneza maisha bora kwa wananchi wake na kuzalisha vipato na ajira vya kutosha ,
Wanaishia kuvamia kinyemela nchi za watu na kufanya mambo ya kishenzi na kutaka kuonewa huruma .
Fvcking niggers !
Motherfvckers ,clean your house instead of tresspassing and interloping on other's houses .
Hii ni dunia nzima iwe USA ,Europe nk
Wavamizi holela ni criminals na washenzi wafurushwe

Back
Top Bottom