Kimenuka! leo hii Wa-south africa wafanya Msako wa kutafuta raia wa kigeni wasio na vibali, Mtanzania apigwa

Mhaya

JF-Expert Member
Joined
Aug 20, 2023
Posts
1,831
Reaction score
5,489
Nchini Afrika Kusini, mapema leo hii Polisi na Mamlaka zimefanya msako katika Kituo cha maduka cha "China Mall" jijini Johannesburg, Gauteng, ili kuwatafuta watu ambao huenda hawana vibali vya kisheria au wanaishi nchini kinyume cha sheria.

Msako huu uliofanywa na mamlaka za Afrika Kusini katika China Mall, jijini Johannesburg-Gauteng, umefichua takwimu za kutisha, ambapo karibu asilimia 90 ya wafanyakazi wamekutwa wakiwa ni wageni wasio na vibali vya kisheria.

Inasemekana kuwa wakati wa msako huo, wafanyakazi wengi walikimbia eneo hilo ili kuepuka kukamatwa, jambo ambalo linadhihirisha ukubwa wa tatizo la wahamiaji haramu nchini Afrika Kusini.

Video: Kituo cha China Mall cha Johannesburg kimevamiwa na Polisi na Mamlaka.

Instagram: @maphepha_ndaba
Your browser is not able to display this video.


Mtanzania akichezea kichapo kutoka kwa wasauzi, mwisho wa video Watanzania wakimwambia mwenzao akimbie

Instagram: @Geoff_lea
Your browser is not able to display this video.
 
Siungi mkono kinachowatokea ndugu zetu hasa kupigwa, lakini iko wazi kuwa wimbi la wahamiaji haramu linatishia ukosekanaji wa fursa za kazi kwa wenyeji. Na kwakweli tatizo hili ni kubwa South Africa.
Watu weusi wa south Africa bado wana ile mentality kuwa wageni wanakuja south Africa kuchukua Ajira zao .

Zamani maiaka 1900s kuja early 2000s kwenda south ilikuwa ni ndoto ya vijana wengi hustler.s
 
Jamii ya kusini mwa Africa wanaugua ugonjwa wa uvivu na wivu aka unyumbuphobia. Wakiondoka wageni wote hiyo nchi itakuwa ni useless uchumi utaanguka vibaya sana kwasababu wageni ndio kama oxygen huko kwao. Mefi hao.
 
Japokuwa raia weusi wa Afrika ya Kusini Wana matatizo yao ya ubaguzi dhidi ya watu weusi wenzao (Xenophobia) lakini kwa upande mwingine wageni waliopo kwenye nchi hiyo nao wanapaswa watii Sheria za nchi ya wenyeji wao.
Tii sheria zao bila shuruti, Kama hautaki Basi uondoke mwenyewe kwa hiyari yako, usingoje kushurutishwa kwa kulazimishwa kutii Sheria zao. Tafuteni vibali halali vya kuishi ugenini katika nchi ya kigeni.
 
Wakisikia tu what I do wanajua kibaka uyu what I do ndio nini kibaka uyu wanapiga puuu

Prof jay kwenye wimbo wake wa bongo dar e Salaam aliwambia vijana wa bongo hata mkoba kuteguq kitendawili ila akawambia wajichange change wafungue mabano wanapotaka ila bado hawataki
 
Qumamae zao hawa wasouth. Watanzania tusikubali. Nasisi tuanze kuwaua hawa mashoga wa South. Watoto wa kino anzeni na yule.msouth anaeishi hapo Mkwajuni.
Usitoke povu la bure ndugu bali washauri vijana wafuate taratibu wanapoingia ktk nchi za watu. Hata sisi tunawakamata sana waethiopia na kuwarudisha kwao.Tofauti yetu na wasouth ni kwamba sisi hatuwapigi wahamiaji haramu. Tunashughulika nao kisheria zaidi.
 
Siungi mkono kinachowatokea ndugu zetu hasa kupigwa, lakini iko wazi kuwa wimbi la wahamiaji haramu linatishia ukosekanaji wa fursa za kazi kwa wenyeji. Na kwakweli tatizo hili ni kubwa South Africa.


Ni swala la mentality mkuu katika ujio wa wageni ni wewe kuindaa akili yako namna sahihi ya Ku-survive

Kama wageni wanaingia bila vibali hapo ni tatizo Ila sio kumchukia MTU
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…