Kimenuka! leo hii Wa-south africa wafanya Msako wa kutafuta raia wa kigeni wasio na vibali, Mtanzania apigwa

Kama kuna mtu anamjua huyo dogo anaepigwa njoo inbox kesi yake ipelekwe Mikumi vijijini huko kuna mtaalamu huko anaua kabisa. Jina au picha ya mchawi au dhulmati au mwonevu ikipelekwa kwake leo basi kesho anazikwa.

Wajinga wajinga kama Hawa Wasenge walio kuwa wanampiga huyu MTZ hawastahili kuishi duniani.
 
Wakati Mandela anaona wazungu bado wana umuhimu katika kutengeneza maendeleo ya nchi. Wakina Nyerere wakaona wawafukuze nchini. Ona sasa nchi inadorora uchumi kila kukicha, hapo ndo vijana wanaona bora wakimbilie sauz pengine watatoboa, wakifika wanakutana na ubaguz wa wenzao weusi. Dahh hii video inasikitisha asee.
 
Nadhani serikali yao inabidi jushughulikia hili jambo in peaceful way .
Hawa nyani ilipaswa waendelee kuwa chini ya utawala wa makaburu
"The most graviest mistake that cannot be pardoned is to allow the Black men to rule the country."

Pieter W. Botha, a former President of South Africa during the Apartheid era.
 
Safi sana
 
Kitendo cha kumpiga huyo jamaa inaonekana kabisa hawa wa South wamejaza chuki ndani ya nafsi zao,ni kweli huyo mbongo anaweza kua hana document za kuishi South ila sheria si zipo? ashtakiwe kwa mujibu wa sheria na sio kumpiga kwa kujichukulia sheria mkononi.
 
Hakukuwa na haja ya kumpiga hata kama ni mhamiaji haramu.
Hapo ndo upumbavu ulipo.
Tanzania tunakamata wahamiaji wengi lakini hawapigwi bali urudishwa kwao.

Hiz Tabia za wasouth inaonyesha hawajastaarabika pamoja na kuwa kwenye nchi iliyoendelea
 
Watu weusi wa south Africa bado wana ile mentality kuwa wageni wanakuja south Africa kuchukua Ajira zao .

Zamani maiaka 1900s kuja early 2000s kwenda south ilikuwa ni ndoto ya vijana wengi hustler.
Mnawalaumu Bure, hivi kama Watanzania mngejisikiaje kama mamilioni ya wakenya, wasudan, wasomali na wakongo wangekuwa wanamwagika tu nchini bila vibali Wala utaratibu maalum "kujitafutia"; yaani imagine kama nchi muwe na matatizo yenu afu eti mubebe na ya wengine
 
Wewe si ndio hua unapigania demokrasia na haki humu kila kukicha?

Leo hii unasifia watu kujichukulia sheria mkononi kwa kumpiga mbongo mwenzako kama mwizi?

What a shame.
Sikufurahishwa mbongo kudundwa, ila nimefurahishwa na Wasouth kuhakikisha wahamiaji haramu wanadhibitiwa.

Kingine ni hiki, Demokrasia haihusiani na kuzamia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…