John Wickzer Mulholland
JF-Expert Member
- Apr 13, 2023
- 6,656
- 14,403
Ni kweli kwamba ninaweza kuwa mbaguzi pia, but I am always doing the Positive Discrimination, not a negative discrimination kama huo unaofanywa na watu kutoka kwenye makundi hayo niliyotaja hapa juu.Wewe tu siyo mbaguzi, au siyo?
Unasifia ujinga tu, Demokrasia ipi mnayoitaka kwa kuzamia nchi za watu bila utaratibu?Umemkamata vibaya sana
Sikufurahishwa mbongo kudundwa, ila nimefurahishwa na Wasouth kuhakikisha wahamiaji haramu wanadhibitiwa.
Kingine ni hiki, Demokrasia haihusiani na kuzamia
💯💯Mnawalaumu Bure, hivi kama Watanzania mngejisikiaje kama mamilioni ya wakenya, wasudan, wasomali na wakongo wangekuwa wanamwagika tu nchini bila vibali Wala utaratibu maalum "kujitafutia"; yaani imagine kama nchi muwe na matatizo yenu afu eti mubebe na ya wengine
Endeleeni kuwateka na kuwaua Chadema ili nyinyi mufaidi kila mnachouza kwa Wageni, Maana hamtakufaAlafu baadaye unalalamika CHADEMA wakitekwa
Aiseeh
Unasifia ujinga tu, Demokrasia ipi mnayoitaka kwa kuzamia nchi za watu bila utaratibu?
Sijalaumu nimesema approaching walioitumiaMnawalaumu Bure, hivi kama Watanzania mngejisikiaje kama mamilioni ya wakenya, wasudan, wasomali na wakongo wangekuwa wanamwagika tu nchini bila vibali Wala utaratibu maalum "kujitafutia"; yaani imagine kama nchi muwe na matatizo yenu afu eti mubebe na ya wengine
Nchini Afrika Kusini, mapema leo hii Polisi na Mamlaka zimefanya msako katika Kituo cha maduka cha "China Mall" jijini Johannesburg, Gauteng, ili kuwatafuta watu ambao huenda hawana vibali vya kisheria au wanaishi nchini kinyume cha sheria.
Msako huu uliofanywa na mamlaka za Afrika Kusini katika China Mall, jijini Johannesburg-Gauteng, umefichua takwimu za kutisha, ambapo karibu asilimia 90 ya wafanyakazi wamekutwa wakiwa ni wageni wasio na vibali vya kisheria.
Inasemekana kuwa wakati wa msako huo, wafanyakazi wengi walikimbia eneo hilo ili kuepuka kukamatwa, jambo ambalo linadhihirisha ukubwa wa tatizo la wahamiaji haramu nchini Afrika Kusini.
Video: Kituo cha China Mall cha Johannesburg kimevamiwa na Polisi na Mamlaka.
Instagram: @maphepha_ndaba
View attachment 3142491
Mtanzania akichezea kichapo kutoka kwa wasauzi, mwisho wa video Watanzania wakimwambia mwenzao akimbie
Instagram: @Geoff_lea
View attachment 3142492
Muwe mnafanyia utafiti agenda za vijiweni, South Africa uchumi asilimia zaidi ya 95% kushikiria mkabulu; yaani ni ukoloni mamboleo + matusi ya nguoni + kibao usoniWakati Mandela anaona wazungu bado wana umuhimu katika kutengeneza maendeleo ya nchi. Wakina Nyerere wakaona wawafukuze nchini. Ona sasa nchi inadorora uchumi kila kukicha, hapo ndo vijana wanaona bora wakimbilie sauz pengine watatoboa, wakifika wanakutana na ubaguz wa wenzao weusi. Dahh hii video inasikitisha asee.
Badala ya kulialia mngefanya la maana kuwakumbusha ndugu zenu wanapoamua kuishi nchi za watu waende kuishi kihalali na wafanye kazi halali.Qumamae zao hawa wasouth. Watanzania tusikubali. Nasisi tuanze kuwaua hawa mashoga wa South. Watoto wa kino anzeni na yule.msouth anaeishi hapo Mkwajuni.
Huna hojaKwèñye Demokrasia hata mhalifu ANAHAKI Zake.
Hapa umekwama mkuu
Warudi Tanzania wakashiriki kuchagua viongozi wa serikali za mitaaNchini Afrika Kusini, mapema leo hii Polisi na Mamlaka zimefanya msako katika Kituo cha maduka cha "China Mall" jijini Johannesburg, Gauteng, ili kuwatafuta watu ambao huenda hawana vibali vya kisheria au wanaishi nchini kinyume cha sheria.
Msako huu uliofanywa na mamlaka za Afrika Kusini katika China Mall, jijini Johannesburg-Gauteng, umefichua takwimu za kutisha, ambapo karibu asilimia 90 ya wafanyakazi wamekutwa wakiwa ni wageni wasio na vibali vya kisheria.
Inasemekana kuwa wakati wa msako huo, wafanyakazi wengi walikimbia eneo hilo ili kuepuka kukamatwa, jambo ambalo linadhihirisha ukubwa wa tatizo la wahamiaji haramu nchini Afrika Kusini.
Video: Kituo cha China Mall cha Johannesburg kimevamiwa na Polisi na Mamlaka.
Instagram: @maphepha_ndaba
View attachment 3142491
Mtanzania akichezea kichapo kutoka kwa wasauzi, mwisho wa video Watanzania wakimwambia mwenzao akimbie
Instagram: @Geoff_lea
View attachment 3142492
😆😆😆😆Rudi Nyumbani Kumenoga
"Wherever you see Black people you see problems, Black itself alone is the problem."Nchi ya hovyo kabisa, unapigaje mtu hivyo!?!!!! African is pumbavu kabisa
Nchini Afrika Kusini, mapema leo hii Polisi na Mamlaka zimefanya msako katika Kituo cha maduka cha "China Mall" jijini Johannesburg, Gauteng, ili kuwatafuta watu ambao huenda hawana vibali vya kisheria au wanaishi nchini kinyume cha sheria.
Msako huu uliofanywa na mamlaka za Afrika Kusini katika China Mall, jijini Johannesburg-Gauteng, umefichua takwimu za kutisha, ambapo karibu asilimia 90 ya wafanyakazi wamekutwa wakiwa ni wageni wasio na vibali vya kisheria.
Inasemekana kuwa wakati wa msako huo, wafanyakazi wengi walikimbia eneo hilo ili kuepuka kukamatwa, jambo ambalo linadhihirisha ukubwa wa tatizo la wahamiaji haramu nchini Afrika Kusini.
Video: Kituo cha China Mall cha Johannesburg kimevamiwa na Polisi na Mamlaka.
Instagram: @maphepha_ndaba
Mtanzania akichezea kichapo kutoka kwa wasauzi, mwisho wa video Watanzania wakimwambia mwenzao akimbie
Instagram: @Geoff_lea
Endeleeni kuwateka na kuwaua Chadema ili nyinyi mufaidi kila mnachouza kwa Wageni, Maana hamtakufa
Wakati Mandela anaona wazungu bado wana umuhimu katika kutengeneza maendeleo ya nchi. Wakina Nyerere wakaona wawafukuze nchini. Ona sasa nchi inadorora uchumi kila kukicha, hapo ndo vijana wanaona bora wakimbilie sauz pengine watatoboa, wakifika wanakutana na ubaguz wa wenzao weusi. Dahh hii video inasikitisha asee.