Interlacustrine R
JF-Expert Member
- Jan 22, 2022
- 7,186
- 14,274
Ke yeyote kamwe hawezi kuzaa na Mtu asiyemkubali la sivyo abakwe au achengwe na tarehe isipokuwa kucheat hutegemeana na mazingira japo yote ni makosa halali ya talaka.Sasa mbona unasema Mwanamke aki-cheat unaweza msamehe?
Ila akizaa huwezi. Logic ya jambo hilo ni ipi?
Ubinadamu ni kazi/Humanity is a work.
Sent from my CPH2387 using JamiiForums mobile app