Kimenuka: Mchezaji Geremi Njitap ataka kumtaliki mkewe baada ya kubaini watoto mapacha aliowakuza kwa miaka 16 sio wake'

Kimenuka: Mchezaji Geremi Njitap ataka kumtaliki mkewe baada ya kubaini watoto mapacha aliowakuza kwa miaka 16 sio wake'

Sasa mbona unasema Mwanamke aki-cheat unaweza msamehe?
Ila akizaa huwezi. Logic ya jambo hilo ni ipi?
Ke yeyote kamwe hawezi kuzaa na Mtu asiyemkubali la sivyo abakwe au achengwe na tarehe isipokuwa kucheat hutegemeana na mazingira japo yote ni makosa halali ya talaka.

Ubinadamu ni kazi/Humanity is a work.

Sent from my CPH2387 using JamiiForums mobile app
 
Unamlaumu vipi mwanamke kwa watoto aliozaa kabla hujamuoa. Mwanamke kabla hajaolewa anakuwaga na alternative
Hivi unajua maana ya ndoa kiserikali?

Kulaumiwa atalaumiwa sababu hakuwa muaminifu.

Au kama mtu hayupo kwenye ndoa ila ana mahusiano na binti fulani ni ruksa kubambikiziwa mtoto?
 
Unamlaumu vipi mwanamke kwa watoto aliozaa kabla hujamuoa. Mwanamke kabla hajaolewa anakuwaga na alternative

Haki ni kwamba kila mtu alee wanae. Alternative sijui nini kwanini watoto wa mwanaume mwingine ampe baba mwingine!
 
Dah unapindisha sana maana ya maandiko aisee hebu rudi ukae chini usome vizuri maandiko.

Wewe unadhani kuwa wayahudi kipindi cha yesu walikuwa wakiishi kwa mahusiano ya boyfriend na girlfriend kama ilivyo sasa?

JITATHMINI sana na acha kupotosha maandiko ili kufaidisha matamanio ya nafsi yako.
Usioppose fact kwa hisia Mkuu, oppose fact kwa fact tupo katika kujifunza Ili kuimarishana kwa kusudi la kuishi MAISHA ambayo yatakua hayana hatia mbele za MUNGU

Lete facts Yako according to your understanding tujadili kwa pamoja me nimeleta yangu hiyo hapo according to Mine understanding na Sio kuweka hisia Mkuu

Karibu Sana
 
Dah unapindisha sana maana ya maandiko aisee hebu rudi ukae chini usome vizuri maandiko.

Wewe unadhani kuwa wayahudi kipindi cha yesu walikuwa wakiishi kwa mahusiano ya boyfriend na girlfriend kama ilivyo sasa?

JITATHMINI sana na acha kupotosha maandiko ili kufaidisha matamanio ya nafsi yako.
Marko

10.11 Akawaambia, Kila mtu atakayemwacha mkewe na kuoa mwingine azini juu yake;

10.12 na mke, akimwacha mumewe na kuolewa na mtu mwingine, azini

Luka

16.18 Kila amwachaye mkewe na kumwoa mke mwingine azini; naye amwoaye yeye aliyeachwa na mumewe azini.

angalia hizo injili 2 ya marko na luka hakuna mahali biblia imetoa NAFASI kwa NDOA kuvunjika Mkuu

Yesu aliwaambia musa akiluhusu hati ya taraka kwasababu ya UGUMU WA MIOYO YENU lakini haikua hivyo tangu mwanzo ina maana si Mpango wa MUNGU NDOA iliyofungwa katika madhabahu yake kuvunjika B'se NDOA ni AGANO na kama ni AGANO ni lazima iuanganishwe katika madhabahu takatifu za MUNGU

Achana na NDOA za serikali na mila hizo ni halali kuvunjikaaa B'se MUNGU hazijui na wala sio AGANO bali ni NDOA za mikataba

Naelezea NDOA ya AGANO kati ya wahusika na MUNGU hi NDOA according to biblia haijatoa room kuvunjika
 
Hili nalijuwa sana kwani hata mimi mwenyewe si mwaminifu kwa hili
Lazima wamemla ila hawawag watu serious wengi waliosoma nae au vijana wanaomuuzia nguo huwa Wanapata mwanya wa kuwasifu na wengi mabishoo na ma hb.so huwa anaiotea pia kuna matajiri na wachungaji huwa wanapitia kwa rafiki yake wa karibu au kama ana dada mcharuko .
Na kama anatumia pombe hapo ndo umeisha.ila all in all ujanja ninkujiweka mbali na kujua na kuhakikisha Una plan b
 
Mitambo ya kupimia DNA wote tunayo, wewe waite mawifi na mashangazi. Wakipiga la mgambo hao watu basi ujue huna chako........mwenyezi mungu atuepshie mbali balaa hili
 
Back
Top Bottom