Ambacho hajui ni kua jemedari ni shabiki wa YangaJemedari ni adui wa manara na sio yanga
[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]Yanga ni kama CCM uikituchafua tunakuajiri wew mwenyewe uje kutusafisha
Umemaliza kila kituYanga ni kama CCM uikituchafua tunakuajiri wew mwenyewe uje kutusafisha
Wanajua nn hao wapiga kelele,sio ushabiki tu jamedari ashawahi kuwa kiongozi wa yanga kabla hata ya huyo mzungu pori waoAmbacho hajui ni kua jemedari ni shabiki wa Yanga
msemaji wa yanga alipeleleka malalamiko official ya yanga kwa mmiliki wa EFM amfukuze kazi kazumari ina maana hilo hulijui , hujui kwamba wanayanga wengi wanamchukulia jamaa kama adui badada ya kuambiwa hivyona jenerali bugattiKwa hiyo jemedari ni adui namba moja wa wana yanga???duh jamaa yangu sasa unavuka mipaka...unajua kauli yako ni ya kichonganishi sana mkuu
mpeni kazi kazumari ,wilson oruma na walioshiriki kumchangia George mpole kumpongeza akiwepo Prisca kishamba.Umemaliza kila kitu
Yanga bingwampeni kazi kazumari ,wilson oruma na walioshiriki kumchangia George mpole kumpongeza akiwepo Prisca kishamba.
Sababu Ally kamwe huyo mnayesema anawasafisha roho yake ilinusurika kutolewa pale Arusha siku mlipofanikiwa kkuutoa uhai wa mwana coastal union.
Buggati lilisema ally kamwe haipendi yanga na anamchukia mayelle ndiyo maana anachangisha mchango wa kumpongeza mpole
hatari sanaMwanangu unajua kusagia mtu kunguni.