Tetesi: Kimeumana: CAF kufanya uchunguzi dhidi ya Simba SC na baadhi ya viongozi wake

Tetesi: Kimeumana: CAF kufanya uchunguzi dhidi ya Simba SC na baadhi ya viongozi wake

Labani og

JF-Expert Member
Joined
Sep 15, 2020
Posts
23,040
Reaction score
33,028
CAF KUFANYA UCHUNGUZI DHIDI YA SIMBA SC NA BAADHI YA VIONGOZI WAKE [emoji2073][emoji3544]

Kwa mujibu wa taarifa za awali, Shirikisho la Soka Barani Afrika (CAF) limeanza uchunguzi rasmi juu ya matukio yaliyotokea kabla ya fainali ya mkondo wa kwanza na baada ya fainali ya mkondo wa pili ya Kombe la Shirikisho Afrika.

CAF inatajwa kuchunguza:
[emoji843] Mienendo ya baadhi ya mashabiki wa Simba SC
[emoji843] Matamko ya baadhi ya viongozi waandamizi wa klabu
[emoji843] Shutuma dhidi ya CAF kuhusu mabadiliko ya uwanja
[emoji843] Press na kauli mbalimbali zenye tuhuma na kuchochea chuki dhidi ya CAF

Kuna uwezekano mkubwa Simba SC na baadhi ya viongozi wakakumbwa na adhabu kali ikiwa ushahidi utathibitisha ukiukwaji wa kanuni na maadili ya mashindano.

Tunasubiri taarifa rasmi kutoka CAF.

#CAF #SIMBASC #CAFCCLFINAL #Buhaya1TV

NB: hawa ndo walipewa tuzo ya Mashabiki Bora ...na CAF ....kabla ya kuwa wafuasi wa mfalme zumaridi
1748308769374.jpg


Sent from my TECNO KG5j using JamiiForums mobile app
 
Wachezaji Wana Viwango vya Jalalani, mnahonga marefa mnafikia fainali mnajiona mna haki ya kuwa mabingwa!!
Yaani timu ina mchezaji mmoja (Mpanzu) ikawe Bingwa wa CAF?

Hii Nchi Simba imelelewa vibaya na Tff, Upuuzi wote tulio uona kabla ya mechi na baada ya mechi ya fainali ya pili ni Matokeo ya malezi/mbeleko za bodi ya ligi na Tff kwa Simba.

Sasa Simba wanahisi wanavyo iburuza Tff/bodi ya ligi wanaweza kufanya hivyo Kwa CAF.
 
Imagine timu imepangiwa waamuzi wake maalum (wa mchongo) kwenye ligi yake ya nyumbani! Halafu ghafla bin vuu, inakutana na mwamuzi mwenye sura ya mbuzi kutoka Mauritania kwenye fainali ya CAF! Halafu bado inaleta mazoea yale yale ya kwenye ligi yake!

Washushiwe tu hilo rungu. No way out.
 
Zamani nilidhani matutusa pale Utopolo ni mmoja tuu yule Kalikonji lakini kumbe hata huku mtaani wako wengi ikiwamo na mtoa mada
 
Back
Top Bottom