Labani og
JF-Expert Member
- Sep 15, 2020
- 23,040
- 33,028
- Thread starter
- #61
Wanajifanya wamepindaPiga ban miaka saba,hao wanyooke,waache uchochezi na vurugu michezoni
Sent from my TECNO KG5j using JamiiForums mobile app
Wanajifanya wamepindaPiga ban miaka saba,hao wanyooke,waache uchochezi na vurugu michezoni
Uwe unatupa kinachojiri mpk maamuzi ya hiyo tetesi yako mr utopolo...
Cool down... yajayo yanatisha pale u-koloniUwe unatupa kinachojiri mpk maamuzi ya hiyo tetesi yako mr utopolo...
Pole sana...
Toa mwiko huko nyuma kwanza halafu uje utuletee habari.CAF KUFANYA UCHUNGUZI DHIDI YA SIMBA SC NA BAADHI YA VIONGOZI WAKE [emoji2073][emoji3544]
Kwa mujibu wa taarifa za awali, Shirikisho la Soka Barani Afrika (CAF) limeanza uchunguzi rasmi juu ya matukio yaliyotokea kabla ya fainali ya mkondo wa kwanza na baada ya fainali ya mkondo wa pili ya Kombe la Shirikisho Afrika.
CAF inatajwa kuchunguza:
[emoji843] Mienendo ya baadhi ya mashabiki wa Simba SC
[emoji843] Matamko ya baadhi ya viongozi waandamizi wa klabu
[emoji843] Shutuma dhidi ya CAF kuhusu mabadiliko ya uwanja
[emoji843] Press na kauli mbalimbali zenye tuhuma na kuchochea chuki dhidi ya CAF
Kuna uwezekano mkubwa Simba SC na baadhi ya viongozi wakakumbwa na adhabu kali ikiwa ushahidi utathibitisha ukiukwaji wa kanuni na maadili ya mashindano.
Tunasubiri taarifa rasmi kutoka CAF.
#CAF #SIMBASC #CAFCCLFINAL #Buhaya1TV
NB: hawa ndo walipewa tuzo ya Mashabiki Bora ...na CAF ....kabla ya kuwa wafuasi wa mfalme zumaridiView attachment 3346957
Sent from my TECNO KG5j using JamiiForums mobile app
Wawaswalike maswali viongozi wa Simba kwamba, "tumewapa taarifa ya kucheza Amani mapema, kwa nini mliendelea kukatisha tiketi kuwa mechi itachezwa Dar kama siyo utapeli ni nini na kuwachonganisha CAF na mashabiko kwa uzembe wenu wa kutokarabati uwanja wa Mkapa?" Hapa natamani nisikie majibu ya viongozi wa Simba.CAF KUFANYA UCHUNGUZI DHIDI YA SIMBA SC NA BAADHI YA VIONGOZI WAKE [emoji2073][emoji3544]
Kwa mujibu wa taarifa za awali, Shirikisho la Soka Barani Afrika (CAF) limeanza uchunguzi rasmi juu ya matukio yaliyotokea kabla ya fainali ya mkondo wa kwanza na baada ya fainali ya mkondo wa pili ya Kombe la Shirikisho Afrika.
CAF inatajwa kuchunguza:
[emoji843] Mienendo ya baadhi ya mashabiki wa Simba SC
[emoji843] Matamko ya baadhi ya viongozi waandamizi wa klabu
[emoji843] Shutuma dhidi ya CAF kuhusu mabadiliko ya uwanja
[emoji843] Press na kauli mbalimbali zenye tuhuma na kuchochea chuki dhidi ya CAF
Kuna uwezekano mkubwa Simba SC na baadhi ya viongozi wakakumbwa na adhabu kali ikiwa ushahidi utathibitisha ukiukwaji wa kanuni na maadili ya mashindano.
Tunasubiri taarifa rasmi kutoka CAF.
#CAF #SIMBASC #CAFCCLFINAL #Buhaya1TV
NB: hawa ndo walipewa tuzo ya Mashabiki Bora ...na CAF ....kabla ya kuwa wafuasi wa mfalme zumaridiView attachment 3346957
Sent from my TECNO KG5j using JamiiForums mobile app
Makolo wapuuzi sana, wamewapiga wananchi na kuwachania jezi zao.Makolo wanapelekewa moto juu ya moto.
Lazima watapoteana [emoji23]Wawaswalike maswali viongozi wa Simba kwamba, "tumewapa taarifa ya kucheza Amani mapema, kwa nini mliendelea kukatisha tiketi kuwa mechi itachezwa Dar kama siyo utapeli ni nini na kuwachonganisha CAF na mashabiko kwa uzembe wenu wa kutokarabati uwanja wa Mkapa?" Hapa natamani nisikie majibu ya viongozi wa Simba.
Hapo ikiwezekana CAF watoe maelekezo kwa Simba warudishe viingilio.
Haingii akilini CAF wanatoa taarifa rasmi mechi itachezwa Aman Stadium, halafu viongozi wa Simba wanakanusha na kuendelea kukatisha tiketi kwa ajili ya kucheza Dar huku wakijua mechi itachezwa Aman kama siyo utapeli wa wazi nini?
Vijana kama wewe ni hasara Kwa taifaWazazi wako wangevaa kondom huu upuuzi usingekuwepo duniani
Huyu jamaa ni wa kutupia ignore tu nyuzi zake hazina afya.Halafu?Jamaa pimbi wewe! Umeandika kishabiki sana.
Huyu ndiye wa kupiga life ban bila paroleBila kumsahau yule Magori