Pdidy
Platinum Member
- Nov 22, 2007
- 62,101
- 38,487
Nakusubiria ukinikimbia crdb sijuiWee poyoyo Unaleta timu uwanjani ama UTAUFYATA???
Ukijipendekeza crdb nakuja June 15
Poyooooyooo mwenzangu๐ก๐๐3๐๐๐๐๐๐๐ก๐
Nakusubiria ukinikimbia crdb sijuiWee poyoyo Unaleta timu uwanjani ama UTAUFYATA???
MWAMBAA AANAENDA KUCHEZESHA MAREKANI KOMBE LA DUNIA LA VILABU MAAMAAA.......MTAMPENDAAAA TUWee poyoyo Unaleta timu uwanjani ama UTAUFYATA???
Yanga ni kitimu uchwara kilicho mkiani kinapeperusha nzi..Yanga ndo FIFA yenyewe......meno ya mbwa hayaumani
Sent from my TECNO KG5j using JamiiForums mobile app
Nenda pale FIFA headquarter....tutaona pango.la wananchiYanga ni kitimu uchwara kilicho mkiani kinapeperusha nzi..
Mwendo wa spana tu [emoji23]Wapumzisheni Hawa Jamaa,wanamaumivu makali sana
Mwamba Hana bayaMWAMBAA AANAENDA KUCHEZESHA MAREKANI KOMBE LA DUNIA LA VILABU MAAMAAA.......MTAMPENDAAAA TU
Mwaname umekamilika unatamka lungu hahaaNdo hivyo mkuu ....mjiandae lungu heavyweight linakuja Toka CAF
Sent from my TECNO KG5j using JamiiForums mobile app
MKuu Kwani hujui maana yakeMwaname umekamilika unatamka lungu hahaa
Hapana mkuu.....nimewasilisha as it supposed to beInawezekana una hoja lakini umeiandika kishabiki sana
Watapigwa ban miaka 10 kuanzia na Mwana FA ๐๐CAF KUFANYA UCHUNGUZI DHIDI YA SIMBA SC NA BAADHI YA VIONGOZI WAKE [emoji2073][emoji3544]
Kwa mujibu wa taarifa za awali, Shirikisho la Soka Barani Afrika (CAF) limeanza uchunguzi rasmi juu ya matukio yaliyotokea kabla ya fainali ya mkondo wa kwanza na baada ya fainali ya mkondo wa pili ya Kombe la Shirikisho Afrika.
CAF inatajwa kuchunguza:
[emoji843] Mienendo ya baadhi ya mashabiki wa Simba SC
[emoji843] Matamko ya baadhi ya viongozi waandamizi wa klabu
[emoji843] Shutuma dhidi ya CAF kuhusu mabadiliko ya uwanja
[emoji843] Press na kauli mbalimbali zenye tuhuma na kuchochea chuki dhidi ya CAF
Kuna uwezekano mkubwa Simba SC na baadhi ya viongozi wakakumbwa na adhabu kali ikiwa ushahidi utathibitisha ukiukwaji wa kanuni na maadili ya mashindano.
Tunasubiri taarifa rasmi kutoka CAF.
#CAF #SIMBASC #CAFCCLFINAL #Buhaya1TV
NB: hawa ndo walipewa tuzo ya Mashabiki Bora ...na CAF ....kabla ya kuwa wafuasi wa mfalme zumaridiView attachment 3346957
Sent from my TECNO KG5j using JamiiForums mobile app
Pango basi sawa...na mwiko utakuwepoNenda pale FIFA headquarter....tutaona pango.la wananchi
Sent from my TECNO KG5j using JamiiForums mobile app
Kawaulize hao FIFA, hatutaki uhuni kwenye masuala ya michezo.Mtasubiri sana Mazuzu nyie...
Vipi uchunguzi wa FIFA juu ya upangaji wa matokeo unaohusu timu yenu umeisha tayari???
Waache kuchunguza goli la ubabaifu waichunguze simba yani viongozi wa afrika sijui wanatumia nini kufikiri,sasa simbba imeifanya jini CAF wakati wanabidi watuombe msamaha sisi kwa awamu nyingine refa yule yule kachezesha chini ya viwango na kuruhusu magoli ya utata kuwa halali kwa mara mbili tofautiCAF KUFANYA UCHUNGUZI DHIDI YA SIMBA SC NA BAADHI YA VIONGOZI WAKE [emoji2073][emoji3544]
Kwa mujibu wa taarifa za awali, Shirikisho la Soka Barani Afrika (CAF) limeanza uchunguzi rasmi juu ya matukio yaliyotokea kabla ya fainali ya mkondo wa kwanza na baada ya fainali ya mkondo wa pili ya Kombe la Shirikisho Afrika.
CAF inatajwa kuchunguza:
[emoji843] Mienendo ya baadhi ya mashabiki wa Simba SC
[emoji843] Matamko ya baadhi ya viongozi waandamizi wa klabu
[emoji843] Shutuma dhidi ya CAF kuhusu mabadiliko ya uwanja
[emoji843] Press na kauli mbalimbali zenye tuhuma na kuchochea chuki dhidi ya CAF
Kuna uwezekano mkubwa Simba SC na baadhi ya viongozi wakakumbwa na adhabu kali ikiwa ushahidi utathibitisha ukiukwaji wa kanuni na maadili ya mashindano.
Tunasubiri taarifa rasmi kutoka CAF.
#CAF #SIMBASC #CAFCCLFINAL #Buhaya1TV
NB: hawa ndo walipewa tuzo ya Mashabiki Bora ...na CAF ....kabla ya kuwa wafuasi wa mfalme zumaridiView attachment 3346957
Sent from my TECNO KG5j using JamiiForums mobile app
[emoji23][emoji23][emoji125]Watapigwa ban miaka 10 kuanzia na Mwana FA [emoji16][emoji16]
[emoji14][emoji14]Pango basi sawa...na mwiko utakuwepo
Alienacho huongezewaWaache kuchunguza goli la ubabaifu waichunguze simba yani viongozi wa afrika sijui wanatumia nini kufikiri,sasa simbba imeifanya jini CAF wakati wanabidi watuombe msamaha sisi kwa awamu nyingine refa yule yule kachezesha chini ya viwango na kuruhusu magoli ya utata kuwa halali kwa mara mbili tofauti
Piga ban miaka saba,hao wanyooke,waache uchochezi na vurugu michezoniCAF KUFANYA UCHUNGUZI DHIDI YA SIMBA SC NA BAADHI YA VIONGOZI WAKE [emoji2073][emoji3544]
Kwa mujibu wa taarifa za awali, Shirikisho la Soka Barani Afrika (CAF) limeanza uchunguzi rasmi juu ya matukio yaliyotokea kabla ya fainali ya mkondo wa kwanza na baada ya fainali ya mkondo wa pili ya Kombe la Shirikisho Afrika.
CAF inatajwa kuchunguza:
[emoji843] Mienendo ya baadhi ya mashabiki wa Simba SC
[emoji843] Matamko ya baadhi ya viongozi waandamizi wa klabu
[emoji843] Shutuma dhidi ya CAF kuhusu mabadiliko ya uwanja
[emoji843] Press na kauli mbalimbali zenye tuhuma na kuchochea chuki dhidi ya CAF
Kuna uwezekano mkubwa Simba SC na baadhi ya viongozi wakakumbwa na adhabu kali ikiwa ushahidi utathibitisha ukiukwaji wa kanuni na maadili ya mashindano.
Tunasubiri taarifa rasmi kutoka CAF.
#CAF #SIMBASC #CAFCCLFINAL #Buhaya1TV
NB: hawa ndo walipewa tuzo ya Mashabiki Bora ...na CAF ....kabla ya kuwa wafuasi wa mfalme zumaridiView attachment 3346957
Sent from my TECNO KG5j using JamiiForums mobile app
Mkiwa mnasubiri ripoti hii ya tetesi mtapewa na hyo....Kawaulize hao FIFA, hatutaki uhuni kwenye masuala ya michezo.